Migogoro ndoa za wasomi

Migogoro ndoa za wasomi

Huyo wa Muhimbili aliemuacha Dr.mwenzie na kuolewa na garden boy,mara nyingi wanawake hasa kama ana kipato chake anaangalia mtu dhaifu ili afanye anavotaka,maana huyo Dr.mwenzake atamthibiti! Wanawake wengi wa town wa mshahara wana tabia hiyo,wanapodai 50×50 pale home na kugonga mwamba, Wanaanza kujidai afadhali kuolewa na msukuma mkokoteni!
 
Kwa kuzingatia sampo, kweli wasomi kwa wasomi na wana hela ndoa zao
Vimeo. Ila extreme ndogo ndio wako wasomi wazuri na la7 wazuri. Lakini majority ya hao watu ni vimeo bora mpishane elimu tu
 
ndoa haina formula nimeona ndoa nyingi ambazo wanawake sio wasomi na zimeishia kwa kuachana au unakuta wanafanya ujinga mpk unashangaa. chamuhimu upate mtu anayemuogopa Mungu despite elimu yake. ukiomba Mungu atakupa mke mzuri tu au mme mzuri pia na wewe uwe na matendo mazuri
 
cerengeti

Mwanamke asiyeelimika tu ndio atakubali kutawaliwa kimabavu na mwanaume. Kwa mwanamke aliyeelimika, anajali kazi zake, hatokupa nafasi ya kuyumbisha misimamo yake. Ukimpata mtaaishi kwa strategies mlizoziweka kuongoza uhusiano wenu. Usipokubali haya...... man, tafuta wanawake wasio jua haki zao, tena wapo wengi sana utapata.

nilikua na sababu 99 za kwann mwanamke msomi ni kero kwenye ndoa, umenipa ya 100!!
 
Huyo wa Muhimbili aliemuacha Dr.mwenzie na kuolewa na garden boy,mara nyingi wanawake hasa kama ana kipato chake anaangalia mtu dhaifu ili afanye anavotaka,maana huyo Dr.mwenzake atamthibiti! Wanawake wengi wa town wa mshahara wana tabia hiyo,wanapodai 50×50 pale home na kugonga mwamba, Wanaanza kujidai afadhali kuolewa na msukuma mkokoteni!
Kumbuka majukumu ya mwanamke msomi, ni mke, mama na kazini ni kiongozi. Sasa kama mwanaume si mwelewa na yeye anataka apikiwe ugali na mke wake kila siku ndio mara nyingi migogoro inapoanza.
 
ndoa haina formula nimeona ndoa nyingi ambazo wanawake sio wasomi na zimeishia kwa kuachana au unakuta wanafanya ujinga mpk unashangaa. chamuhimu upate mtu anayemuogopa Mungu despite elimu yake. ukiomba Mungu atakupa mke mzuri tu au mme mzuri pia na wewe uwe na matendo mazuri

Bibi huo ni uongo, research inaonesha kundi kubwa la ndoa za migogoro ni zile zenye watu wa calibre sawa. Usifanganye au kujipa moyo, hao wenye combination sawa na wanaishi vzr ni 5% na wale waliooana mmoja la 7 mwingine PhD na wana migogoro ni 5%, lakini 90% ya same calibre spouses hakuna kitu
 
sawa,unaejiita sky eclat,ukiamua kuingia kwenye ndoa,nadhan utakubaliana na mimi kuhudumia ndoa ni muhimu sana,otherwise mume anaeza hudumiwa na hse girl or akatafuta alternative ingine ,na ww unabaki kuhudumia office.Usikwepe wajibu wako kwa mume kwa sababu nyinginezo,utaivunja ndoa yako! Sidhan kama kuna mume anaeweza kuelewa kukosa huduma za mke,na ndivyo matattzo yanapoanza! Unasema upo bsy wakati mwisho wa mwezi hakuna kinachoonekana ndani?
 
Labeckha nimekusika. Hapa ndipo tunapokosea, vitabu vya dini vinasema Adam alikuwa mpweke, Mungu akampa usingizi na kutwaa ubavu wake. Sasa kama wewe umeolewa na huyu mume ndiye ubavu wako wa pili, inabidi msaidiane majukumu. Mawasiliano yenu kwanza yawe mazuri, mume aweze kukueleza yote yanayomsibu na wewe kadhalika. Mshahara unapopatikana mtatue yale yanayotatulika. Sasa kama mwisho wa mwezi mwanamke haleti chochote nyumbani huyo si mke bali ni mjasilimali.
 
wanawake walio soma hawana hofu na ndoa au hawaogopi risk za ndoa kuvunjika kwa sababu wanaamini wanaweza kuishi bila waume zao bila kujua kwamba ndoa ni zaidi ya fedha.

Wanawake ambao hawakusoma nao mara nyingi wanakua wanajali ndoa kwa sababu wanaamini ndoa ni pesa na kwa kuwa hawana kipato basi wanaogopa sana risk za kuvunja ndoa.

Mke au mume wa kweli si rahisi kumpata kama umepata mshukurimu Mungu.

Ndoa nzuri mwaka wa kwanza baada ya kuwa na mtoto mambo hubadilika.

Nikisema ukweli wanaume wengi ndio chanzo cha ndoa kuvunjika ndio maana wanapenda kuoa wanawake wakio wazidi vipato ili kupata nguvu ya kuwafunga midogo wasiongee.
 
Pale Muhimbili kuna mama mmoja ni daktari ameolewa na mtunza bustani za hospitali, tena wanaishi vizuri sana. Inasemekana aliolewa na daktari mwenzake kabla lakini waliachana.
Dada naomba unipe ruhusa niku pm tafadhali.
 
Kuna wakati utachoka, fikiria uzeeni wakati watoto wote wameshakua, utaongea na nani?

Nitaongea na watoto wa wadogo wangu au majirani. (mie ninampango wa kuanzisha kituo cha watoto yatima hapo baadaye hivyo nitatengeneza mazingira ya kuwalea kama watoto wangu kabisa).
kuoa si lazima bali ni hiari ya MTU.
 
Back
Top Bottom