Migogoro ndoa za wasomi

Migogoro ndoa za wasomi

cerengeti

Mwanamke asiyeelimika tu ndio atakubali kutawaliwa kimabavu na mwanaume. Kwa mwanamke aliyeelimika, anajali kazi zake, hatokupa nafasi ya kuyumbisha misimamo yake. Ukimpata mtaaishi kwa strategies mlizoziweka kuongoza uhusiano wenu. Usipokubali haya...... man, tafuta wanawake wasio jua haki zao, tena wapo wengi sana utapata.
 
Koh Koh Koh "small things matter the most "

Ha ha haaah! Habari ndio hiyo mpendwa.

Those are essential pillars za mapenzi....ni building blocks ambazo wahusika lazima wafanye efforts na kuwa conscious nazo muda wote. Bahati mbaya wengi ya wapenzi hawawezi kudai verbally kufanyiwa hivyo vitu lakini ndani ya mioyo yao wanatarajia kufanyiwa na wasipofanyiwa it kills their love silently until it is either too late au watu wanaishia kuishi kwa mazoea tu na hatimaye kila mmoja kutafuta comfort zone yake, as one of the eventual possibilities.
 
Alichoeleza mleta madai ni utafiti kama unaelewa maana ya utafiti. Sio kuwa kila utafiti lazima uwe formal na publications. Unaweza kuobserve jambo kwa kipindi fulani na kutafsiri tayari huo ni utafiti.

Pia katika ndoa wanaume wawili au wanawake wawili (mwanamke aliyejigeuza mwanaume au mwanaume aliyejigeuza mwanamke) hawawezi kuishi pamoja, inabidi waachane ili kila mmoja akatafute mwanamke (kwa case ya kwanza) au kila mmoja akatafute mwanaume (kwa case ya pili).
Ziko familia hata wakialikwa arusi hawawezi kwenda pamoja au hata kanisani hawawezi kwenda pamoja.

Hapana mkuu alicholeta mtoa mada ni fallacy tu. Kwani mimi nikikwambia nimefanya observation miaka 5 sasa nimegundua wanawake waliosoma na wenye kipato ndio bora katika mahusiano utakataa? Labda ndiyo utakataa lakini nitakuambia ninayo sababu. Unajua wanaume tuliishi kufikiri assuption kuwa dunia na vyote vilivyomo vinamilikiwa na mwanaume sasa mumbo yamebadilika. Wanawake waliosoma na wenye kipato ndio chaguo bora otherwise wewe ni insecure.
 
Ha ha haaah! Habari ndio hiyo mpendwa.

Those are essential pillars za mapenzi....ni building blocks ambazo wahusika lazima wafanye efforts na kuwa conscious nazo muda wote. Bahati mbaya wengi ya wapenzi hawawezi kudai verbally kufanyiwa hivyo vitu lakini ndani ya mioyo yao wanatarajia kufanyiwa na wasipofanyiwa it kills their love silently until it is either too late au watu wanaishia kuishi kwa mazoea tu na hatimaye kila mmoja kutafuta comfort zone yake, as one of the eventual possibilities.
Hahaha hapa ndo kituo cha "small things matter the most ". Jina langu lingine ni mfilipino teh. Unfortunately wanawake ndo inaonekana tunaendekeza sana mambo madogo madogo. Na wanaume wengi kutufanyia mmh hamna, watawafanyia wasio wapenzi wao.
 
Ni kweli kabisha, kwa yule ambae hajiwezi bila wewe anakupa tu.
Mmh I don't think kama mwanaume akikupa kitu ni kwamba hajiwezi bila wewe. And honestly hakunaga mtu asiyejiweza bila mtu mwingine, huwa tunaassume tu. Unaweza kupewa tu kama zawadi out of upendo tu, na mwingine atakupa kwa sababu tu kuna kitu anataka kuachieve kwako
 
I get your point dear, ninakumbuka miaka ya 2000, tulitoka safari, kurudi bongo shost amekuwa surprised na R4 4doors kutoka kwa hubby wake.
 
Back
Top Bottom