Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,394
- 62,665
- Thread starter
- #201
Inakuwa nimetoka na mke,watoto, na mtu wa taadhari kama tutashindwa kuendesha usafiri;sasa nikipiga chupa 8 mambo yanakuwa mengineHapo si unakuwa umekaa karibu na mkeo, hawaogopi kwani? Kumbe ndiyo maana anaogopa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]