Migogoro ndoa za wasomi

Migogoro ndoa za wasomi

Pale Muhimbili kuna mama mmoja ni daktari ameolewa na mtunza bustani za hospitali, tena wanaishi vizuri sana. Inasemekana aliolewa na daktari mwenzake kabla lakini waliachana.
Basi alijifunza katokana na makosa ya ndoa ya kwanza
 
Kama mmoja wenu hajafika mbali ki-elimu si vibaya tena ndio atakua na mchango mkubwa kulea watoto kama mtajaliwa. Awe tu na hofu ya Mungu.
Amen mpendwa, ingawa safari ya shule bado inaendelea kwa kweli. But still naamini watoto wetu tutawalea tu vizuri. Na Mungu azidi tu kututia hofu yake, wote pamoja na hao wanaume, hapo ndo hata kaunafuu kidogo katakuwepo
 
Ni kweli mkuu, kuna siku mfanya kazi mwenzetu alikuwa mgojwa, tulikwenda kumjulia hali, basi mke wa yule jamaa alikuwa amepika cake, maandazi, alitutengea chai. Mwenzetu alitueleza kuwa mke wake hamtengenezeagi chai, akiuliza chai anaambiwa kwani huna mikono, birika, sukari na majani vyote vilipo unajua. Nilifikiria tu huyo mama angejua tofauti kubwa atakayomfanyia mumewe siku akianza kumtengenezea kikombe cha chai. Unaona ni jambo dogo sana lakini linamuumiza mume wake.
You People take these things way over the top, just to make some women look bad.

Mtu ambaye hataki kukutengenezea hata chai kuna mapenzi hapo! Hiyo story uliyotoa INA mengine ambayo hatujui. Usikute mume alikamatwa ugoni akaambiwa kwanzia leo usinijue hata kwa kikombe cha chai.

Speaking of which, huku ni wanawake ndo wanaotegemewa wafanye hivi vitu kidogo dogo (kuspoil). Mwanaume anaona akiacha noti kazi imekwisha.

Ndomana wanaulizaga "hivi we unataka nini, unalishwa, unavishwa, ndugu zako nawatunza"

Ndo Mapenzi ya huku. Me sionagi love hapa. Mtu anayefikiri niko naye ili aninunulie chakula, haiwezekani.

Hata nikiwa mama wa nyumbani haimaanishi nimekuja kwako kula. That always bothers me ndomana hata sitakagi kusikia mipango ya uhousewife.
 
mie mpole kwenye pesa tu, teh teh teh teeeh!!

Daah me nasemaga Ugliness from inside doesn't discriminate, uwe umesoma au hujasoma. Mpe pole kaka yetu kwa janga alilolichuma. Tatizo wanaume hawataki mwanamke hata wa kusema "NO" pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo. Wanataka muda wote "ndiyo mzee", sasa mwanamke anayejitambua aende/ asiende shule hutomuendesha kama gari bovu. Yani hawataki waulizwe chochote hawa. Na wao wanahisi mtu akienda tu shule ndo hashikiki, kumbe tupo wasikivu na wapole wengi tu kama mimi na wewe (Koh Koh koh)
 
Pale Muhimbili kuna mama mmoja ni daktari ameolewa na mtunza bustani za hospitali, tena wanaishi vizuri sana. Inasemekana aliolewa na daktari mwenzake kabla lakini waliachana.
Ingekuwa huyo mwanaume anaweza kukusimulia ya moyoni ungepata majibu.
 
You People take these things way over the top, just to make some women look bad.

Mtu ambaye hataki kukutengenezea hata chai kuna mapenzi hapo! Hiyo story uliyotoa INA mengine ambayo hatujui. Usikute mume alikamatwa ugoni akaambiwa kwanzia leo usinijue hata kwa kikombe cha chai.

Speaking of which, huku ni wanawake ndo wanaotegemewa wafanye hivi vitu kidogo dogo (kuspoil). Mwanaume anaona akiacha noti kazi imekwisha.

Ndomana wanaulizaga "hivi we unataka nini, unalishwa, unavishwa, ndugu zako nawatunza"

Ndo Mapenzi ya huku. Me sionagi love hapa. Mtu anayefikiri niko naye ili aninunulie chakula, haiwezekani.

Hata nikiwa mama wa nyumbani haimaanishi nimekuja kwako kula. That always bothers me ndomana hata sitakagi kusikia mipango ya uhousewife.
Msomi umeshapata mume?
 
Career women mara nyingi wanajisahau sana katika hivyo vitu vidogo vidogo kama kutengeneza chai. Unakuta house girl anaambiwa mtengenezee baba chai, wakati baba angependa kupata kikombe cha chai kilichotengenezwa na mke wake.
 
Kuna utayari wa ndoa, ikiwa mwanamke au mwanaume hajawa tayari ila analazimishwa kwa njia yoyote ile ndoa pia haitadumu. Ikiwa wawili hawa hawana nia/lengo/hamu ya kuwa na familia, pia ndoa haitadumu, hapa nazungumzia baadhi ya wanawake husema wanaolewa kuondoa nuksi au anazaa watu wajue anauzazi basi.
 
duuuh!! nilisahau kama career women ni roborts!!

Career women mara nyingi wanajisahau sana katika hivyo vitu vidogo vidogo kama kutengeneza chai. Unakuta house girl anaambiwa mtengenezee baba chai, wakati baba angependa kupata kikombe cha chai kilichotengenezwa na mke wake.
 
Career women mara nyingi wanajisahau sana katika hivyo vitu vidogo vidogo kama kutengeneza chai. Unakuta house girl anaambiwa mtengenezee baba chai, wakati baba angependa kupata kikombe cha chai kilichotengenezwa na mke wake.
sawa lakini usikute mama wa watu hajawahi kutengenezewa chai hata Mara moja. kwanza mama akiumwa ndo anahudumiwa na huyo housegirl.
 
Mhmhmhmhmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!
 
Huu utafiti mzuri sana, ila umebase kwa matajiri , tunasubiri utafiti kwa upande wa maskibi au wenye kipato kidogo kwani nako kuna usaliti wa kimya kimya na sababu zipo ,
 
1465919064743.jpg
 
Back
Top Bottom