Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,414
Hahah.."one call away"No matter where you go
You know you're not alone
Mpaka hii unaijua?!..
Your too much mfilipino
Hahah.."one call away"No matter where you go
You know you're not alone
Hahaha uzijue wewe tu eehHahah.."one call away"
Mpaka hii unaijua?!..
Your too much mfilipino
Unyenyekevu ndio unahatarisha maisha ya mwanamke magonjwa kama BP etc be yourself kwa nini unyenyekee kwani wewe ndio mhitaji zaidi kuliko huyo mwanaume? Mimi huwa sielewi kabisa hata kwenye mafundisho ya dini yanafundisha mwanamke kuwa mnyonge kwenye ndoa for what?!! NDOA lazima ibalance9.siku zote mwanamke kuwa mnyenyekevu
katika ndoa yako
Mkifanya hivyo ni ndoa yenu itakuwa
yenye furaha tele na mtakuwa mfano wa
kuigwa.
kuna kaka yangu ameoa std7 kwa sababu km ambazo huwa naona wanaume wengi wa humu jf wanaziongelea kuhusu wanawake wasomi, bro kilasiku zinavyosogea anazidi kuisha tu na hafanyi diet, mwanamke ana gubu yule bi chau anasubiri!!
wanaume badilisheni mtazamo wenu tu, muondokane na yale mawazo mgando ya kuwa mnaoa mahouse girls au watumwa wenu, mbona sisi tumewaelewa kuwa mambo yamebadilika hamuwezi tena kutunza familia peke yenu(uzembe at highest)!!
yakishaitwa "mahusiano" it means ni ya wawili, so mkishindwana wote mmechangia wala msisingizie usomi wenu.
Ukikutana na mtu anaedemand kujengewa nyumba, kununuliwa gari, huyo ni mjasilimali hayuko kwenye mapenzi.
Wajasilimali wanajua timing wewe, ukitoka seminar tu anajua kunacheque, anaanza, hamlali mpaka apate mshiko kama yeye ndiye aliekuandikia mada kuu ya seminar.Ha ha ha haaaah....nimeipenda bure hiyo. Huo kweli ni ujasiliamali rafikiangu. Sasa mtu inabidi utoke nduki pale unapojikuta uko na mjasiliamali while wewe una-invest kwenye mapenzi au akili mukichwa au...au? Teh teh
Hahaha hapa ndo kituo cha "small things matter the most ". Jina langu lingine ni mfilipino teh. Unfortunately wanawake ndo inaonekana tunaendekeza sana mambo madogo madogo. Na wanaume wengi kutufanyia mmh hamna, watawafanyia wasio wapenzi wao.
Yah, kuishi na mtu ambae hamko comptactable ni shida sana, unamaliza kazi lakini hutaki kwenda nyumbani. Nyumbani ni mahali unapotakiwa kutuliza mawazo yako baada ya siku nzito. Mwisho wa siku unakuta mtu ameamua kujimaliza.
Mmh I don't think kama mwanaume akikupa kitu ni kwamba hajiwezi bila wewe. And honestly hakunaga mtu asiyejiweza bila mtu mwingine, huwa tunaassume tu. Unaweza kupewa tu kama zawadi out of upendo tu, na mwingine atakupa kwa sababu tu kuna kitu anataka kuachieve kwako
Wajasilimali wanajua timing wewe, ukitoka seminar tu anajua kunacheck, anaanza, hamlali mpaka apate mshiko kama yeye ndiye aliekuandikia mada kuu ya seminar.
May be I am too naive for that.You made my moment aisee. Asante mpendwa. Nimejikuta nacheka kwa sauti mno. Kwahiyo, wajaliamali ni wataalamu wa kutega mingo za kufa mtu na kwa umakini wa hali ya juu...kiasi kwamba mtu unashtukia tu umeachiwa manyoya. Daaaah...inabidi basi tu-develop senses na instincts zetu zaidi ili angalau tupate uwezo hata mdogo wa kugundua any alarming signs kutoka kwa hawa wajasiliamali...na dizaini kama wamejaa sana mtaani hawa.
Wewe huna chembe za ujasiliamali aisee? Ha ha ha
Mmh I don't think kama mwanaume akikupa kitu ni kwamba hajiwezi bila wewe. And honestly hakunaga mtu asiyejiweza bila mtu mwingine, huwa tunaassume tu. Unaweza kupewa tu kama zawadi out of upendo tu, na mwingine atakupa kwa sababu tu kuna kitu anataka kuachieve kwako
Mmh I don't think kama mwanaume akikupa kitu ni kwamba hajiwezi bila wewe. And honestly hakunaga mtu asiyejiweza bila mtu mwingine, huwa tunaassume tu. Unaweza kupewa tu kama zawadi out of upendo tu, na mwingine atakupa kwa sababu tu kuna kitu anataka kuachieve kwako
Ndo hivyo bana, muwe tu mnatufanyia huto tu mambo tudogo tudogo. Mimi honestly napendaje mweee, basi tuHa ha ha. Daaah...hapo sasa ndo penye shughuli pevu. Halafu best yangu HS aka Mfilipino naona hapo umeongea kwa hisia kweli...i had no option but to feel u. Ha ha ha

Hahaha haina shida, kama hela unaambiwa ufate ghetto, sipati picha kwenye kupewa gari utaambiwaje tehyaani hata siwaelewi, kama hunipi mwenyewe basi nitademand tu, marufuku kukopwa.
Daah me nasemaga Ugliness from inside doesn't discriminate, uwe umesoma au hujasoma. Mpe pole kaka yetu kwa janga alilolichuma. Tatizo wanaume hawataki mwanamke hata wa kusema "NO" pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo. Wanataka muda wote "ndiyo mzee", sasa mwanamke anayejitambua aende/ asiende shule hutomuendesha kama gari bovu. Yani hawataki waulizwe chochote hawa. Na wao wanahisi mtu akienda tu shule ndo hashikiki, kumbe tupo wasikivu na wapole wengi tu kama mimi na wewe (Koh Koh koh)kuna kaka yangu ameoa std7 kwa sababu km ambazo huwa naona wanaume wengi wa humu jf wanaziongelea kuhusu wanawake wasomi, bro kilasiku zinavyosogea anazidi kuisha tu na hafanyi diet, mwanamke ana gubu yule bi chau anasubiri!!
wanaume badilisheni mtazamo wenu tu, muondokane na yale mawazo mgando ya kuwa mnaoa mahouse girls au watumwa wenu, mbona sisi tumewaelewa kuwa mambo yamebadilika hamuwezi tena kutunza familia peke yenu(uzembe at highest)!!
yakishaitwa "mahusiano" it means ni ya wawili, so mkishindwana wote mmechangia wala msisingizie usomi wenu.
Kama mmoja wenu hajafika mbali ki-elimu si vibaya tena ndio atakua na mchango mkubwa kulea watoto kama mtajaliwa. Awe tu na hofu ya Mungu.Daah me nasemaga Ugliness from inside doesn't discriminate, uwe umesoma au hujasoma. Mpe pole kaka yetu kwa janga alilolichuma. Tatizo wanaume hawataki mwanamke hata wa kusema "NO" pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo. Wanataka muda wote "ndiyo mzee", sasa mwanamke anayejitambua aende/ asiende shule hutomuendesha kama gari bovu. Yani hawataki waulizwe chochote hawa. Na wao wanahisi mtu akienda tu shule ndo hashikiki, kumbe tupo wasikivu na wapole wengi tu kama mimi na wewe (Koh Koh koh)
Ushuhuda hai huo.....Pale Muhimbili kuna mama mmoja ni daktari ameolewa na mtunza bustani za hospitali, tena wanaishi vizuri sana. Inasemekana aliolewa na daktari mwenzake kabla lakini waliachana.