Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Status
Not open for further replies.
Maeneo gani hayo mjomba,Y-Dovya mmmmmmmm kazi means kuwa na shughuli ni muhimu sana sbb hao jamaa huwa ni usiku sasa ukitoka work jioni na pilika za usafiri wa yombo cdhani kama utapakaa hapo
 
Naona unarudia rudia tu...! Nadhani nimeuliza swali dogo tu kuhusiana na hiyo Muhammadan..!

Je Waislam wanajiita hivyo?

Hoja nyingi umeshindwa kuzijibu... sina uhakika kama umezisoma na kuzielewa.

"According to the SOED (1973), Mohammedan was in use by 1681, along with the older term Mahometan that dates back to at least 1529."

Swadakta Magobe T
 
"According to the SOED (1973), Mohammedan was in use by 1681, along with the older term Mahometan that dates back to at least 1529."
Kwa hiyo?

Still ujajibu swali nililo kuuliza... unaruka ruka tu.
 
Kilian, nashukuru sana na nitajitahidi kufuata ushauri wako Insha'Allah.

Ila quote zangu za kutoka kwenye bibilia huwa natumia Revise Standard Version, na hiyo haikutimia neno Virgin kwenye Isaiah, Na isitoshe kwenye Kamusi ya bibilia wanasema hivi

"The name Immanuel could mean 'God be with us' in the sense 'God help us!"
Interpreter's dictionary of the Bible, V2, p. 686.

Nabii Yesu (Rehma na amani ziwe kwake), kabla ya kuzaliwa alipewa jina na Malaika Mkuu Gabriel h (Matthew 1:21). Kwa bahati mbaya au nzuri kwenye maisha yake yote hakuwahi kuitwa "Immanuel." Hili nalo linaitaji usomi!?

King Ahaz was in danger. His enemies were closing in. This is when a promise was made to show him a sign, a pregnant woman, not a virgin Mary (pbuh) who would not show up until many centuries after he had turned to dust. Can we see how the Trinitarian doctrine of incarnation was forced upon the message of Jesus (pbuh) through "bending" of the prophesies and general glossing over of the "trivial details"?

Asante Ndugu X-PASTER,

Nakushauri ndugu yangu usitumie Biblia kwa kubishana na hawa wenzetu kwa sababu Biblia si kitabu cha kutegemewa na kuna maneno mengi ya watu ndani yake.
 
Hii yote ni kutaka tu useme 'Islam is the religion and Christianity is not' si uoneshe na siyo kupinga tu. Kweli dini iliyoanza karne ya 5 na tena historia ya kuenea kwake tunaijua leo isemekane ndiyo dini iliyotoka kwa Mungu. Na mbya zaidi ni kudai hata Nuhu, Moses, Abraham..., Yesu etc walikuwa Waislamu!

Kama Paulo ndiyo kaanzisha Ukristo, je yeye hakuwa Mwislamu? Hebu taja list ya Waislam na ambao hawakuwa Waislamu tuone na ueleze kwa nini hao utakaowataja walikuwa Waislamu na wengine hapana. Pia ueleze hao ambao walikuwa Waislamu ni wapi imeandikwa wao wenyewe wakisema walikuwa Waislamu kama mnavyodai Wakristo waoneshe ni wapi Yesu kasema alikuwa Mkristo.

Yesu alikuja kutangaza habari njema - Injili - na aliwatuma wafuasi wake (Wakristo au wa Kristo) kufanya hivyo na kuwabatiza watakaoamini kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Wafuasi wa Yesu ndio Wakristo (Christians, followers/disciples of Jesus Christ).

Katika kutafuta kwangu kwenye mtandao, neno Mohammedan kutaka kuona kama na lenyewe linatumika kama linavyotumika neno Christian nimepata ‘information' ifuatayo:

Mohammedan (also spelt Muhammadan, Mahommedan, Mahomedan or Mahometan) is a term used as both a noun and an adjective meaning belonging or relating to either the religion of Islam or to that of the Islamic prophet Muhammad; a term largely rejected by the Muslim world as a misnomer[1][2][3]

The term is now largely superseded by Muslim, Moslem or Islamic, but was commonly used only in Western literature until at least the mid-1960s. (See for instance the second edition of A Dictionary of Modern English Usage by HW Fowler, revised by Ernest Gowers (Oxford, 1965)).

Muslim is more commonly used today than Moslem, and the term Mohammedan is generally considered archaic or in some cases even offensive.[4] According to the SOED (1973), Mohammedan was in use by 1681, along with the older term Mahometan that dates back to at least 1529.

