Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Status
Not open for further replies.
prove kwamba shehe ponda is behind these mihadharas kama wasema kweli
mihadhara ilianza wayback in the 1960s miaka ambayo hata baba yako alikuwa hajaja dar ilianza pale mnazi mmoja ikiongozwa na wazee wa mji alkina shehe Abubakar Mwilima,wamjua wewe?imekuja kupata nguvu zaidi in the 1990s na ikafikia peak yake 1998 upande wa waislamu wakiwa na magezi,rico,sule na mazinge wakati wakristo wakiwa na marehemu ANTHONY,SIMBAULANGA,NDIMBO na wengineo,
kwa hiyo hoja ya ufadhili unayoileta ni dhaifu mno kwani ilianza ukiwa hujazaliwa wala hiyo al shabab ikiwa haijulikani
kama huna hakika ya jambo usipende kuropoka
 
Mafundisho yanatakiwa sana watu kupata Ubatizo. Yesu ni mwana Wa MUNGU. Hawa jamaa wanatukana pasipo kujali hata mimi nashangaa Serikali iko imelala au... Kuweni na Busara kama mnataka kuendesha hoja ambazo hazina maana ni kheri mkanunue airtime katika TV au Radio Mjadili sio kuwakusanya watu kisha kutoa mada recycle bin"" ukiuliza madarawaliofika utasikia mi darasa la tatu, mwingine la sita hata Msingi hawajamaliza wanapiga makelele.
 
Allah (SWT) amesema:
“WAITE WAELEKEE KWENYE NJIA YA MOLA WAKO MLEZI KWA HIKIMA NA MAWAIDHA MEMA...”.
Q 16:125
 
Na amesema tena:
“...BASI ALIYE FIKIWA NA MAWAIDHA KUTOKA KWA MOLA MLEZI WAKE, KISHA AKAJIZUIA, BASI YAKE NI YALIYO KWISHA PITA, NA MAMBO YAKE YAKO KWA ALLAH. NA WENYE KURUDIA BASI HAO NDIO WATU WA MOTONI, HUMO WATADUMU”.
Q 2:275
 
mpingao mihadhara hii inayowasidia kupata da'awa njooni basi na hoja zilizo wazi juu ya ukristo kwamba was an ultimate religion for mankind kama mnasema kweli
“Hakika amefaulu aliye silimu na akaruzukiwa kimtoshacho na Allah akamkinaisha kwa alicho mpa”.
 
KWA SABABU HAKUNA DINI INAYOITWA KIKRISTO KWA SABABU HUO UKRISTO SIO DINI YA MWENYEEZI MUNGU SIO DINI YA UKWELI NI DINI ALIYOLETA MTUME PAULO SIO BWANA YESU USHAHIDI NI HAPA SOMA Matendo ya Mitume/ Chapter 11 22. Habari hizo za watu hao zikafika masikioni mwa kanisa lililokuwako katika Yerusalemu; wakamtuma Barnaba, aende hata Antiokia.
23. Naye, alipokwisha kufika na kuiona neema ya Mungu akafurahi, akawasihi wote waambatane na Bwana kwa kusudi la moyo.
24. Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.
25. Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli;
26. hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Warumi/ Chapter 1 1. Paulo, mtumwa wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume, na kutengwa aihubiri Injili ya Mungu;

8. Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inahubiriwa katika dunia nzima.

15. Kwa hiyo, kwa upande wangu, mimi ni tayari kuihubiri Injili hata na kwenu ninyi mnaokaa Rumi.

2 Wakorintho/ Chapter 3 1. Je! Tunaanza tena kujisifu wenyewe? Au tunahitaji, kama wengine, barua zenye sifa kuja kwenu, au kutoka kwenu?

1 Wakorintho/ Chapter 1 1. Paulo, aliyeitwa kuwa mtume wa Yesu Kristo kwa mapenzi ya Mungu, na Sosthene ndugu yetu,

2 Wakorintho/ Chapter 11 1. Laiti mngechukuliana nami katika upumbavu wangu kidogo! Naam, mchukuliane nami

KWA MAFUNDISHO HAYA YA MTUME PAULO INATOSHA KABISA KUWA UKRISTO ALIULETA MTUME PAULO, SIO BWANA YESU KWA HIYO WANAUFUATA UKRISTO WANAMFUATA MTUME PAULO SIO BWANA YESU, NA HAO WANAOMFUATA MTUME PAULO WAMEPOTEA NJIA NA WATAKWENDA MOTONI. KAMA BWANA YESU ANAVYOSEMA KUWA KIPOFU AKIMUONGOZA KIPOFU MWENZIE WATATUMBIA WOTE SHIMONI SASA ANGALIENI NDUGU ZANGU WAKRISTO MNAONGOZWA NA KIPOFU MTUME PAULO MTATUMBUKIA WOTE SHIMONI YAANI MTAINGIA MOTONI WOTE MNAOMFUATA MTUME PAULO MWENYEEZI MUNGU WAKRISTO AWAONGOZE NJIA ILIYONYOOKA AMEEN.

Shida ninayoiona mimi ni kule kusoma Biblia 'unintelligently' au kusoma ‘with unthinking prejudice’ na hivyo kukosa maana halisi ya 'narrative' husika. Na unapokosa maana ni rahisi kutunga maana kama anavyofanya MziziMkavu. Biblia haisomwi kama Qur'an inavyosomwa. Biblia inasomwa kwa kuitafakari (meditatively), wakati Qur’an inakaririwa hata bila kujua maana yake.

