Migogoro ndoa za wasomi

Migogoro ndoa za wasomi

Sidhani kama wanaume wengi ndio cha nzo cha ndoa kuvunjika,maana na wanaume watasema chanzo ni wanawake! Tatizo ninaloona watu wameweka chini wajibu wa ndoa,maana kila mmoja anapaswa kumhudumia mwenzake kwa hali zote bila visingizio.penye mapenzi na ndoa ya kweli hamna visingizio.wajib wa kazi pamoja,kupata na kulea wtt kwa misingi bora,nk.tuangalie kama jamii tumejikwaa wapi.Haya mambo ya 50×50 pia naona yanachangia maana hakuna anaemsikiliza mwenzake
 
Mimi nikiwa na Gf kikubwa ninachofanya namuacha kuwa uhuru hapo ndio najua madhaifu yake kama yanaweza kurekebishika au lah..nikiona haya ndio ambayo yapo kwake kubadilisha siwezi hapo byebye nalala mbele..Mzee keshaniambia Mwanangu kosea kote lakini ukikosea kwenye kuoa unaweza kufa hata miaka 50 hutafika na ndoa zetu hizi za kristo ni mkataba
 
Mfano nchi za wenzwtu kwa sababu hawaoni for the sake of kutegemeana kipesa they don't bother, kuachana is just a matter of an eye blink.

Wengi bongo unaoa au kuolewa for the sake of economy
 
Mimi nikiwa na Gf kikubwa ninachofanya namuacha kuwa uhuru hapo ndio najua madhaifu yake kama yanaweza kurekebishika au lah..nikiona haya ndio ambayo yapo kwake kubadilisha siwezi hapo byebye nalala mbele..Mzee keshaniambia Mwanangu kosea kote lakini ukikosea kwenye kuoa unaweza kufa hata miaka 50 hutafika na ndoa zetu hizi za kristo ni mkataba

Kwan kuoa lazima?
 
Msomi apike,afue,atandike kitanda suthubutuuu...tena mume mwenyewe kapuku.
 
Sio kwamba wanawake waliosoma na kuelimika ni jasiri na wanajiamini katika maamuzi? Kwamba wanaweza kuishi bila kujali attitude za mfumo dume? Au ni wanaume wasiojiamini ndio wanaowasingizia tu? Kwani research ipi inadhibitisha hili? Dada zetu inatakiwa msome hasa. ...tena mjitahidi kuwa financially free coz hii dunia inatekwa na wenye nguvu tu na si vinginevyo. Chaguo ni lako.
Naona unajitahidi kutoa mchango wa mawazo ambayo tukikuhoji tuna gundua huna tofauti na wale wale walioshawishi watu kwenda kupata kikombe cha babu halafu mwisho wa siku hawajui madhara ya makubwa ya hiyo inshu.......
sasa sijui hata umeshauri hivyo kwa nia gani......me naona hata haujui impact ya kusema mwanamke na mwanaume washindane.......kesho utakuja na story ng'ombe naye aruhusiwe kumla mwanadamu.
 
hii mada yangu hii mke wangu na alikuwa anapika uzuri ila siku hizi housegirl Ndio kila kitu amejisahaulisha na usomi wake wewe Ngoja nimfanyie suprise
 
Hapana mkuu alicholeta mtoa mada ni fallacy tu. Kwani mimi nikikwambia nimefanya observation miaka 5 sasa nimegundua wanawake waliosoma na wenye kipato ndio bora katika mahusiano utakataa? Labda ndiyo utakataa lakini nitakuambia ninayo sababu. Unajua wanaume tuliishi kufikiri assuption kuwa dunia na vyote vilivyomo vinamilikiwa na mwanaume sasa mumbo yamebadilika. Wanawake waliosoma na wenye kipato ndio chaguo bora otherwise wewe ni insecure.

Pokea likes 1000. You made my day brother. Nafurahi kuona kuna wanaume wa aina yako.....!!!!
 
Ingawa watu wengine wana Uhuru wa kuwa na maoni tofauti, lakini andiko hili ni zuri, lenye ukweli na lenye mafunzo. Nakupongeza mwandishi kwa mchango huo kwa jamii
 
Back
Top Bottom