The Online Etymology Dictionary reports that the earliest form in English of the name of Muhammad was Mahum (c.1205), which was originally confused for "an idol", while Wyclif has Macamethe (c.1380).[5] In Christian Western Europe, until the 13th century or so, there was a mistaken belief among some Christians that Muslims worshiped Mahomet, while some considered him a heretic.[6]

Other European literature in the Middle Ages referred to Muslims as pagans or by sobriquets such as the paynim foe. Depictions such as those in the Song of Roland represent Muslims worshipping Muhammad as a god, or worshipping various deities in the form of "idols", ranging from Apollo to Lucifer, but ascribing to them a chief deity known as "Termagant".[7]

When the Knights Templar were being tried for heresy, reference was often made to their worship of a demon Baphomet, which was notable by implication for its similarity to "Mahomet". These and other variations on the theme were all set in the "temper of the times" of what was seen as a Muslim-Christian conflict as Medieval Europe was building a concept of "the great enemy" in the wake of the quickfire success of the Muslims through a series of conquests shortly after the fall of the Western Roman Empire, as well as the lack of concrete information in the West about the mysterious East.[8]

References
1. Mohammedanism a Misnomer, by R. Bosworth Smith, Paul Tice
2. Definition of Mohammedanism, Farlex Encyclopedia
3. What does Islam mean?, Islamic Bulletin
4. The American Heritage Dictionary, Fourth Edition (2000) annotates the term as offensive.[1][2] The OED has "its use is now widely seen as depreciatory or offensive", referring to English Today no. 39 (1992): "The term Mohammedan [...] is considered offensive or pejorative to most Muslims since it makes human beings central in their religion, a position which only Allah may occupy."
5. http://www.etymonline.com/index.php?...earchmode=term
6. Kenneth Meyer Setton (July 1, 1992). "Western Hostility to Islam and Prophecies of Turkish Doom". DIANE Publishing. ISBN 0-87169-201-5. pg 4-15
7. Brewer's Dictionary of Phrase and Fable, "Termagant
8. Watt, Montgomery,Muhammad: Prophet and Statesman. Oxford University Press, 1961. fromm pg. 229

Source: Wikipedia

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

(Quran 2:133)
 
Paulo sio mtume yeye alikuwa adui wa yesu wakati wa maisha ya yesu lakini alipookolewa Nabii Yesu na Mwenyezi Mungu na kupaishwa mbiguni ndio huyu paulo akajidai eti yesu amemwotesha awe mtume kwa wakristo na akanza kuibadilisha dini ya asili ya kikristo juu chini kama anavyo taka yeye.

Kwani Mohammed ni mtume wa Mungu? Uwongo mtupu.
He is the prophet of Allah the Pagan moon God of Kaaba, a pre Islamic pagan moon worshiping cult which Mohammad re invented and called it Islam. These are historical fact which every person needs to know.

Kama wanabisha waeleze why do they use the crescent as their symbol, why do they keep the black stone which was the center of the pagan moon worshiping cult, why do they embrace jinns in their worships.

These guys are so strange, who told them that by undermining Christianity as saying aloud that Jesus is not God would automatically make Islam a true religion. Huu ni uvivu wa kufikiri tu ndio unaowasumbua.
 
Hii yote ni kutaka tu useme 'Islam is the religion and Christianity is not' si uoneshe na siyo kupinga tu. Kweli dini iliyoanza karne ya 5 na tena historia ya kuenea kwake tunaijua leo isemekane ndiyo dini iliyotoka kwa Mungu. Na mbya zaidi ni kudai hata Nuhu, Moses, Abraham..., Yesu etc walikuwa Waislamu!

Kama Paulo ndiyo kaanzisha Ukristo, je yeye hakuwa Mwislamu? Hebu taja list ya Waislam na ambao hawakuwa Waislamu tuone na ueleze kwa nini hao utakaowataja walikuwa Waislamu na wengine hapana. Pia ueleze hao ambao walikuwa Waislamu ni wapi imeandikwa wao wenyewe wakisema walikuwa Waislamu kama mnavyodai Wakristo waoneshe ni wapi Yesu kasema alikuwa Mkristo.

Yesu alikuja kutangaza habari njema - Injili - na aliwatuma wafuasi wake (Wakristo au wa Kristo) kufanya hivyo na kuwabatiza watakaoamini kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Wafuasi wa Yesu ndio Wakristo (Christians, followers/disciples of Jesus Christ).

Katika kutafuta kwangu kwenye mtandao, neno Mohammedan kutaka kuona kama na lenyewe linatumika kama linavyotumika neno Christian nimepata ‘information’ ifuatayo:

Mohammedan (also spelt Muhammadan, Mahommedan, Mahomedan or Mahometan) is a term used as both a noun and an adjective meaning belonging or relating to either the religion of Islam or to that of the Islamic prophet Muhammad; a term largely rejected by the Muslim world as a misnomer[1][2][3]

The term is now largely superseded by Muslim, Moslem or Islamic, but was commonly used only in Western literature until at least the mid-1960s. (See for instance the second edition of A Dictionary of Modern English Usage by HW Fowler, revised by Ernest Gowers (Oxford, 1965)).

Muslim is more commonly used today than Moslem, and the term Mohammedan is generally considered archaic or in some cases even offensive.[4] According to the SOED (1973), Mohammedan was in use by 1681, along with the older term Mahometan that dates back to at least 1529.