Na ili kusoma 'meditatively' kunahitajika msomaji awe anajua 'context' ya 'text' yenyewe. Mfano, 'narrative' inawahusu akina nani (whether they are direct addressees or indirect ones) na ina maana gani. Kufanya hivi, kunaitwa ‘hermeneutics’ au ‘exegesis’.

Bila kufanya hivi, msomaji “hasomi Biblia” hata kama ataonekana akiisoma bali anakuwa akiipitia tu kwa vile hataweza kupata maana halisi ya kitu anachosoma.

Waislamu hawasomi Biblia kwa kuielewa bali kwa kuikosoa/kubuni makosa ili wapotoshe ujumbe uliokusudiwa. Kusoma kwa namna hii hakumwezeshi msomaji kuelewa maana kwa vile nia yake siyo kuelewa bali kupinga kitu fulani hata kama atakariri mistari yote kichwani kuliko Mkristo mwenyewe. Hili ni tatizo kubwa!

Bila kuelewa vizuri lugha iliyotumika kwenye Biblia ni kujidanganya kuisoma. Kwa nini? Kwa sababu lugha iliyotumika kwenye ni lugha ya hekima – methali, nahau, lugha ya picha (symbolism), mashairi, mifano nk. Kwa hiyo, maana ya ‘narrative’ fulani inapatikana kwa kuisoma kwa ungalifu na pia kwa kujua ‘author’ wa hii ‘narrative’ alikuwa na maana gani na aliwalenga akina nani? Bila kufanya hivyo haiwezekani kupata ujumbe wake.

Ni kama lugha inayotumika kwenye sheria, ni lugha tofauti na lugha ya kawaida na ndiyo maana ili kuelewa sheria vizuri lazima kutafuta watu waliobobea katika hiyo fani/elimu na siyo kujifanya kuwa unajua kusoma na hatimaye kuelewa tofauti kabisa na maudhui yaliyokusudiwa kwenye sheria fulani.

Hata Biblia ni hivyo – inatumia lugha tofauti na lugha tuliyoizoea na hivyo kujigamba tu unaweza kusoma na kuelewa maudhui yake ni kujidanganya na mwisho wake tunaona udanganyifu mkubwa au upotoshaji wa wale wasioelewa maudhui yake na wakati huohuo kujidai wamekariri vifungu fulani fulani wanavyotumia kuwapinga Wakristo.

Sasa tuangalie jinsi gani Yesu aliwapata wafunzi wake (apostles) na wafuasi wake (disciples) – waumini wake au Wakristo (wafuasi wa Yesu Kristo) lini - hatua kwa hatua.

UTABIRI WA KUZALIWA KWA YESU ulianza na manabii wa zamani. Nabii Isaiah 7:12-17 anatabiri mwanamwali (Greek, bikira) atamzaa mtoto mwanamme wa uzao/nyumba ya Daudi na ataitwa Immanuel. Soma pia Isaiah 9:5-6.

Katika Luka 1:26-38, Maria anaambiwa na malaika Gabriel kuwa atamzaa mtoto Yesu… atakuwa mkuu na ataitwa mwana wa aliye juu (v. 32). Maria alipoonyesha wasiwasi malaika wa Bwana akamhakikishia haya: “The Holy Spirit will come upon you, and the power of the Most High will cover you with its shadow. And so the child will be holy and will be called son of God…”

Siku ya kuzaliwa kwa mtoto ilipofika, malaika wa Bwana aliwatokea wachungaji na kuwaambia habari za kuzaliwa kwake akisema hivi:

“Do not be afraid. Look I bring you news of great joy, a joy to be shared by the whole people. Today in the town of David a Saviour has been born to you; he is Christ the Lord...” (Luke 2:10-11).

Siku ya nane ilipofika, mtoto alitahiriwa na kisha kupewa jina YESU kama malaika wa Bwana alivyokuwa ameagiza (Luke 2: 21).

YESU ANAWAITA WAFUASI WAKE WA KWANZA - Luke 5:1-11; Matthew 4:18-22; Mark 1:16-20; John 1:40-42. Soma pia John 1:40-51.

YESU ANAWACHAGUA WANAFUNZI WAKE 12 anaowataka: Mark 3:14-15; Matthew 10:1-16, Luke 9:1-6. Hawa aliwapa uwezo wa kuhubiri habari njema na kuwaponya wagonjwa na baadaye akawatuma kwenda kuhubiri duniani kote kwa maneno haya:

“All authority in heaven and on earth has been given to me. Go, therefore, make disciples of all nations, and baptize them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit, and teach them to observe all the commands I gave you. And look, I am with you always; yes, to the end of time” (Matthew 28:16-20). See also: Mark 16:15-16; Luke 24:47; John 14:18-21 & Acts 2:37-41.

YESU ANAMFANYA PETER KUWA KIONGOZI WA WANAFUNZI/WAFUASI WAKE (JUMUIYA YAKE YA AWALI):

When Jesus came to the region of Caesarea Philippi he put this question to his disciples, ‘Who do people say the Son of man is?’ And they said, ‘Some say John the Baptist, some Elijah, and others Jeremiah or one of the prophets. ‘But you,’ he said, who do you say I am?’ Then Simon Peter spoke up and said, ‘You are the Christ, the Son of the living God.’ Jesus replied, ‘Simon son of Jonah, you are a blessed man! Because it was no human agency that revealed this to you but my Father in Heaven. So I now say to you. You are Peter and on this rock I will build my community. And the gates of the underworld can never overpower it. I will give you the keys of the kingdom of Heaven: whatever you bind on earth will be bound in heaven; whatever you loose on earth will be loosed in heaven. Then he gave the disciples strict orders not to say to anyone that he was the Christ.”

A: KUTOKANA NA MISTARI NILIYOTUMIA HAPO JUU

1. Tunaona jumuiya ya Wakristo ilikuwa taratibu kutoka idadi ndogo ya wanafunzi/wafuasi wa Yesu Kristo kufikia idadi kubwa kabisa kama ilivyo leo hii.

2. Hivyo, mwanzoni kabisa Yesu alichagua kundi dogo la wanafunzi/wafuasi wake na kuwafundisha neno la Mungu - habari njema. Kisha alimsimika Petro kuwa kiongozi wao (John 21:15-17). Hii ilikuwa jumuiya ya awali ya Yesu Kristo, wafuasi wa awali wa Yesu Kristo, Wakristo wa kwanza, ambao aliwatuma kueneza habari njema duniani kote.

2. Hao wanafunzi/wafuasi/Wakristo waliongezeka siku hata siku (Acts 2:41, 47). Mwanzoni hapakuwepo Kanisa (institution) kama ilivyo sasa bali Wakristo wa kwanza walikuwa wakikutana kwenye Temple na kwenye nyumba zao kwa kusali na kutafakari neno la Mungu pamoja kwani idadi yao ilikuwa ndogo tu (Acts 2:42-47).

3. Kadiri idadi ilivyozidi kuongezeka, mahitaji ya jumuiya ya Kikristo/Wakristo/Kanisa yaliongezeka pia. Hivyo, kukawa na haja ya kusimika viongozi wasaidizi (Acts 6:1-7) ili kazi ya kuhubiri na kutoa huduma kwa jamii iende vizuri. Kupanuka huku kemeendelea hadi leo.

4. Acts 11:26 – “It was at Antioch that the disciples were first called Christians

B: Christians simply means apostles/disciples/followers of Jesus Christ/a community of Jesus Christ/the Church. It’s like Aristotelians are disciples/followers of Aristotle; Thomists are disciples/followers of St Thomas; Marxists are disciples/followers of Marx etc i.e followers of their schools of thought – what the founders believed and taught.

Swali ambalo Waislamu mara nyingi wanauliza: “Ni wapi imeandikwa kwenye Biblia kuwa Yesu alikuwa Mkristo?” Of course, Yesu ni ‘founder’ wa Ukristo na hivyo yeye hawezi kuwa ‘disciple’/’follower’. Yeye ni ‘master’. Aristotle hawezi kuwa Aristotelian; Thomas hawezi kuwa Thomist na wala Marx hawezi kuwa Marxist (kama nilivyoeleza hapo juu B:).

Waislamu wanadai dini ya Kiislamu ilitoka kwa Mungu. Je, wanaweza kuonesha ni aya au surah gani kwenye Qur’an inasema Mungu ni Mwislamu kama wanavyotaka Biblia iseme ni wapi imeandikwa Yesu alikuwa Mkristo? Hivyo, mara nyingi maswali wanayouliza kwa Wakristo hayana maana yoyote na hivyo huwezi kupata majibu yake.

Kama mtu anashindwa kuona kuwa a Christian is someone who believes in and follows the teachings of Jesus Christ na Christains ni wingi wa Christian, unategemea nini? Christianity is the religion based on the teachings of Jesus Christ. Maneno haya mtu anaweza kutafuta mwenyewe kwenye mtandano/encyclopedia/dictionary na kujisomea kuliko kutaka atafutiwe.

Kwa hivyo, kusema ‘HAKUNA DINI INAYOITWA KIKRISTO KWA SABABU HUO UKRISTO SIO DINI YA MWENYEEZI MUNGU SIO DINI YA UKWELI NI DINI ALIYOLETA MTUME PAULO SIO BWANA YESU’ inaonesha tu kuwa mchangiaji hajui kitu gani anachokizungumzia. Anahitaji kujiendeleza zaidi katika elimu ili ajue anapochangia anachangia nini.

Katika kutafuta kwangu kwenye mtandao, neno Mohammedan kutaka kuona kama na lenyewe linatumika kama linavyotumika neno Christian nimepata ‘information’ ifuatayo:

Mohammedan (also spelt Muhammadan, Mahommedan, Mahomedan or Mahometan) is a term used as both a noun and an adjective meaning belonging or relating to either the religion of Islam or to that of the Islamic prophet Muhammad; a term largely rejected by the Muslim world as a misnomer[1][2][3]

The term is now largely superseded by Muslim, Moslem or Islamic, but was commonly used only in Western literature until at least the mid-1960s. (See for instance the second edition of A Dictionary of Modern English Usage by HW Fowler, revised by Ernest Gowers (Oxford, 1965)). Muslim is more commonly used today than Moslem, and the term Mohammedan is generally considered archaic or in some cases even offensive.[4] According to the SOED (1973), Mohammedan was in use by 1681, along with the older term Mahometan that dates back to at least 1529.

