Mbona sijawahi kusikia mihadhara ya kikristo ikizungumzia uislam?
KWA SABABU HAKUNA DINI INAYOITWA KIKRISTO KWA SABABU HUO UKRISTO SIO DINI YA MWENYEEZI MUNGU SIO DINI YA UKWELI NI DINI ALIYOLETA MTUME PAULO SIO BWANA YESU USHAHIDI NI HAPA SOMA Matendo ya Mitume/ Chapter 11 22. Habari hizo za watu hao zikafika masikioni mwa kanisa lililokuwako katika Yerusalemu; wakamtuma Barnaba, aende hata Antiokia.
23. Naye, alipokwisha kufika na kuiona neema ya Mungu akafurahi, akawasihi wote waambatane na Bwana kwa kusudi la moyo.
24. Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.
25. Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli;
26. hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.
Warumi/ Chapter 1 1. Paulo, mtumwa wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume, na kutengwa aihubiri Injili ya Mungu;
8. Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inahubiriwa katika dunia nzima.
15. Kwa hiyo, kwa upande wangu, mimi ni tayari kuihubiri Injili hata na kwenu ninyi mnaokaa Rumi.
2 Wakorintho/ Chapter 3 1. Je! Tunaanza tena kujisifu wenyewe? Au tunahitaji, kama wengine, barua zenye sifa kuja kwenu, au kutoka kwenu?
1 Wakorintho/ Chapter 1 1. Paulo, aliyeitwa kuwa mtume wa Yesu Kristo kwa mapenzi ya Mungu, na Sosthene ndugu yetu,
2 Wakorintho/ Chapter 11 1. Laiti mngechukuliana nami katika upumbavu wangu kidogo! Naam, mchukuliane nami
KWA MAFUNDISHO HAYA YA MTUME PAULO INATOSHA KABISA KUWA UKRISTO ALIULETA MTUME PAULO, SIO BWANA YESU KWA HIYO WANAUFUATA UKRISTO WANAMFUATA MTUME PAULO SIO BWANA YESU, NA HAO WANAOMFUATA MTUME PAULO WAMEPOTEA NJIA NA WATAKWENDA MOTONI. KAMA BWANA YESU ANAVYOSEMA KUWA KIPOFU AKIMUONGOZA KIPOFU MWENZIE WATATUMBIA WOTE SHIMONI SASA ANGALIENI NDUGU ZANGU WAKRISTO MNAONGOZWA NA KIPOFU MTUME PAULO MTATUMBUKIA WOTE SHIMONI YAANI MTAINGIA MOTONI WOTE MNAOMFUATA MTUME PAULO MWENYEEZI MUNGU WAKRISTO AWAONGOZE NJIA ILIYONYOOKA AMEEN.