The Online Etymology Dictionary reports that the earliest form in English of the name of Muhammad was Mahum (c.1205), which was originally confused for "an idol", while Wyclif has Macamethe (c.1380).[5] In Christian Western Europe, until the 13th century or so, there was a mistaken belief among some Christians that Muslims worshiped Mahomet, while some considered him a heretic.[6]

Other European literature in the Middle Ages referred to Muslims as pagans or by sobriquets such as the paynim foe. Depictions such as those in the Song of Roland represent Muslims worshipping Muhammad as a god, or worshipping various deities in the form of "idols", ranging from Apollo to Lucifer, but ascribing to them a chief deity known as "Termagant".[7]

When the Knights Templar were being tried for heresy, reference was often made to their worship of a demon Baphomet, which was notable by implication for its similarity to "Mahomet". These and other variations on the theme were all set in the "temper of the times" of what was seen as a Muslim-Christian conflict as Medieval Europe was building a concept of "the great enemy" in the wake of the quickfire success of the Muslims through a series of conquests shortly after the fall of the Western Roman Empire, as well as the lack of concrete information in the West about the mysterious East.[8]

References
1. Mohammedanism a Misnomer, by R. Bosworth Smith, Paul Tice
2. Definition of Mohammedanism, Farlex Encyclopedia
3. What does Islam mean?, Islamic Bulletin
4. The American Heritage Dictionary, Fourth Edition (2000) annotates the term as offensive.[1][2] The OED has "its use is now widely seen as depreciatory or offensive", referring to English Today no. 39 (1992): "The term Mohammedan [...] is considered offensive or pejorative to most Muslims since it makes human beings central in their religion, a position which only Allah may occupy."
5. http://www.etymonline.com/index.php?...earchmode=term
6. Kenneth Meyer Setton (July 1, 1992). "Western Hostility to Islam and Prophecies of Turkish Doom". DIANE Publishing. ISBN 0-87169-201-5. pg 4-15
7. Brewer's Dictionary of Phrase and Fable, "Termagant
8. Watt, Montgomery,Muhammad: Prophet and Statesman. Oxford University Press, 1961. fromm pg. 229

Source: Wikipedia

Tatizo lenu wagalatia mnapenda sana kunukuu riwaya za binadamu badala ya vitabu vilivyoshushwa na mungu!!! na maelezo yako yanaonekana kama unatoa ufafanuzi wa lugha zaidi badala ya neno la mungu!!! Jaribu kutumia taurati na quran badala ya kutumia riwaya na literature books.angalau basi tumia biblia ingawaje wagalatia wenzako wameichezea sana ili kukidhi mahitaji yao ya kupata mkate wa kila siku!!! by the way, mbona hukuwa na sababu za kutafuta neno mohammedan mkuu?! kwa kukusaidia, hamna dini inayoitwa mohammedan duniani, na kama ipo basi si ya allah. muhammed ni jina, na mtume muhammed alipewa hilo jina si kwa sababu ya utume wake, kwahiyo kutafuta neno muhammedan is wastage of ur time. muhammed ni mtume pekee wa watu wote( wewe na mimi) na hatatokea mwingine hadi kufutika kwa dunia. tafuta wht bible say abt muhammed mkuu!! utaona jinsi unavyodanganywa!!! labda nikusaidie mkuu kv najua huwa hamsomi maandiko na badala yake ama mnasomewa au mnaishia kusoma literature!!! kafungue zaburi 18:18, utakutana na aya inayozungumzia ujio wa mtume ( tafakari uone kama mtume huyo ni muhammed au yesu). kwa kukusaidia zaidi, mungu alikuwa anamwambia musa " i will raise them up a prophet from among their brethern, like unto thee(moses), and i will put my words in his mouth; and he shall speak unto them all that i shall command him." zaburi 18:18 . kwa kiswahili rahis rahisi ni sawa na kusema " nitawashushia mtume kutoka miongoni mwa ndugu zenu, kama wewe(musa), na nitamtia maneno yangu kinywani mwake; na atawaambia yale yote nitakayomuhamrisha." tafakari kwa kina ili ufumbuke macho mkuu. je, huyo mtume naezungumziwa hapo ni nani? ukishamjua ni nani ndipo wasiwasi utaisha endapo dini pekee ni uislamu au ukristo. yafanyie kazi hayo maneno ambayo ni underlined. kaa na wagalatia wenzako mtafakali.
 
Wewe inaonekana kuwa hujuwi hata kidogo huo usilamu unao fuata. Nimeweka swali, kanini Marehemu Mtume wako alikataza watu kubeba Kolani yenu iliyo jaa shaka? Wewe umekuja na hadithi zingine za Kimuhamadi. Hilo ndilo tatizo la kutumia madrasa katika kujibu maswali, mnaonekana vituko.

Hivi mtume wako alitumia nini kichamba? Unataka nikuletee hapa kila mtu aone ni nini allah wenu alikuwa anatumia?