The Online Etymology Dictionary reports that the earliest form in English of the name of Muhammad was Mahum (c.1205), which was originally confused for "an idol", while Wyclif has Macamethe (c.1380).[5] In Christian Western Europe, until the 13th century or so, there was a mistaken belief among some Christians that Muslims worshiped Mahomet, while some considered him a heretic.[6]

Other European literature in the Middle Ages referred to Muslims as pagans or by sobriquets such as the paynim foe. Depictions such as those in the Song of Roland represent Muslims worshipping Muhammad as a god, or worshipping various deities in the form of "idols", ranging from Apollo to Lucifer, but ascribing to them a chief deity known as "Termagant".[7]

When the Knights Templar were being tried for heresy, reference was often made to their worship of a demon Baphomet, which was notable by implication for its similarity to "Mahomet". These and other variations on the theme were all set in the "temper of the times" of what was seen as a Muslim-Christian conflict as Medieval Europe was building a concept of "the great enemy" in the wake of the quickfire success of the Muslims through a series of conquests shortly after the fall of the Western Roman Empire, as well as the lack of concrete information in the West about the mysterious East.[8]

References
1. Mohammedanism a Misnomer, by R. Bosworth Smith, Paul Tice
2. Definition of Mohammedanism, Farlex Encyclopedia
3. What does Islam mean?, Islamic Bulletin
4. The American Heritage Dictionary, Fourth Edition (2000) annotates the term as offensive.[1][2] The OED has "its use is now widely seen as depreciatory or offensive", referring to English Today no. 39 (1992): "The term Mohammedan [...] is considered offensive or pejorative to most Muslims since it makes human beings central in their religion, a position which only Allah may occupy."
5. http://www.etymonline.com/index.php?search=Muhammad&searchmode=term
6. Kenneth Meyer Setton (July 1, 1992). "Western Hostility to Islam and Prophecies of Turkish Doom". DIANE Publishing. ISBN 0-87169-201-5. pg 4-15
7. Brewer's Dictionary of Phrase and Fable, "Termagant
8. Watt, Montgomery,Muhammad: Prophet and Statesman. Oxford University Press, 1961. fromm pg. 229

Source: [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Mohammedan[/ame]
 
Huyu ndio myahudi mweusi nilio waambia, kazi yake ni kuweka fitini (Chuki) baina ya Wakristo na Waislamu, kazi yake ni kama kazi ya shetani.

Waislam kwa jazba bana. Mkuu, mtu pekee ambaye alikuwa anafanya kazi ya Sheytwain ni Marehemu Muham-mad, mtume wako.

Yule jamaa, mtume wako, hakuna hata jema moja alilo fanya tangia kuzaliwa kwake.

Hivi unajuwa ni kwasababu gani Shangazi yake Marehemu Muham-mad alimrudisha Mwamadi haraka haraka nyumbani kwa mama yake alipo kuwa mtoto?

Kama wewe kweli unaujuwa huo Usilamu wenu, lete sababu ya Marehemu Muham-mad ya kurudishwa nyumbani na Shangazi yake alipo kuwa mtoto?
 
the biggest problem of you ni kwamba unapenda kunukuu riwaya, aidha kwa makusudi au kv hujui lolote kwenye uislam ingawaje unataka kujifanya unaujua. But to cut story short, kuran haishikwi na mtu anayechamba kwa toilet paper badala ya maji. I guess u then know why muhamed might be not keen for non muslim to play with qurain

Wewe inaonekana kuwa hujuwi hata kidogo huo usilamu unao fuata. Nimeweka swali, kanini Marehemu Mtume wako alikataza watu kubeba Kolani yenu iliyo jaa shaka? Wewe umekuja na hadithi zingine za Kimuhamadi. Hilo ndilo tatizo la kutumia madrasa katika kujibu maswali, mnaonekana vituko.

Hivi mtume wako alitumia nini kichamba? Unataka nikuletee hapa kila mtu aone ni nini allah wenu alikuwa anatumia?
 
...Na ili kusoma 'meditatively' kunahitajika msomaji awe anajua 'context' ya 'text' yenyewe. Mfano, 'narrative' inawahusu akina nani (whether they are direct addressees or indirect ones) na ina maana gani. Kufanya hivi, kunaitwa ‘hermeneutics’ au ‘exegesis’...

...Sasa tuangalie jinsi gani Yesu aliwapata wafunzi wake (apostles) na wafuasi wake (disciples) – waumini wake au Wakristo (wafuasi wa Yesu Kristo) lini - hatua kwa hatua.

UTABIRI WA KUZALIWA KWA YESU ulianza na manabii wa zamani. Nabii Isaiah 7:12-17 anatabiri mwanamwali (Greek, bikira) atamzaa mtoto mwanamme wa uzao/nyumba ya Daudi na ataitwa Immanuel. Soma pia Isaiah 9:5-6.

Siku ya kuzaliwa kwa mtoto ilipofika, malaika wa Bwana aliwatokea wachungaji na kuwaambia habari za kuzaliwa kwake akisema hivi:

“Do not be afraid. Look I bring you news of great joy, a joy to be shared by the whole people. Today in the town of David a Saviour has been born to you; he is Christ the Lord...” (Luke 2:10-11).

Siku ya nane ilipofika, mtoto alitahiriwa na kisha kupewa jina YESU kama malaika wa Bwana alivyokuwa ameagiza (Luke 2: 21).
When members of the clergy read to their flock the verse of Isaiah 7:14, they then go on to explain to them: "Do you see? Prophet Isaiah prophesied the coming of the God Himself. Immanuel means 'God is with us,' so this is not only a prophesy of the coming of God but also a prophesy of the 'incarnation' of God Almighty in the form of Jesus".

It is true, Immanuel does mean "God is with us." However, this is a prime example of how the evangelists manage to constantly base their arguments on catch words or phrases and then quickly gloss over the details.

The phrase "a virgin" which we find in our English Bibles does not appear in the original Hebrew text. The word used is 'almah (al-maw') meaning "a young woman of marriageable age". The Hebrew word for "virgin" is bthuwlah (beth-oo-law'). When the Hebrew text is translated into Greek in the NT, it uses the word parthenos (per-then'-os), which has a dual meaning; a young girl or a virgin.

The translators have mistakenly chosen the latter. More recent and accurate versions of the Bible such as the Revised Standard Version present this verse as follows:

"Therefore, the Lord Himself will give you a sign. Look, the young woman is with child and shall bear a son, and shall name him Immanuel"
Isaiah 7:14 (RSV)

Biblical scholars have suggested that this prophesy was concerning the second son or possibly the third son of Isaiah by a Jewish maiden. It does not relate to Jesus or his virgin birth.

If Jesus (pbuh) was indeed intended by this prophesy, then why was he named "Jesus" and not "Immanuel" as the prophesy requires?

Notice that the prophesy states that "his NAME shall be Immanuel." It does not say that "HE shall be Immanuel." There is a big difference between saying "His name shall be 'God is with us'" and between saying "He shall be God with us."

"Immanuel" is not the only name in the OT that contains the word "El" (God). There are hundreds of Hebrew names that consist of "El" and another noun. For example, "Ishmael" which means "God hears." Did God's sense of hearing come down to earth and live among us in the form of a man? Was God's sense of hearing "incarnated" in the form of a man?.

There is also "Israel" (prince of God), and "Elijah" (my God is Jehovah), and so forth. As we can see, it was a very common occurrence for Israelites to have such names. Neither prophet Isaiah, nor King Ahaz, nor any Jew ever thought that the prophesy was for God himself to come down and live among them.

YESU ANAMFANYA PETER KUWA KIONGOZI WA WANAFUNZI/WAFUASI WAKE (JUMUIYA YAKE YA AWALI):
But when he had turned about and looked on his disciples, he rebuked Peter, saying, Get thee behind me, Satan: for thou savourest not the things that be of God, but the things that be of men
Mark 8:33

4. Acts 11:26 – “It was at Antioch that the disciples were first called Christians.

”
B: Christianssimply means apostles/disciples/followers of Jesus Christ/a community of Jesus Christ/the Church. It’s like Aristotelians are disciples/followers of Aristotle; Thomists are disciples/followers of St Thomas; Marxists are disciples/followers of Marx etc i.e followers of their schools of thought – what the founders believed and taught.

Jina “Wakristo" Kweli lilianza kutumika kule Antiokia baada ya kuondoka Bwana Yesu (as). (Matendo 11:26). Hilo ni jina la kupanga walilotumia Wapagani wa Antiokia katika kuwaita wafuasi wa Paulo. Wapagani hao walilifahamu neno "Kristo" kama jina la ukoo tu...!
Swali ambalo Waislamu mara nyingi wanauliza: “Ni wapi imeandikwa kwenye Biblia kuwa Yesu alikuwa Mkristo?” Of course, Yesu ni ‘founder’ wa Ukristo na hivyo yeye hawezi kuwa ‘disciple’/’follower’. Yeye ni ‘master’. Aristotle hawezi kuwa Aristotelian; Thomas hawezi kuwa Thomist na wala Marx hawezi kuwa Marxist (kama nilivyoeleza hapo juu B:).

Jesus was not the founder of Christianity as we know it today. Most of the New Testament doesn't even concern the historical Jesus while the main influence is the Apostle Paul and through the church he founded at Ephesus a Greek convert named John. Paul never met Jesus in the flesh, he only claimed some strange vision and proceeded to paganize the teachings of Jesus (who preached an enlightened form of Judaism), until he created Pauline Christianity. Because there are no known writings from Jesus, the actual Apostles, or anyone that actually knew Him in the flesh (other then perhaps James), most of what He taught is lost forever, other than perhaps the disputed Gnostic Gospels.

Waislamu wanadai dini ya Kiislamu ilitoka kwa Mungu. Je, wanaweza kuonesha ni aya au surah gani kwenye Qur’an inasema Mungu ni Mwislamu kama wanavyotaka Biblia iseme ni wapi imeandikwa Yesu alikuwa Mkristo? Hivyo, mara nyingi maswali wanayouliza kwa Wakristo hayana maana yoyote na hivyo huwezi kupata majibu yake.
Pole ila kwa taarifa yako Waislam hawaitakidi kuwa Mtume Muhamad (saw), ni M'Mungu kama mnavyodai nyinyi kwa Nabii Yesu (as).

Isipokuwa
Mwenyezi Mungu kwenye Qur'an anasema hivi:
"LEO NIMEKUKAMILISHIENI DINI YENU, NA KUKUTIMIZIENI NEEMA YANGU, NA NIMEKUPENDELEENII UISILAMU UWE DINI YENU".
QUR'AN 5.3.

Pia kasema,
"NA ANAYETAKA DINI ISIYOKUWA YA KIISLAMU BASI HAITAKUBALIWA KWAKE."
QUR'AN 3.85.

Kama mtu anashindwa kuona kuwa a Christian is someone who believes in and follows the teachings of Jesus Christ na Christains ni wingi wa Christian, unategemea nini? Christianity is the religion based on the teachings of Jesus Christ. Maneno haya mtu anaweza kutafuta mwenyewe kwenye mtandano/encyclopedia/dictionary na kujisomea kuliko kutaka atafutiwe.
Nabii Yesu hakuja kutangaza ukristo...
Nabii Yesu (as) mwana wa Mariamu alikuwa Myahudi na alikukulia katika mapokeo ya Kiyahudi. Aliishi kwenye dini ya kiyahudi. Na ndio maana nukuu zake nyingi ni kutoka maandiko ya Wayahudi. Miaka mingi baada ya kuondoka kwake, dini mpya ikaanzishwa na Paulo, uko Antiokia.

Katika kutafuta kwangu kwenye mtandao, neno Mohammedan kutaka kuona kama na lenyewe linatumika kama linavyotumika neno Christian nimepata ‘information’ ifuatayo:

The term is now largely superseded by Muslim, Moslem or Islamic, but was commonly used only in Western literature until at least the mid-1960s.

Source: http://en.wikipedia.org/wiki/Mohammedan

Kuna Waislam wenye kujiita Mohammedan?
 
Magobe T, Thanks for your wise contributions. continue to educate them. I really love it.
 
WEWE X-PASTER, ARGUMENT unazotoa nizakitoto kabiasa, na zinathibitisha ni kiasi gani ulivyo na uelewa mdogo. Usipoongeza kiwango chako cha elimu hutaweza kuelewa mambo hayo. Unahitaji hekima na kukua zaidi kielimu, ndo uanze kusoma biblia. sio kitabu chepesi hivyo kama unavyofikiri.
 
wadau, ningependa kueleweshwa kwenye hili... Nilipita jana katika maeneo ya y/dovya n nikakuta mhadhara unaoongozwa na waheshimiwa fulani wa dini ya kiislam. Cha kustaajabisha, wale jamaa walikuwa hawafundishi kile ambacho nafikiri waislam wengi wangependa kujua kuhusu dini yao n badala yake walikua wanauponda ukristo wazi.... Eg yesu c mwana wa mungu(kina wahusu nn?). Nikakaa nikijua labda wangeleta topic ya kuhusu muhamad n dini yenyewe kwa ujumla lakini wapi. N nilivyodadisi nikaambiwa wana wiki ya pili ss n mada zao ni kuhusu ukristo tu... Sasa hii inajenga au inabomoa? Je! Hawaoni kwamba huko ni kupaisha dini ya wenzao ili hali kuna story kibao kuhusu uislam...

Nisaidieni, kuna uhalali wa kuingilia mambo ya wengine?
Aksanteni.

kwa kwakukusikitikia inaonyesha huna ufaham kuhusiana na mambo ya dini na ninakushauri kwa usome dini zote bila ya upendeleo kisha utafakari yale ulioyasoma.

2. Muislam anaposema yesu sio mungu wala sio mwana wa mungu sio tusi wala sio kuwatukana wakristo ....hio ni moja katika imani ya uslam na pia ujue mungu wanaemuamini waislam katika imani yao ndio mungu alie mtuma yesu katika imani yao ndie aliewakataza waislam na wasiokuwa waislam kutamka kauli hio.

Kwa hio ni vizuri ukasoma kwanza...

Mfano wa 3 kwa kukuelewesha.
Muislam akisema mungu ni mmoja haina maana kama amewatukana wahindu kwa sababu wao husema miungu ipo milion 3.

Kwa hio msome jaaama kina daniel.
 
WEWE X-PASTER, ARGUMENT unazotoa nizakitoto kabiasa, na zinathibitisha ni kiasi gani ulivyo na uelewa mdogo. Usipoongeza kiwango chako cha elimu hutaweza kuelewa mambo hayo. Unahitaji hekima na kukua zaidi kielimu, ndo uanze kusoma biblia. sio kitabu chepesi hivyo kama unavyofikiri.
Kilian, nashukuru sana na nitajitahidi kufuata ushauri wako Insha'Allah.

Ila quote zangu za kutoka kwenye bibilia huwa natumia Revise Standard Version, na hiyo haikutimia neno Virgin kwenye Isaiah, Na isitoshe kwenye Kamusi ya bibilia wanasema hivi

"The name Immanuel could mean 'God be with us' in the sense 'God help us!"
Interpreter's dictionary of the Bible, V2, p. 686.

Nabii Yesu (Rehma na amani ziwe kwake), kabla ya kuzaliwa alipewa jina na Malaika Mkuu Gabriel h (Matthew 1:21). Kwa bahati mbaya au nzuri kwenye maisha yake yote hakuwahi kuitwa "Immanuel." Hili nalo linaitaji usomi!?

King Ahaz was in danger. His enemies were closing in. This is when a promise was made to show him a sign, a pregnant woman, not a virgin Mary (pbuh) who would not show up until many centuries after he had turned to dust. Can we see how the Trinitarian doctrine of incarnation was forced upon the message of Jesus (pbuh) through "bending" of the prophesies and general glossing over of the "trivial details"?

When members of the clergy read to their flock the verse of Isaiah 7:14, they then go on to explain to them: "Do you see? Prophet Isaiah prophesied the coming of the God Himself. Immanuel means 'God is with us,' so this is not only a prophesy of the coming of God but also a prophesy of the 'incarnation' of God Almighty in the form of Jesus".

It is true, Immanuel does mean "God is with us." However, this is a prime example of how the evangelists manage to constantly base their arguments on catch words or phrases and then quickly gloss over the details.

The phrase "a virgin" which we find in our English Bibles does not appear in the original Hebrew text. The word used is 'almah (al-maw') meaning "a young woman of marriageable age". The Hebrew word for "virgin" is bthuwlah (beth-oo-law'). When the Hebrew text is translated into Greek in the NT, it uses the word parthenos (per-then'-os), which has a dual meaning; a young girl or a virgin.

The translators have mistakenly chosen the latter. More recent and accurate versions of the Bible such as the Revised Standard Version present this verse as follows:

"Therefore, the Lord Himself will give you a sign. Look, the young woman is with child and shall bear a son, and shall name him Immanuel"
Isaiah 7:14 (RSV)

Biblical scholars have suggested that this prophesy was concerning the second son or possibly the third son of Isaiah by a Jewish maiden. It does not relate to Jesus or his virgin birth.

If Jesus (pbuh) was indeed intended by this prophesy, then why was he named "Jesus" and not "Immanuel" as the prophesy requires?

Notice that the prophesy states that "his NAME shall be Immanuel." It does not say that "HE shall be Immanuel." There is a big difference between saying "His name shall be 'God is with us'" and between saying "He shall be God with us."

"Immanuel" is not the only name in the OT that contains the word "El" (God). There are hundreds of Hebrew names that consist of "El" and another noun. For example, "Ishmael" which means "God hears." Did God's sense of hearing come down to earth and live among us in the form of a man? Was God's sense of hearing "incarnated" in the form of a man?.

There is also "Israel" (prince of God), and "Elijah" (my God is Jehovah), and so forth. As we can see, it was a very common occurrence for Israelites to have such names. Neither prophet Isaiah, nor King Ahaz, nor any Jew ever thought that the prophesy was for God himself to come down and live among them.

But when he had turned about and looked on his disciples, he rebuked Peter, saying, Get thee behind me, Satan: for thou savourest not the things that be of God, but the things that be of men
Mark 8:33

Jina “Wakristo" Kweli lilianza kutumika kule Antiokia baada ya kuondoka Bwana Yesu (as). (Matendo 11:26). Hilo ni jina la kupanga walilotumia Wapagani wa Antiokia katika kuwaita wafuasi wa Paulo. Wapagani hao walilifahamu neno "Kristo" kama jina la ukoo tu...!

Jesus was not the founder of Christianity as we know it today. Most of the New Testament doesn't even concern the historical Jesus while the main influence is the Apostle Paul and through the church he founded at Ephesus a Greek convert named John. Paul never met Jesus in the flesh, he only claimed some strange vision and proceeded to paganize the teachings of Jesus (who preached an enlightened form of Judaism), until he created Pauline Christianity. Because there are no known writings from Jesus, the actual Apostles, or anyone that actually knew Him in the flesh (other then perhaps James), most of what He taught is lost forever, other than perhaps the disputed Gnostic Gospels.

Pole ila kwa taarifa yako Waislam hawaitakidi kuwa Mtume Muhamad (saw), ni M'Mungu kama mnavyodai nyinyi kwa Nabii Yesu (as).

Isipokuwa Mwenyezi Mungu kwenye Qur'an anasema hivi:
"LEO NIMEKUKAMILISHIENI DINI YENU, NA KUKUTIMIZIENI NEEMA YANGU, NA NIMEKUPENDELEENII UISILAMU UWE DINI YENU".
QUR'AN 5.3.

Pia kasema,
"NA ANAYETAKA DINI ISIYOKUWA YA KIISLAMU BASI HAITAKUBALIWA KWAKE."
QUR'AN 3.85.

Nabii Yesu hakuja kutangaza ukristo...
Nabii Yesu (as) mwana wa Mariamu alikuwa Myahudi na alikukulia katika mapokeo ya Kiyahudi. Aliishi kwenye dini ya kiyahudi. Na ndio maana nukuu zake nyingi ni kutoka maandiko ya Wayahudi. Miaka mingi baada ya kuondoka kwake, dini mpya ikaanzishwa na Paulo, uko Antiokia.

Kuna Waislam wenye kujiita Mohammedan?

Hii yote ni kutaka tu useme 'Islam is the religion and Christianity is not' si uoneshe na siyo kupinga tu. Kweli dini iliyoanza karne ya 5 na tena historia ya kuenea kwake tunaijua leo isemekane ndiyo dini iliyotoka kwa Mungu. Na mbya zaidi ni kudai hata Nuhu, Moses, Abraham..., Yesu etc walikuwa Waislamu!

Kama Paulo ndiyo kaanzisha Ukristo, je yeye hakuwa Mwislamu? Hebu taja list ya Waislam na ambao hawakuwa Waislamu tuone na ueleze kwa nini hao utakaowataja walikuwa Waislamu na wengine hapana. Pia ueleze hao ambao walikuwa Waislamu ni wapi imeandikwa wao wenyewe wakisema walikuwa Waislamu kama mnavyodai Wakristo waoneshe ni wapi Yesu kasema alikuwa Mkristo.

Yesu alikuja kutangaza habari njema - Injili - na aliwatuma wafuasi wake (Wakristo au wa Kristo) kufanya hivyo na kuwabatiza watakaoamini kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Wafuasi wa Yesu ndio Wakristo (Christians, followers/disciples of Jesus Christ).

Katika kutafuta kwangu kwenye mtandao, neno Mohammedan kutaka kuona kama na lenyewe linatumika kama linavyotumika neno Christian nimepata ‘information’ ifuatayo:

Mohammedan (also spelt Muhammadan, Mahommedan, Mahomedan or Mahometan) is a term used as both a noun and an adjective meaning belonging or relating to either the religion of Islam or to that of the Islamic prophet Muhammad; a term largely rejected by the Muslim world as a misnomer[1][2][3]

The term is now largely superseded by Muslim, Moslem or Islamic, but was commonly used only in Western literature until at least the mid-1960s. (See for instance the second edition of A Dictionary of Modern English Usage by HW Fowler, revised by Ernest Gowers (Oxford, 1965)).

Muslim is more commonly used today than Moslem, and the term Mohammedan is generally considered archaic or in some cases even offensive.[4] According to the SOED (1973), Mohammedan was in use by 1681, along with the older term Mahometan that dates back to at least 1529.

The Online Etymology Dictionary reports that the earliest form in English of the name of Muhammad was Mahum (c.1205), which was originally confused for "an idol", while Wyclif has Macamethe (c.1380).[5] In Christian Western Europe, until the 13th century or so, there was a mistaken belief among some Christians that Muslims worshiped Mahomet, while some considered him a heretic.[6]

Other European literature in the Middle Ages referred to Muslims as pagans or by sobriquets such as the paynim foe. Depictions such as those in the Song of Roland represent Muslims worshipping Muhammad as a god, or worshipping various deities in the form of "idols", ranging from Apollo to Lucifer, but ascribing to them a chief deity known as "Termagant".[7]

When the Knights Templar were being tried for heresy, reference was often made to their worship of a demon Baphomet, which was notable by implication for its similarity to "Mahomet". These and other variations on the theme were all set in the "temper of the times" of what was seen as a Muslim-Christian conflict as Medieval Europe was building a concept of "the great enemy" in the wake of the quickfire success of the Muslims through a series of conquests shortly after the fall of the Western Roman Empire, as well as the lack of concrete information in the West about the mysterious East.[8]

References
1. Mohammedanism a Misnomer, by R. Bosworth Smith, Paul Tice
2. Definition of Mohammedanism, Farlex Encyclopedia
3. What does Islam mean?, Islamic Bulletin
4. The American Heritage Dictionary, Fourth Edition (2000) annotates the term as offensive.[1][2] The OED has "its use is now widely seen as depreciatory or offensive", referring to English Today no. 39 (1992): "The term Mohammedan [...] is considered offensive or pejorative to most Muslims since it makes human beings central in their religion, a position which only Allah may occupy."
5. http://www.etymonline.com/index.php?...earchmode=term
6. Kenneth Meyer Setton (July 1, 1992). "Western Hostility to Islam and Prophecies of Turkish Doom". DIANE Publishing. ISBN 0-87169-201-5. pg 4-15
7. Brewer's Dictionary of Phrase and Fable, "Termagant
8. Watt, Montgomery,Muhammad: Prophet and Statesman. Oxford University Press, 1961. fromm pg. 229

Source: Wikipedia
 
“Hakika amefaulu aliye silimu na akaruzukiwa kimtoshacho na Allah akamkinaisha kwa alicho mpa”.

Hiyo ingekuwa kweli, basi nchi ambazo majority ni Waislamu duniani zingeonyesha mfano wa kuishi kiadilifu zaidi. Lakini, angalia umwagaji damu katika nchi hizo. Hiyo, ni alama tosha ya kupinga unachokisema.
 
Mohammedan (also spelt Muhammadan, Mahommedan, Mahomedan or Mahometan) is a term used as both a noun and an adjective meaning belonging or relating to either the religion of Islam or to that of the Islamic prophet Muhammad; a term largely rejected by the Muslim world as a misnomer

Source: Wikipedia
Naona unarudia rudia tu...! Nadhani nimeuliza swali dogo tu kuhusiana na hiyo Muhammadan..!

Je Waislam wanajiita hivyo?

Hoja nyingi umeshindwa kuzijibu... sina uhakika kama umezisoma na kuzielewa.
 
Hiyo ingekuwa kweli, basi nchi ambazo majority ni Waislamu duniani zingeonyesha mfano wa kuishi kiadilifu zaidi. Lakini, angalia umwagaji damu katika nchi hizo. Hiyo, ni alama tosha ya kupinga unachokisema.
Majeshi ya Nchi za Kikristo yanafanya nini uko kwenye nchi zenye Waislam wengi?
 
Hebu siku zote mnapozungumzia masuala ya kiimani jaribuni kutofautisha kati ya serikali za kisiasa (secular order) na mambo ya kiroho katka dini. Maana ili mungu aweze kuuweka ufalme wake juu ya dunia ni sharti kwanza hizi tawala zote za kidunia zikome. Kusingekuwa na ulazima wa Mungu kuzifuta zote kama kungelikuwepo na moja ambayo ingeliweza kumilikishwa utawala wa dunia ijayo. Je kuna serikali yeyote ya hizi tulizo nazo inayothubutu kusema ndio itakayotawala kupitia katiba yake?? 'GOD DOES NOT PLAY DISE WITH UNIRVESE!!
 
Hebu siku zote mnapozungumzia masuala ya kiimani jaribuni kutofautisha kati ya serikali za kisiasa (secular order) na mambo ya kiroho katka dini.....

Kwa bahati ghafi huwezi kutofautisha hayo. Aidha ukubali kuwacha ya kiroho na kufuata secular au kuacha secular na kufuata yale Mwenyezi Mungu ameagiza.
 
Naona unarudia rudia tu...! Nadhani nimeuliza swali dogo tu kuhusiana na hiyo Muhammadan..!

Je Waislam wanajiita hivyo?

Hoja nyingi umeshindwa kuzijibu... sina uhakika kama umezisoma na kuzielewa.

"According to the SOED (1973), Mohammedan was in use by 1681, along with the older term Mahometan that dates back to at least 1529."
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom