u have a good point men! bora umenena bila kuhemka kma baadhi ya watu.Unaweza ukawa na hoja za hapa na pale, ila ukweli kama hayo uliyoonyesha hapo ndio mtaji wa mtu kukaa madarakani, basi makaburu wa Afrika kusini wangekuwa madarakani mpaka leo. Hivi alivyofanya Magufuli ni 000.1% ya walichofanya wazungu huko SA. Na hata kama ni mihemko, basi Magufuli hana tofauti na Lissu. Labda uje na hoja nyingine inayoingia akilini. Mimi kama mimi siamini kama Lissu anaweza kuwa rais mzuri kama alivyo Magufuli, lakini itakuchukua muda mrefu kuniaminisha Magufuli ni rais na hawezi kushindwa eti kisa kuna miundo mbinu kasimamia ujenzi wake. Hiyo miundo mbinu inajengwa na kodi za wananchi sio mshahara wa Magufuli, yoyote mwenye kutekeleza wajibu wake anaweza kuijenga.
hahahahaa hadi rahaZa kike hazina shida kwani hata makamu wetu wa rais ni mwanamke. Hizo zako za kishoga ndio tatizo
Ajuna Figanniga na makamanda wao hawayaoni hayo sijui wanaishi Mathare?Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.
Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.
Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.
Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.
Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.
Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.
Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.
Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?
Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!
Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.
Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.
Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.
Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!
Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.
Mtagaragazwa vibaya mno!!
Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Mkuu hawa jamaa ni sawa na sikio la kufa ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi,linapokuja suala kuhusu watu wao,hapo uwezo wao kufikiri unakuwa mdogo kama mkia wa mjusi,sana sana badala ya kuzijibu hoja utaoga mitusi,bahati nzuri wengi wao nawajua kwa sura na maisha yao wengi wao wamechanganyikiwa na maisha na wanadhani hao akina shangazi na wenzao ndio watawakomboa wamesahau kwa mfano huyo shangazi hazijui shida zao,hata Manzese haijui ilipo anafanya hayo kwa malengo yake,chuki kwa serikali kwa mfano ilianza pale mjomba wake alipotimuliwa serikalini na kampuni yao kuanza kukosa tenda za kufanya kazi za sheria serikalini.Kuna mwingine Maria Sarungi,huyu nae ana stress na maisha sasa wamempiga kibuti nae kaanza eti kuwalaumu hao wenzake,na mwisho Lissu kuwa raisi nchi ni sawa na wakati ule wakati nae Lyatonga mrema alipotaka uraisi,Chadema timu imemshinda sembuse nchi,kwa historia gani Lissu apewe nchi hii,Watanzania si wajinga kama hao chadema wanavyodhani,uraisi sio kazi ya kufanyia majaribio.Hata hivyo tunamkaribisha asije kupata sababu halafu aje apate mshangao.Tuombe uhai.Sasa kwa kauli mbovumbovu Lissu ana tofauti gani na Magufuli?
Lissu ni bonge la mropokaji, na hapo hana madaraka.
Akiwa nayo si ndo itakuwa balaa!!
Kwaiyo unatakaje??? Zero brainSijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.
Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.
Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.
Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.
Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.
Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.
Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.
Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?
Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!
Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.
Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.
Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.
Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!
Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.
Mtagaragazwa vibaya mno!!
Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.
Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.
Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.
Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.
Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.
Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.
Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.
Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?
Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!
Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.
Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.
Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.
Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!
Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.
Mtagaragazwa vibaya mno!!
Cheki baadhi ya mambo ya Rais
Hilo ninjukumu la serikali hakuna haja ya kusifu
kwa above wa utawwla wa magufuli kama kukikiwa na tume huru ya uchanguzi chadema hata wakiweka sospi wanashinda asubuhi. njia tu ya magufuli kushinda ni kutumia jeshi la police na tume ya uchanguzi.Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.
Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.
Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.
Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.
Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.
Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.
Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.
Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?
Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!
Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.
Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.
Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.
Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!
Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.
Mtagaragazwa vibaya mno!!
Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Athari ya kuzoa mimavi ya vizee vya kizungu haijawahi kumuacha mzoaji salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tukulinganishe wewe na Lissu, ni kitu gani cha maana wewe umewanyia watanzania kwa Kulinganisha na Lissu?Sasa kwa kauli mbovumbovu Lissu ana tofauti gani na Magufuli?
Lissu ni bonge la mropokaji, na hapo hana madaraka.
Akiwa nayo si ndo itakuwa balaa!!
Hebu tukulinganishe wewe na Lissu, ni kitu gani cha maana wewe umewanyia watanzania kwa Kulinganisha na Lissu?
Sent using Jamii Forums mobile app
thinking is a foundation of realityWishful thinking 🤔!
thinking is a foundation of reality
make use of your mind boyCan also be a pillar of fantasy!
Sasa nyie lumumba mwaumia nini, ka anamihemuko si ndo mfurahi au,..mbona unateseka sana mkuuSijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.