Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Status
Not open for further replies.
haya mambo mbona yapo sana................kumbuka mungu amempa shetani(allah) nguvu ili ajidai na kupotosha kwa muda ila siku yake yaja.........hao wapinga kristo mwisho wao waja......
hizi dini chafu kama uislam,u zingepigwa marufuku kwani muda wote zinahamasisha watu kuandamana....kuuana.......kusema uongo........

Duh! hii kali.
 
Mbona sijawahi kusikia mihadhara ya kikristo ikizungumzia uislam?
 
Wewe hujaona ktk jamii ya watanzania hawazitaki habari za kuwaelimisha zaidi ya udaku? Magazeti ya elimishi mfano kiuchumi,kisiasa, kijamii nk hayana soko kama ya udaku. Hivyo kwa kuwa biashara inatafuta kwenye pesa, nguvu imeelekezwa huko. Hawa wahadhiri hawapo zaidi kwa kumhubiri mungu wao ila kwa kile wengi wanachopenda ili sadaka zitoke. :WAO WANAINAMA NA KUANGUKA, BALI SISI TUNAINUKA NA KUSIMAMA!!!:
 
Uhuru wa kikatiba wa kujieleza na kueneza imani yao na kila mtu ana haki ya kufanya hivyo hata ww kama una imani yako unaweza kufanya hivyo hivyo hakuna atakae kubugudhi.
 
Wadau, ningependa kueleweshwa kwenye hili... Nilipita jana katika maeneo ya Y/dovya n nikakuta mhadhara unaoongozwa na waheshimiwa fulani wa dini ya Kiislam. Cha kustaajabisha, wale jamaa walikuwa hawafundishi kile ambacho nafikiri Waislam wengi wangependa kujua kuhusu dini yao n badala yake walikua wanauponda Ukristo wazi.... Eg Yesu c mwana wa Mungu(kina wahusu nn?). Nikakaa nikijua labda wangeleta topic ya kuhusu Muhamad n dini yenyewe kwa ujumla lakini wapi. N nilivyodadisi nikaambiwa wana wiki ya pili ss n mada zao ni kuhusu ukristo tu... Sasa hii inajenga au inabomoa? Je! hawaoni kwamba huko ni kupaisha dini ya wenzao ili hali kuna story kibao kuhusu uislam...

Nisaidieni, Kuna uhalali wa kuingilia mambo ya wengine?
Aksanteni.
Ni inferiority complexes zinawasumbua.Ni kuwasamehe bure kwa vile watu kama hawa hawana budi kuwapo....."Makwazo hayana budi kuwako,lakini ole wao wanaoleta makwazo......"
 
Hakuna imani ya mmoja kumtukana mwingine inayokubalika nuruni labda kizani ndani ya vikundi vya kificho.
 
Ukweli uko wazi kwamba waislam kwa sababu ya wengi wao kuto kuwa na elimu basi wanandhani wakitukana na kukashifu ndo wanaendelea kiuchumi kumbe ndo wananwapumbaza watu wao.

At the far end wanaanza kulalamika eti wanaonewa, wajinga ndio waliwao.....acha watukane sisi tunapiga mzigo tu kwa sababu wanatafuta uwaguse tu ili waamshe mapanga yao na mabomu ya kujitoa mhanga.

Ni kweli kabisa Magezi. Na hiyo niliyoweka kwenye nyekundu ndo hasa lengo lao. Si watu wa amani hawa wanatafuta kuchokozwa ili wafanye kile quran yao imewaamuru, kuchinja na kuua wasioukubali uislamu na wanaume ndo wamedanganywa kwa kufanya hivyo wanawahi wale mabikira 72 waliowekewa na "allah" wao huko aliko. Pole zao!
 
Uko terrified bure...
wahubiri wa kiislam na kikristo ni marafiki wanaelimishana ukiona huna hoja unakaa chini, waamuzi wananchi/wasikilizaji hakuna kulazimisha katika kufuata ila kuhubiri neno la haki..ni wajibu..ok
 
Hawana cha kuubiri kwenye uislam lazima wakimbilie kuukashifu ukristo ambao umejikita zaidi katika kumwokoa mwanadamu asiangamie.Wahubiri wengi wanajua ukweli kwamba wapi watakwenda siku ya mwisho hawataki kwenda pekee yao wanataka kwenda na kundi kubwa.