Wewe huna unalojua!!! waislamu kila siku wanahimizwa kusoma quran, na anayeamrisha ni allah. sasa utasoma vipi bila kubeba msahafu? hivi inaingia akilini mtu ahimizwe kusoma quran halafu akatazwe kubeba msahafau(kulani?) hivi hujawahi angalau kusikia kwamba kuna mashindani ya kuhifadhi kuran? wakati wanasoma walikuwa wanatumia nini hadi wakafikia kuhifadhi? hoja yangu kwako kila siku uache kutumia riwaya bali tumia neno la mungu. na hata pale unapotumia neno la mungu, tumia vitabu ambavyo ni genuine kwa sababu mara zote nukuu zako ni za uongo, naamini hata kwenye misahafu ya makadiani aya zako hazipo!
 
Assalaam Alleykum wana JF
Alieanzisha thread hii alikuwa ana swali moja la msingi ambalo wengi hawajalijibu aliuliza KWA NINI WAHUBIRI HAWA WA KIISLAMU WAMEKAZANIA KUFUNDISHA MAMBO YA UKRISTO KAMA VILE YESU SI MWANA WA MUNGU?N.K pia ingawa hakuuliza ila kuna maswali kama je Yesu ni Mungu au la?Je imani ya utatu(TRINITY) ipo kwenye biblia au ni ya kutunga tu?na maswali kadha wa kadha.
Kwa mtu atakaye kufahamu jambo kwa tuo hutaka kujua vizuri husikiliza hoja na kisha huzitafutia majibu ya kweli na kwa kuwa natumaini wengi wa wana JF ni watu wazima wenye uelewa mzuri ni swala la muanzisha thread kutafuta ukweli
Waislamu hao huwafundisha wakristo waachane na mapokeo yasiyo na ukweli mapokeo ya kutungwa na waitwao mababa wa kanisa waliochanganya tamaduni za kipagani za kigiriki na kirumi na kuziingiza kwenye ukristo following their conversion into christianity.
jitahidini kuisoma vizuri biblia muielewe na sio kufuata urithi wa dini mlioukuta kwa wazazi wenu kwani Imani ya Mungu hairithiwi.Yoshua mwana wa Mariam aliwaonya katika kitabu cha Mathayo15:7 watu hawa huniheshimu kwa midomo;ila mioyo yao iko mbali nami,nao waniabudu bure wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu

Bahati mbaya sana christian apologetic going by the name of maxshimba anajidai kuujua uislamu asouelewa ilhali biblia yake tu wala hajaweza kuitafsiri inavyostahili,Mwingine anatoa maelezo kuwa kwa kuwa enoch walked with God then it means Allah has legs!!!huu ni ujuha!!!je anataka kutuambia kwa kuwa katika Waebrania 5:7 imeandikwa wewe ndiwe mwanangu mimi leo nimekuzaa,then ina maana Mungu wa ukristo ana viungo vya uzazi vya kuzalia?????tutumie akili kujibu hoja

Kama kuna wajumbe hawajaelewa na wanafikiri wanaweza kuanzisha hoja juu ya uhalali wa imani hizi kuu mbili mnakaribishwa ili tufundishane hata mimi ningependa mtu atokee anirudishe tena kwenye ukristo nilikoondoka baada ya kugundua kuwa ni uongo mtupu wa kumsingizia Mwenyezi Mungu kuwa na Washirika asokuwa nao.(Yohana 17:3 na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe ,MUNGU WA PEKEE WA KWELI,NA YESU KRISTO ULIEMTUMA)
ASSALAAM ALLEYKUM

Umenena Mtambo, nami wacha nimjibu!!! kimsingi waislamu hawafundishi ukristo kwenye mihadhara yao bali inawaelimisha waislamu na wale wasio waislamu kwamba yesu si mungu bali ni mtume sawa na mitume wengine waliomtangulia na waliofuata badala yake. Unajua kuna ukweli mmoja ambao atakayeupingika basi kazaliwa mbishi. Hususani tanzania, kwa waislamu suala la mihadhara zamani halikuwepo, na badala yake suala hili lilikuwa linafanywa sana na wakristo. na sehemu zote walizokuwa wanapita walikuwa wanahubiri kwamba yesu ni mungu. amini usiamini, waislamu wengi ambao hawakupata fursa ya kwenda madrasa, kwa miaka ming na wao walikuwa wanaamini kwamba yesu ama ni mungu au ni mwana wa mungu kutokana na vile walivyokuwa wanawasikia wamisionari wanavyohubiri. lakini wakati wakristo wanahubiri yesu ni mungu, hawakuonekana wanahudhalilisha uislamu badala yake leo waislamu walipoamka na kuwatangazia umma wao kwamba yesu si mungu, wanaonekana wanakashifu ukristo!!!!! mkuki kwa nguruwe. sitatumia kuran, kv hawaitaki!! tutumie kitabu chao wenyewe " And immediately the spirit driveth him into the wilderness. And he was there in the wilderness forty days, tempted of Satan." (Mark 11: 12-13) huyo ndie bwana yesu, ambae tunaambiwa kwamba ni mungu-kwa maana nyingine mungu aliburuzwa hadi msituni kujaribiwa na shetani!!! yaani shetani anamjaribu mungu!!! ni kutumia busara ndogo tu hapa. Biblia hiyo hiyo inasema "God can not be tempted with evil, neither tempteth he any man. But everyman is tempted, when he is drawn away of his own lust, and enticed" (James 1: 13-14).
Sizani endapo inahitajika shahada hapo!!! yesu alipelekwa msituni na roho mtakatifu ambako alijaribiwa na shetani mara kadhaa, ikiwa na kumshindisha na njaa kwa siku 40!! Kwahiyo kama yesu ni mungu, ina maana mungu alijaribiwa na shetani!!!!! kitabu hicho hicho kinasema "God can not be tempted with evil....!" hivi sasa hapo kuna haja ya kubishana kwamba ikiwa Yesu alijaribiwa na shetani basi hawezi kuwa mungu? hapa chini, naiacha nukuu yako:
(Yohana 17:3 na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe ,MUNGU WA PEKEE WA KWELI,NA YESU KRISTO ULIEMTUMA)
ASSALAAM ALLEYKUM[/QUOTE]
 
Mafundisho yanatakiwa sana watu kupata Ubatizo. Yesu ni mwana Wa MUNGU. Hawa jamaa wanatukana pasipo kujali hata mimi nashangaa Serikali iko imelala au... Kuweni na Busara kama mnataka kuendesha hoja ambazo hazina maana ni kheri mkanunue airtime katika TV au Radio Mjadili sio kuwakusanya watu kisha kutoa mada recycle bin"" ukiuliza madarawaliofika utasikia mi darasa la tatu, mwingine la sita hata Msingi hawajamaliza wanapiga makelele.

Mkuu Pastor, kila siku nilikuwa napata shida sana kujua neno ubatizo maana yake ni nini hasa hivyo nikaamue nichukue dictionary linalotoka kwenye nchi ya kigalatia. According to Oxford, Advanced Learner's Dictionary, Baptism is a Christian ceremony in which a few drpos of water are poured on somebody, or they are covered with water, to welcome them into the Christian Church, and often to name them-comapare CHRISTENING. Kwa maana hiyo, unaambiwa ulinganishe BAPTISM & CHRISTENING!!! m-book huo huo uanendelea: CHRISTENING Is a Christian ceremony in which a baby is officially named and welcomed into the Christian church!!!! Sasa ndugu yangu ww nisaidie!!! mtu anayekaribishwa bila shaka kuna mahali anatoka!!!! Je, huyu anayekaribishwa rasmi kwenye kanisa la kikristo anatoka wapi? Werevu wote wanafahmu kwamba mnabatizwa ili kuondolewa kwenye uislamu mliozaliwa nao na kuingizwa rasmi kwenye ukiristo na ndio maana katika nyinyi ikitokea mtu amekufa kabla ya kubatizwa mapadri huwa hawausiki kwenye maziko kwavile wanajua huyo marehemu ni muislamu!!! To cut long story short, unabatizwa ili kuondolewa kwenye uislamu!!
 
Hii yote ni kutaka tu useme 'Islam is the religion and Christianity is not' si uoneshe na siyo kupinga tu. Kweli dini iliyoanza karne ya 5 na tena historia ya kuenea kwake tunaijua leo isemekane ndiyo dini iliyotoka kwa Mungu. Na mbya zaidi ni kudai hata Nuhu, Moses, Abraham..., Yesu etc walikuwa Waislamu!

Kama Paulo ndiyo kaanzisha Ukristo, je yeye hakuwa Mwislamu? Hebu taja list ya Waislam na ambao hawakuwa Waislamu tuone na ueleze kwa nini hao utakaowataja walikuwa Waislamu na wengine hapana. Pia ueleze hao ambao walikuwa Waislamu ni wapi imeandikwa wao wenyewe wakisema walikuwa Waislamu kama mnavyodai Wakristo waoneshe ni wapi Yesu kasema alikuwa Mkristo.

Yesu alikuja kutangaza habari njema - Injili - na aliwatuma wafuasi wake (Wakristo au wa Kristo) kufanya hivyo na kuwabatiza watakaoamini kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Wafuasi wa Yesu ndio Wakristo (Christians, followers/disciples of Jesus Christ).

Katika kutafuta kwangu kwenye mtandao, neno Mohammedan kutaka kuona kama na lenyewe linatumika kama linavyotumika neno Christian nimepata ‘information' ifuatayo:

Mohammedan (also spelt Muhammadan, Mahommedan, Mahomedan or Mahometan) is a term used as both a noun and an adjective meaning belonging or relating to either the religion of Islam or to that of the Islamic prophet Muhammad; a term largely rejected by the Muslim world as a misnomer[1][2][3]

The term is now largely superseded by Muslim, Moslem or Islamic, but was commonly used only in Western literature until at least the mid-1960s. (See for instance the second edition of A Dictionary of Modern English Usage by HW Fowler, revised by Ernest Gowers (Oxford, 1965)).

Muslim is more commonly used today than Moslem, and the term Mohammedan is generally considered archaic or in some cases even offensive.[4] According to the SOED (1973), Mohammedan was in use by 1681, along with the older term Mahometan that dates back to at least 1529.

The Online Etymology Dictionary reports that the earliest form in English of the name of Muhammad was Mahum (c.1205), which was originally confused for "an idol", while Wyclif has Macamethe (c.1380).[5] In Christian Western Europe, until the 13th century or so, there was a mistaken belief among some Christians that Muslims worshiped Mahomet, while some considered him a heretic.[6]

Other European literature in the Middle Ages referred to Muslims as pagans or by sobriquets such as the paynim foe. Depictions such as those in the Song of Roland represent Muslims worshipping Muhammad as a god, or worshipping various deities in the form of "idols", ranging from Apollo to Lucifer, but ascribing to them a chief deity known as "Termagant".[7]

When the Knights Templar were being tried for heresy, reference was often made to their worship of a demon Baphomet, which was notable by implication for its similarity to "Mahomet". These and other variations on the theme were all set in the "temper of the times" of what was seen as a Muslim-Christian conflict as Medieval Europe was building a concept of "the great enemy" in the wake of the quickfire success of the Muslims through a series of conquests shortly after the fall of the Western Roman Empire, as well as the lack of concrete information in the West about the mysterious East.[8]

References
1. Mohammedanism a Misnomer, by R. Bosworth Smith, Paul Tice
2. Definition of Mohammedanism, Farlex Encyclopedia
3. What does Islam mean?, Islamic Bulletin
4. The American Heritage Dictionary, Fourth Edition (2000) annotates the term as offensive.[1][2] The OED has "its use is now widely seen as depreciatory or offensive", referring to English Today no. 39 (1992): "The term Mohammedan [...] is considered offensive or pejorative to most Muslims since it makes human beings central in their religion, a position which only Allah may occupy."
5. http://www.etymonline.com/index.php?...earchmode=term
6. Kenneth Meyer Setton (July 1, 1992). "Western Hostility to Islam and Prophecies of Turkish Doom". DIANE Publishing. ISBN 0-87169-201-5. pg 4-15
7. Brewer's Dictionary of Phrase and Fable, "Termagant
8. Watt, Montgomery,Muhammad: Prophet and Statesman. Oxford University Press, 1961. fromm pg. 229

Source: Wikipedia

Say, [O believers], "We have believed in God and what has been revealed to us and what has been revealed to Abraham and Ishmael and Isaac and Jacob and the Descendants and what was given to Moses and Jesus and what was given to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [in submission] to Him."
(Quran 2:136)

Kwa Kiswahili

Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
(Quran 2:136)

And who would be averse to the religion of Abraham except one who makes a fool of himself. And We had chosen him in this world, and indeed he, in the Hereafter, will be among the righteous.
(Quran 2:130)

Kwa Kiswahili

Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.

(Quran 2:130)

And Abraham instructed his sons [to do the same] and [so did] Jacob, [saying], "O my sons, indeed Allah has chosen for you this religion, so do not die except while you are Muslims."
(Quran 2:132)

Kwa Kiswahili

Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

(Quran 2:132)
 
Hawana haki yoyote,wadharau endelea na ishu zako
 
Lakini sishangai, kawaida dini ya mahsetani lazima ishambulie dini ya kweli, kwani ibilisi daima ni adui wa Mungu.

Eti korani imeshushwa...... Imeshuswa my foot!!! labda kama imeshushwa na ibilisi. huu ni usanii wa marehemu mohamadi kuwadanganya wjinga, na wavivu wa kufikiri.
 
Hivi kwenye hiyo mihadhara huwa mnayafuata haya...???
[surah 29:46] Do not argue with the people of the scripture (Jews, Christians, and Muslims) except in the nicest possible manner - unless they transgress - and say, "We believe in what was revealed to us and in what was revealed to you, and our god and your god is one and the same; to Him we are submitters."
 
Yesu bado yu juu kwa hao mitume wenu.
Halinganishwi na mitume wowote wale. Yeye ni wa kipekee.
Ni Yesu tu ambaye nikiliitia jina lake majini na mapepo na vinyamkera na maruhani na takataka zote hizo hupiga kelele na kuomba Yesu awahurumie.
Sijawahi kusikia jina la M'med yule muarabu likitajwa na shetani akiogopa, maana nasikia huwa wanafanya sala pamoja. Na hapa ndipo nitazidi kumuamini huyu Yesu.
Ajabu ni kwamba hata kwa kutaja jina lake, ugonjwa unatii na kuondoka na hata majini yakilisikia jina hili, utasikia yakiomba lisitajwe. Mimi nilitumia jina lake tu na magonjwa yakatii kwa miaka sita sasa!
Mwite nabii au mtume; muite utakavyo lakini Yesu yuko juu na halinganishwi na hao wakina M'med maana hata wao wanamuogopa na hapo ndipo nyodo zinapoanzia!

