Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Msomi acha hizo!nimpate wapi na hivi vyeti nafikiria nivichome tu manake naona vinaniletea nuksi tu
Msomi acha hizo!nimpate wapi na hivi vyeti nafikiria nivichome tu manake naona vinaniletea nuksi tu
Na nyie basi muwega mnatoa hata siku moja moja basi, manake nyie kupokea tu, teh!Koh Koh Koh "small things matter the most "
MmmmmhhhhhhhHahaha zawadi tamu jamani, afu ziwe zinatoka kwa mtu unayempenda afu surprise sasa, tuchozi tuleeeee
Aaah me shem wako nampa mbona. Yani namfanyia ufilipino mwanzo mwisho.Na nyie basi muwega mnatoa hata siku moja moja basi, manake nyie kupokea tu, teh!
BTW mi sifikiriagi kuletewa zawadi sijui nikoje aseeee, I mean ukiniletea nitashukuru lakini hata usipoleta sioni tatizo. Eti najuaga ni jukumu langu tu, duuuh malezi haya jamani yanatuviriga sana!!
Hahaha nipe zawadi uone TehMmmmmhhhhhhh
Sista I think hizo ni extremes ambazo hata kwa wasomi zipo. Humu tu wamo tunawaona, teh!kuna kaka yangu ameoa std7 kwa sababu km ambazo huwa naona wanaume wengi wa humu jf wanaziongelea kuhusu wanawake wasomi, bro kilasiku zinavyosogea anazidi kuisha tu na hafanyi diet, mwanamke ana gubu yule bi chau anasubiri!!
wanaume badilisheni mtazamo wenu tu, muondokane na yale mawazo mgando ya kuwa mnaoa mahouse girls au watumwa wenu, mbona sisi tumewaelewa kuwa mambo yamebadilika hamuwezi tena kutunza familia peke yenu(uzembe at highest)!!
yakishaitwa "mahusiano" it means ni ya wawili, so mkishindwana wote mmechangia wala msisingizie usomi wenu.
Hahaaaaaa wewe tena!! yaani we sista kwa mutakabali wa furaha yako inabidi tu utafute mfilipino mwenzio, mfano Benny ndo mnaendana kwenye hizo mambo, tehAaah me shem wako nampa mbona. Yani namfanyia ufilipino mwanzo mwisho.
Tatizo mnakatisha tamaa, yani mwingine unakuta najipinda kumuandikia kijigazeti cha kumueleza how much I love him, natiririka huyo utadhani atoto kaona hela. Afu mwenzio anakujibu tu "thanks" khaaaa, basi tu Nimezaliwa mfilipino, otherwise ningeacha teh
Hahaaaaa nikupe ili nione vichozi, duuuh!!Hahaha nipe zawadi uone Teh
Eeh yani mimi hata kicute note tu cha kutoka moyoni, kinanitoa chozi hakyananiHahaaaaa nikupe ili nione vichozi, duuuh!!
Afu sometimes mtasema elimu, lakini wengine utata ni asili yao. Eg. wanyaki, wahaya, wakurya, wajaluo teh teh (ila sio wote, dada zako wa humu si unatuona tulivyo wapole)Sista I think hizo ni extremes ambazo hata kwa wasomi zipo. Humu tu wamo tunawaona, teh!
Tulioko kwenye ndoa tunakuelewa vizuri mno, madai ya career woman naye kachoka kutwa nzima busy kaziniCareer women mara nyingi wanajisahau sana katika hivyo vitu vidogo vidogo kama kutengeneza chai. Unakuta house girl anaambiwa mtengenezee baba chai, wakati baba angependa kupata kikombe cha chai kilichotengenezwa na mke wake.
Ila kwako wala sibishi hataEeh yani mimi hata kicute note tu cha kutoka moyoni, kinanitoa chozi hakyanani
Teh nashukuru sanaIla kwako wala sibishi hata
Dada zangu nyie mbona wapole sanaaa, tena atoto kwenye hela ndo anazidisha upole zaidi na zaidiAfu sometimes mtasema elimu, lakini wengine utata ni asili yao. Eg. wanyaki, wahaya, wakurya, wajaluo teh teh (ila sio wote, dada zako wa humu si unatuona tulivyo wapole)
Hahaha haya banaDada zangu nyie mbona wapole sanaaa, tena atoto kwenye hela ndo anazidisha upole zaidi na zaidi
Jiwe limetupwa kizani, atakaesema poh limempata.Mungu hawez kukupa kila kitu, uzuri upewe wewe, hela wewe, trip za majuu wewe, elimu upate wewe na familia bora khaaa we nani? Lazima kimoja kiterezeeee ni kuvumilia tyuuu