Tayari wameshaandaliwa sehemu ya kwenda wanababaika tu lakini ukweli wanaujua.Kuna mzee mmoja wa kiislamu mwenye umri wa kati ya miaka 80 - 85 alikuwa anapenda sana kuja nyumbani kwangu siku za jumapili kusikiliza nyimbo za Injili nika mwambia kwanini asitoke gizani na kuingia kwenye nuru akanijibu anaogopa ndugu zake watamtenga pengine hata kumuua.Nikagundua kitu kimoja kwa ndugu zetu waislamu kwamba wanajua uislam ni dini ya kuzuga tu duniani wala hawasaidii lolote.

Wanaweza kuwapata wakristo dhaifu wasioujua uislam vyema.Simba mzee anatabia ya kuwinda wanyama dhaifu bila shaka hao wahubiri ni dhaifu ndiyo maana wanatumia mbinu dhaifu.
Watu wanompiga shetani mawe unafikiri wana akili nzuri kweli.

Mkuu umemaliza kila kitu. Mwenye kuelewa na elewe.
Barikiwa na BWANA YESU.
 
Siku ya mwisho au kiama ndo tutajua pumba ni zipi na mchele ni upi. Mambo ya kusema kutafuta ukweli sizani kama huyo tumaini anao ukweli zaidi ya porojo tu. Mimi naomba niulize kitu kimoja kwanini ukitaja jina la Yesu tu mapepo na majini yanamtoka mtu na sijawahi kusikia ukitaja jina la mtume Mjamadi yakatoka?

Mapepo gani yanatoka ndugu yangu, hebu jaribu kufikiri zaidi,

Bwana Yesu ni Mtume (Mtu) alio tumwa na Mwenyezi Mungu kuitangaza dini ya Mwenyezi Mungu.

Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee, Mwenyezi Mungu Mkusudiwa, Hakuzaa wala hakuzaliwa.... na hakuna kinacho fananana nae, huu ndio ukweli.
 
Fear mongering tu hakuna lolote. Kwa taarifa yenu wahadhiri hawa wam raise the bar sasa wanafanya hizo comprative religion debate mpaka kwenye kumbi kama diamond jubilee. Watu kama akina Mtikila na viongozi wengine wa kikristo wamekuwa wakialikwa pia.

Ninacho jaribu kusema hapa ni kuwa kama mnaamini dini yenu ni ya haki mnaogopa nini watu kuijadili?

Mmekuwa kama vifaranga vya kuku vilivyoingia kwenye shimo, watu wanataka kumsaidia kuku kuvitoa kwenye shimo, anawaparura watu.Sasa ninyi wakristo mnapotea watu wana jaribu kuwatoa kwenye upotovu mnakuwa wakali.

Jamani mnapotea kitabu chenu wenyewe kinawaambia hivyo.
 
Mtu aliye filisika ndio huwa wa kwanza kutukana dini ya Mungu. Ndugu zetu hawa wafuasi wa allah kiumbe hawana jipya zaidi ya blah blah za hayati mwamadi na kufilisika ki deen.

Kazi kweli kweli unapo fuata allah ambae ni kiumbe.
 
Mtu aliye filisika ndio huwa wa kwanza kutukana dini ya Mungu. Ndugu zetu hawa wafuasi wa allah kumbe hawana jipya zaidi ya blah blah za hayati mwamadi na kufilisika ki deen.

Kazi kweli kweli unapo fuata allah ambae ni kiumbe.

Ndugu SCHMIDT nyie ndio mna mfuata (mnamwabudu) kiumbe (yesu) lakini waislamu wana mwabudu Mungu Mmoja tu.
 
Ndugu SCHMIDT nyie ndio mna mfuata (mnamwabudu) kiumbe (yesu) lakini waislamu wana mwabudu Mungu Mmoja tu.

Huyo allah kiumbe wenu ndie aliye watuma kutukana watu? Kwanini hivi?
 
. Watu kama akina Mtikila na viongozi wengine wa kikristo wamekuwa wakialikwa pia.

Ninacho jaribu kusema hapa ni kuwa kama mnaamini dini yenu ni ya haki mnaogopa nini watu kuijadili?

Jamani mnapotea kitabu chenu wenyewe kinawaambia hivyo.
Bado naamini adui mkubwa wa Waislamu wengi ni uhaba wa elimu, umbumbu utokanao na uduni wa mazingira na falsafa ya dini yenyewe....kiukweli, Uislamu umejengwa kwenye mazingira yakutishana sana, na ni dini pekee duniani ambayo Mungu wao hupiganiwa na wako tayari kukuua kwasababu Allah ametukanwa, ila wao ni mabigwa wakukashifu na kutukana Imani za wenzao....rejea sakatta la Suleiman Rushiidie na AYA ZA SHETANI, rejea mchora katuni wa Dernmak ...hapa ni udhihirisho jadidi wa namna dini hii ilivyochipuka katika sura ya magomvi na mitizamo hafif kua Allah hawezi kujipigania.
Kama ni kweli kua mnamualikaga Mtikila kwenye mijadala ya Kidini Diamond, hivyo ndio ilipaswa kua, kuliko kupigia watu kelele hadi usiku wa saa7 huku ukitusi Imani za wengine ambapo nyinyi wenyewe si wavumilivu pale imani zenu zinapoguswa...rejea mikutano ya kina Moses Simbaulanga kule Korogwe ,mbapo masheh na waumini WAliwafanyia vurugu waumini wa Kikristo waliokua wakitoa ufafanuzi kwanini Muhamad SWA si mtume wa MUNGU na wala Allah kama anavyolejewa kwenye msahafu wa Kiislamu si Mungu w kweli mwenye NGUVU na uwezo, MUNGU hapiganiwi.
Mnayowafanyia wenzenu nyinyi mnaweza kuvumilia pindi dini zenu zikitukanwa ?
 
Allah is worth dying for...hakuna mtu anatukana dini ..kinachofanyika ni debate?

Unajua maana ya debate? kama umewahi kuhudhuria intellectual or academic presentation...waislamu na wakristo wana-argue on basis of their religions in order to find the true religion...unajua njia ya kwenda kwa muumba ni mmoja..which is??...watu wanatoa evidence wananchi wanaamua...hakuna ugomvi

acha streoype zako..za waislamu hawana elimu ..that to low for you..
 
Hakuna mungu, na dini zote zenye mambo supernatural fix tupu.
 
Hakuna mungu, na dini zote zenye mambo supernatural fix tupu.
Aisee unajipa shida bure..kwasababu hicho kitu "walikuwa wanasema wale watu wajinga sana enzi za nabii nuhu" siku hizi wenye akili wanajua Muumba yupo.
 
acha streoype zako..za waislamu hawana elimu ..that to low for you..
Tumain..... NINACHOJARIBU KUJENGA NI KUA MIHADHARA , ILA HII YA TANDIKA, tEMEKE , MBAGALA HUKO , INAKERO SANA, KWANINI ISIFANYIKIE MAENEO YA NDANI KAMA dIAMOND. SASA KUNILAZIMISHA NISILALE KISA SHEHE PONDA ANANIAMBIA YESU SI MUNGU , THAT NOT FAIR, NA NDIO MAANA KINA PONDA WANAENDA MAENEO DUNI WAKIDHANI WATAPATA WAJINGA.
PIA UKINIAMBIA YESU SI MUNGU , UWE TAYARI KUAMBIWA ALLAH WA AWQURAN NI JINI, AMA MUHAMAD SAW SI MTUME ILA ALIKUA MMBANGAIZAJI, MSIPROVOKE, MAANA MIMI NIKIWA DAR NILIKULIA MAENEO YENYE VURUGU HIZO....Mihadhara hadi saa 5
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom