Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Ooohooo! Haya mamaaWe nini bhana, watu walishapigwa mtungo wakaendelea kudunda tu itakuwa wewe kamtu kamoja? Halafu ukitumia vumbi la Congo nikakunyima si utaenda nalo kwa mkeo?
Ooohooo! Haya mamaaWe nini bhana, watu walishapigwa mtungo wakaendelea kudunda tu itakuwa wewe kamtu kamoja? Halafu ukitumia vumbi la Congo nikakunyima si utaenda nalo kwa mkeo?
Unaona sasa maneno niliyoandika, nimerudia kusoma hadi nimeona aibu [emoji85][emoji85]Ooohooo! Haya mamaa
ha ha ha ha sichakazi mkuu bali wao ndio wananichakaza kwa majukumu mazitoWewe unapochakaza nanihii ya watu je?
We nini bhana, watu walishapigwa mtungo wakaendelea kudunda tu itakuwa wewe kamtu kamoja? Halafu ukitumia vumbi la Congo nikakunyima si utaenda nalo kwa mkeo?
ha ha ha ha ha haMizinga😀
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] ngoja nifuteMtungo tena my dear
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] ngoja nifute
Nimeshaanza kumpiga tarehe kwa sasaSafi sana, huyu ndio mchepuko anayejua kutumia fursa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana roho ngumuWala usijali ila eti mie naona aibu unapigwa hiyo halafu kesho unapita mtaani kama kawaida
vijana below 30 ndio wenye huo mchezoWala usijali ila eti mie naona aibu unapigwa hiyo halafu kesho unapita mtaani kama kawaida
Tendo linakuwa halina thamani tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana roho ngumu
Endelea kuskia tuuu[emoji23][emoji23] sichomi picha ya mtu yeyote, natoa mawazo yangu tu na si mawazo ya kila mchepuko....wengine wana mapenzi ya dhati nasikia eti
Na kweli bora niendelee kusikia yasije yakanipataEndelea kuskia tuuu
Unashangaa uko kwenye shughuli zako,unapigiwa simu nina njaa kweli, niagizie kitimoto na bia nipo sehemu fulani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleee! Wewe si huchuni unakwangua hahahahaahhUnaona sasa maneno niliyoandika, nimerudia kusoma hadi nimeona aibu [emoji85][emoji85]
HahahahaWala usijali ila eti mie naona aibu unapigwa hiyo halafu kesho unapita mtaani kama kawaida
[emoji3][emoji3][emoji3]Poleee! Wewe si huchuni unakwangua hahahahaahh
Kuna watu wana sura ngumu hata hawezi shituka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu sanaHahahaha
vijana below 30 ndio wenye huo mchezo
Unatakiwa kuwa na mipaka basiUnashangaa uko kwenye shughuli zako,unapigiwa simu nina njaa kweli, niagizie kitimoto na bia nipo sehemu fulani