You can't compare Muhamad and Jesus Christ:

To the Muslim, Jesus Christ is merely one of the many prophets of Allah (Sura: 4:171; 5:74). According to Islam, the prophet Muhammad supersedes Jesus Christ. Islam says Jesus Christ is not the Son of God or part of any Trinity (Surah 5:17; 5:116; 19:35). We are told by Islam that Jesus was the Messiah (Surah 3:45; 4:157; 171), but nothing but a slave on whom God showed favor (Surah 43:59); yet elsewhere in the Qur'an we are told the Messiah is not a slave (Surah 4:172). The Qur'an tells us that Jesus Christ did not atone for anyone's sins, although he was himself sinless (Surah 3:46) and is one of those who are near to God (Surah 3:45). Positively, the Qur'an says that Jesus Christ performed miracles (Surah 3:49; 5:110) and was the Messiah. The Qur'an says Jesus did not die on a cross. Various Muslim traditions say that Jesus either miraculously substituted Judas Iscariot for himself on the cross, or that God miraculously delivered Him from the hands of the Romans and Jews before He could be crucified. Most Muslims believe that Jesus Christ was taken bodily into heaven without having died (Surah 4:157). However, Surah 19:33 says He died and would be resurrected. Muhammad on the other hand died in his wife Aisha's home, not long after he was poisoned by a slave girl. Muhammad's body was lowered into a hole in Medina, and his dead body was covered by dirt and brickwork.
It is interesting to compare Jesus and Muhammad according to the Qur'an. Jesus did miracles (Surah 3:49; 5:110), but Muhammad did not (Surah 13:8: "thou art a warner [of coming divine judgment] only"; also 6:37; 6:109; 17:59 and 17:90-93).
Jesus was sinless (Surah 3:46), but Muhammad sinned and needed forgiveness (Surah 40:55: "Ask forgiveness of thy sin"; 42:5: "Ask forgiveness for those on the Earth"; 47:19: "Ask forgiveness for thy sin" ; 48:2: "that Allah may forgive thee of thy sin").
Jesus was called "the Messiah" by Allah in the Qur'an. And Jesus was even born of a virgin (Surah 3:45-57)! Yet Muhammad who had 12 wives, 2 concubines, and participated in many attacks on innocent caravans and villages, and insisted on 20% of all the booty from these raids -- is supposed to be the greatest of the prophets.

Both Muslim holy books (Qur'an/Koran and Hadith) contain commands for Muslims to subjugate the world, militarily. Muhammad commanded Muslims to spread Islam through Offensive Jihad; or conquest of non-Muslim lands. Muslims are also commanded to take back any land that was formerly Muslim, such as Israel.
Radical Muslims believe that they are Mujahideen, or "holy warriors of Allah". Their goal, like Islam's goal is to establish the entire world as a pure Islamic state (a Khalifah), which conforms to Islamic laws.

An example of what Muslim children are taught in Muslim schools is this statement, found in a Jordanian/Palestinian school book in 1998:

"This religion (Islam) will destroy all other religions through the Islamic Jihad fighters"

Source: http://bibleprobe.com/muhammad.htm

Hiyo ingekuwa kweli, basi nchi ambazo majority ni Waislamu duniani zingeonyesha mfano wa kuishi kiadilifu zaidi. Lakini, angalia umwagaji damu katika nchi hizo. Hiyo, ni alama tosha ya kupinga unachokisema.

Usiami CCN or BBC nenda kaone mwenyewe nchi za kiarabu watu wake wanavyo ishi (Unaweza kuacha duka lako wazi mpaka asubihi hamna tabu) hakuna aids pia watu wanaishi kiusalama kabisa.........

Na ukiona vita katika inchi ya kiislamu basi jua kuwa wazungu ndio walio isababisha vita hiyo! kama vile Iraq, Afghanistan....

pia usisahau kuwa vita vikubwa duniani zimesababishwa na wazungu WW1 WW2, pia nuclear bom imewahi kutumiwa na US tu na imeuuwa mamilioni ya wajapani na mpaka sasa wanazaliwa vilema,

Usisahau vita vya Burundi, Zaire, Ruwanda, Uganda, Liberia haikusababishwa na waislamu.... just for your infomartion the media is controlled by Jews (like CCN,BBC.....) And what you hear from the media is 80% pro-Jews.
 
Let's talk frankly. Almost never do non-Muslims study Islam until they have first exhausted the religions of their exposure. Only after they have grown dissatisfied with the religions familiar to them, meaning Judaism, Christianity and all the fashionable "-isms"-Buddhism, Taoism, Hinduism )-do they consider Islam.

Perhaps other religions do not answer the big questions of life, such as "Who made us?" and "Why are we here?" Perhaps other religions do not reconcile the injustices of life with a fair and just Creator. Perhaps we find hypocrisy in the clergy, untenable tenets of faith in the canon, or corruption in the scripture. Whatever the reason, we perceive shortcomings in the religions of our exposure, and look elsewhere. And the ultimate "elsewhere" is Islam.

Now, Muslims would not like to hear me say that Islam is the "ultimate elsewhere." But it is. Despite the fact that Muslims comprise one-fourth to one-fifth of the world's population, non-Muslim media smears Islam with such horrible slanders that few non-Muslims view the religion in a positive light. Hence, it is normally the last religion seekers investigate.

Another problem is that by the time non-Muslims examine Islam, other religions have typically heightened their skepticism: If every "God-given" scripture we have ever seen is corrupt, how can the Islamic scripture be different? If charlatans have manipulated religions to suit their desires, how can we imagine the same not to have happened with Islam?

The answer can be given in a few lines, but takes books to explain. The short answer is this: There is a God. He is fair and just, and He wants us to achieve the reward of paradise. However, God has placed us in this worldly life as a test, to weed out the worthy from the unworthy. And we will be lost if left to our own devices. Why? Because we don't know what He wants from us. We can't navigate the twists and turns of this life without His guidance, and hence, He has given us guidance in the form of revelation.

Sure, previous religions have been corrupted, and that is one of the reasons why we have a chain of revelation. Ask yourself: wouldn't God send another revelation if the preceding scriptures were impure? If preceding scriptures were corrupted, humans would need another revelation, to keep upon the straight path of His design.

So we should expect preceding scriptures to be corrupted, and we should expect the final revelation to be pure and unadulterated,for we cannot imagine a loving God leaving us astray. What we can imagine is God giving us a scripture, and men corrupting it; God giving us another scripture, and men corrupting it again … and again, and again. Until God sends a final revelation He promises to preserve until the end of time.

Muslims consider this final revelation to be the Holy Quran. You consider it … worth looking into. So let us return to the title of this article: Why Islam? Why should we believe that Islam is the religion of truth, the religion that possesses the pure and final revelation?

"Oh, just trust me."

Now, how many times have you heard that line? A famous comedian used to joke that people of different cities cuss one another out in different ways. In Chicago, they cuss a person out this way, in Los Angeles they cuss a person out that way, but in New York they just say, "Trust me."

So don't trust me-trust our Creator. Read the Quran, read books and study good websites. But whatever you do, get started, take it seriously, and pray for our Creator to guide you.

Your life may not depend on it, but your soul most definitely does.
 
Usiami CCN or BBC nenda kaone mwenyewe nchi za kiarabu watu wake wanavyo ishi (Unaweza kuacha duka lako wazi mpaka asubihi hamna tabu) hakuna aids pia watu wanaishi kiusalama kabisa.........

Na ukiona vita katika inchi ya kiislamu basi jua kuwa wazungu ndio walio isababisha vita hiyo! kama vile Iraq, Afghanistan....

pia usisahau kuwa vita vikubwa duniani zimesababishwa na wazungu WW1 WW2, pia nuclear bom imewahi kutumiwa na US tu na imeuuwa mamilioni ya wajapani na mpaka sasa wanazaliwa vilema,

Usisahau vita vya Burundi, Zaire, Ruwanda, Uganda, Liberia haikusababishwa na waislamu.... just for your infomartion the media is controlled by Jews (like CCN,BBC.....) And what you hear from the media is 80% pro-Jews.

Tuwe wakweli katika hilo lililo bolded........................... Tuepuke kuwa WAONGO.

HIV/AIDS in the Arab States

According to UNAIDS, over 30,000 people in the Middle East and North Africa became infected with HIV/AIDS in 2007, raising the total of people living with infection in that region to an estimated 380,000. Available evidence reveals trends of increasing HIV infections, especially among the younger age groups, in several countries in the region. The expected economic costs of the epidemic in the region are projected at 45% of current GDP over the next 25 years in nine Arab countries, unless urgent action is taken immediately to reverse such a scenario.

Source: http://arabstates.undp.org/subpage.php?spid=11
 
Lakini sishangai, kawaida dini ya mahsetani lazima ishambulie dini ya kweli, kwani ibilisi daima ni adui wa Mungu.

Eti korani imeshushwa...... Imeshuswa my foot!!! labda kama imeshushwa na ibilisi. huu ni usanii wa marehemu mohamadi kuwadanganya wjinga, na wavivu wa kufikiri.

Na kwa hakika kwa kila umma tuliutumia Mtume kwamba: Muabuduni Mwenyezi Mungu, na muepukeni Shetani. Basi kati yao wapo alio waongoa Mwenyezi Mungu. Na kati yao wapo ambao ulio wathibitikia upotovu. Basi tembeeni katika ardhi, muangalie ulikuwaje mwisho wa wanao kanusha.
(Quran 16:36)
 
Tuwe wakweli katika hilo lililo bolded........................... Tuepuke kuwa WAONGO.

HIV/AIDS in the Arab States

According to UNAIDS, over 30,000 people in the Middle East and North Africa became infected with HIV/AIDS in 2007, raising the total of people living with infection in that region to an estimated 380,000. Available evidence reveals trends of increasing HIV infections, especially among the younger age groups, in several countries in the region. The expected economic costs of the epidemic in the region are projected at 45% of current GDP over the next 25 years in nine Arab countries, unless urgent action is taken immediately to reverse such a scenario.

Source: http://arabstates.undp.org/subpage.php?spid=11

Hapa TZ tu tumezipita inchi zote hizo (combine) kwa AIDS.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom