Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Status
Not open for further replies.

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18
Wadau, ningependa kueleweshwa kwenye hili... Nilipita jana katika maeneo ya Y/dovya n nikakuta mhadhara unaoongozwa na waheshimiwa fulani wa dini ya Kiislam.

Cha kustaajabisha, wale jamaa walikuwa hawafundishi kile ambacho nafikiri Waislam wengi wangependa kujua kuhusu dini yao n badala yake walikua wanauponda Ukristo wazi.... Eg Yesu c mwana wa Mungu(kina wahusu nn?). Nikakaa nikijua labda wangeleta topic ya kuhusu Muhamad n dini yenyewe kwa ujumla lakini wapi.

Nilivyodadisi nikaambiwa wana wiki ya pili ss n mada zao ni kuhusu ukristo tu...

Sasa hii inajenga au inabomoa? Je! hawaoni kwamba huko ni kupaisha dini ya wenzao ili hali kuna story kibao kuhusu uislam...

Nisaidieni, Kuna uhalali wa kuingilia mambo ya wengine?
Aksanteni.
 
ni afadhali ukahakikishe kama wanachosema ni kweli au uwongo halafu uamue kuliko kufuata uwongo mpaka lini?

Je inawahusu nini? hayo ni maagizo ya dini ya uislamu kuwalingania wasio waislamu kwamba mungu ni moja wala hana mwana wala hajazaa...
 
Siku ya mwisho au kiama ndo tutajua pumba ni zipi na mchele ni upi. Mambo ya kusema kutafuta ukweli sizani kama huyo tumaini anao ukweli zaidi ya porojo tu. Mimi naomba niulize kitu kimoja kwanini ukitaja jina la Yesu tu mapepo na majini yanamtoka mtu na sijawahi kusikia ukitaja jina la mtume Mjamadi yakatoka?
 
kutoa mapepo ni uongo wa wahubiri kutafuta pesa...ni sawa na waganga wa kienyeji wanavyojidai kwamba watakutibu kumbe kanyaboa..soma achana na mapambio ya wajanja
 
Ukweli uko wazi kwamba waislam kwa sababu ya wengi wao kuto kuwa na elimu basi wanandhani wakitukana na kukashifu ndo wanaendelea kiuchumi kumbe ndo wananwapumbaza watu wao.

At the far end wanaanza kulalamika eti wanaonewa, wajinga ndio waliwao.....acha watukane sisi tunapiga mzigo tu kwa sababu wanatafuta uwaguse tu ili waamshe mapanga yao na mabomu ya kujitoa mhanga.
 
ni afadhali ukahakikishe kama wanachosema ni kweli au uwongo halafu uamue kuliko kufuata uwongo mpaka lini?

Je inawahusu nini? hayo ni maagizo ya dini ya uislamu kuwalingania wasio waislamu kwamba mungu ni moja wala hana mwana wala hajazaa...

kama una akili timamu huwezi ukakaa kwenye mihadha ya waislamu badala yake inabidi ukafanye kazi upate riziki ya watoto wako. Waislamu wengi ni wavivu ......hasa mashehe ni waganga wa kienyeji wakiongozwa na yahya.
 
Halafu dini singine ni za mashetani kwa sababu hakuna dini inayomtukuza mungu ikahubiri kuua. Mifano ipo mingi ya jinsi waislamu wanavyoona kuua ndo fahari ya kwenda kuzimu .....ok endeleeni.
 
Kuna taarifa kwamba shehe ponda anafadhiliwa na al shabab ili aendeleze hiyo mijadala..........RO take care of that guy.
 
Kwa kweli wanaudhi coz utakuta wanafanya hivyo mpaka mida ya saa nne usiku n maspika yao yana kelele kweli! Nakumbuka kipindi cha Mkapa walidhibitiwa lakini tangu aingie Mjomba......... imekuwa ndy wamefunguliwa.
 
juzi nimepita manzese wapo pale wanaendeleza mambo hayo hayo, kwa nini wasitumie muda huo kutangaza dini yao badala ya kukashifiana?
 
juzi nimepita manzese wapo pale wanaendeleza mambo hayo hayo, kwa nini wasitumie muda huo kutangaza dini yao badala ya kukashifiana?
Kwa kweli wananishangaza sana alaf wala hawafuatiliwi... Yaani wamekaa kiukorofi zaidi
 
Kwa ujumla wenzetu hao wana a serious inferiority complex ambayo matibabu yake ni sala kwa kwenda mbele. WASHINDWE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanauponda ukiristo ili watu wahamie uislam.Ofcourse ni mbinu ya kizamani lakini inawasaidia wanapitisha siku.
 
juzi nimepita manzese wapo pale wanaendeleza mambo hayo hayo, kwa nini wasitumie muda huo kutangaza dini yao badala ya kukashifiana?

Hawana cha kuubiri kwenye uislam lazima wakimbilie kuukashifu ukristo ambao umejikita zaidi katika kumwokoa mwanadamu asiangamie.Wahubiri wengi wanajua ukweli kwamba wapi watakwenda siku ya mwisho hawataki kwenda pekee yao wanataka kwenda na kundi kubwa.

Kwa kweli wananishangaza sana alaf wala hawafuatiliwi... Yaani wamekaa kiukorofi zaidi

Kwa ujumla wenzetu hao wana a serious inferiority complex ambayo matibabu yake ni sala kwa kwenda mbele. WASHINDWE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tayari wameshaandaliwa sehemu ya kwenda wanababaika tu lakini ukweli wanaujua.Kuna mzee mmoja wa kiislamu mwenye umri wa kati ya miaka 80 - 85 alikuwa anapenda sana kuja nyumbani kwangu siku za jumapili kusikiliza nyimbo za Injili nika mwambia kwanini asitoke gizani na kuingia kwenye nuru akanijibu anaogopa ndugu zake watamtenga pengine hata kumuua.Nikagundua kitu kimoja kwa ndugu zetu waislamu kwamba wanajua uislam ni dini ya kuzuga tu duniani wala hawasaidii lolote.

Wanauponda ukiristo ili watu wahamie uislam.Ofcourse ni mbinu ya kizamani lakini inawasaidia wanapitisha siku.

Wanaweza kuwapata wakristo dhaifu wasioujua uislam vyema.Simba mzee anatabia ya kuwinda wanyama dhaifu bila shaka hao wahubiri ni dhaifu ndiyo maana wanatumia mbinu dhaifu.
Watu wanompiga shetani mawe unafikiri wana akili nzuri kweli.
 
The Qur'an (Koran) says that:-

Allah desires to lead people astray (Qur'an Sura 6:39, 126).

He does not help those who are led astray by him (Sura 30:29),

and Allah desires to use them to populate hell (Sura 32:13).
 
Duh! hii kali.
 
Lakini kuna jambo moja dhahiri ni kua wengi wanaoendesha mihadhara hii ni waganga njaa waliokubuhu, wanajua watu masikini mara nyingi hata uelewa wao unakasoro kwa maana ya kiwango duni cha elimu.
ukitaka kujua kua ni maswala ya kukidhi njaa, mwisho wa mihadhara hii wanaanza kuchangisha pesa.
maisha yangu yote yakuishi hapo Dar es salaam watu hawa hujikita maeneo ya Buguruni, Manzese,Temeke,Tandika, Mtoni na Yombo. ni ngumu kuwakuta Masaki, Mbezi Beach, Segerea, Sinza,Mwenge///hawaendi huku kwa sababu kiwango cha uelewa cha wakazi wa maeneo haya kipo juu, hawawezi kusikiliza kelele za Yesu si Mungu kisha mwishoni wakupe pesa, nenda kapige kelele Masaki/Obey kama hukupigwa bakora na polisi..Mihadhara ni dalili ya Uduni wa akili na upofu wa mawazo.
 
Ya totally ryt mkuu. Thanx
 
unajua hawa jamaa hawana kazi za kufanya....na ni ibilisi wakubwa maana wanaweza kukufanaya usifikirie mambo ya muhimu ya maendeleo.....wamezoea kupoteza muda bila kufanya kazi....ndio maana vijiwe vya kahawa halali yao na stori zao ndio hizohizo...nani katoka nani kaingia jioni kwenye yesu sio mungu nk.....hawana muda wa kujiuliza mbona waislaumu wenzetu wanapoteza uhai kila mwaka wakienda hija? kwao madrasa ni bora kuliko madarasa........wanaamini mungu wanae mwabudu ndio yuleyule mmoja kumbe wanapotoka.......kuna mungu wa wakristo na wa waislaumu.....na bible inasema ukiwa mchafu huwezi kusoma bible na kuielewa ....mwenye hekima habishani waache wa poteze muda na ajenda zao za kuoa wake wengi ili wa outnumber christians.sawasawa na wapalestina kung'ang'ania jerusalem wakati israel ni taifa teule la mungu.....
tuwatafutie dawa....................
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom