Michepuko inafilisi

Michepuko inafilisi

Hizo outing toka na mkeo hata kama ni karibu wqkikupigia wambie nipo na wife, full stop
Tatizo wife hapendi hizi outing....hata mkitoka na familia ikifika saa 4 usiku anasema turudi nyumbani
 
Wao wanauza unataka akubanie wakati anataka pesa? Mtaka cha uvunguni habinui kitanda mkuu bali huinama
Kweli pesa inasaidia kupata starehe pendwa....ila kumiliki moja kwa moja ni garama
 
Wanaume mnatakiwa mjue hata sisi wanawake tunahitaji kuwa na wapenzi wa peke yetu, unapokuja kwangu wewe kama mume wa mtu maana yake unanitreat kama ziada, mimi pia inaniuma kuona kuwa huyu mwanaume ninaye ila sio wangu...unadhani hilo gap naliziba vipi
Ndio unikomoe sasa?? Kwani raha si nakupa
 
Nimeanza kupunguza mawasiliano kwa mmoja na kumuambia kwa sasa nabana matumizi nadaiwa na bank,muda wowote wanaweza kuuza asset zangu,akabaki kusema Mungu atakusaidia tu;bila kujua ni mkakati wa kuachana.
 
Nifate mapenzi kwako nitayapata? Pale ni exchange tu maana hata wewe kilichokuleta kwangu sio mapenzi. Unapata unachohitaji na mimi napata nnachohitaji....deal closed. Siwezi kuwekeza kwenye mapenzi wakati siku yoyote unaweza kuamua kuniacha na kurudi kwa mkeo na mimi ukaniachia v.uzi tu.
🙈🙈🙈🙈🙈 aibu nimeona mimi
 
Tatizo hakuna guarantee, hivi siku imefika unaniambia nimeshindwa kutoa pesa wife ameficha ATM card nitakushtaki wapi? Au kabla hata hatujafika kutekekeza mipango unaniambia mimi sasa hivi nimeokoka sitaki tena michepuko usinitafute tena wakati huo wewe ulikuwa unajinyima unasubiri kutekeleza mipango mikubwa. Unakamua kwelikweli kama ni mipango unafanya ya kwako binafsi, mambo ya kupanga mipango na mume wa mtu yanatoka wapi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza malengo binafsi inakuwa changamoto.....tuishi na michepuko kwa akili,ikiwezekana acha kabisa.
Acha ubahili Brother
 
Nifate mapenzi kwako nitayapata? Pale ni exchange tu maana hata wewe kilichokuleta kwangu sio mapenzi. Unapata unachohitaji na mimi napata nnachohitaji....deal closed. Siwezi kuwekeza kwenye mapenzi wakati siku yoyote unaweza kuamua kuniacha na kurudi kwa mkeo na mimi ukaniachia v.uzi tu.
 
Back
Top Bottom