Michepuko inafilisi

Michepuko inafilisi

Kwa usawa huu watu wenye vipato vya kawaida na wale wenye vipato vya chini lazima tujitathmini kwanza. Sio wakati wa kuhudumia michepuko, unaweza kukaa miaka mitano ya mzee baba bila kuwa na chochote cha maana.
 
Aisee, unao wangap jomba? Mi nlikuwa na michepuko miwili.. Juzi kati yotE nimeichana na nmeachana nayo. Haikuwa rahisi kwa kweli.
ha ha ha ha ha wawili tu,ni sawa na kubeba gunia la misumari
 
Kwa usawa huu watu wenye vipato vya kawaida na wale wenye vipato vya chini lazima tujitathmini kwanza. Sio wakati wa kuhudumia michepuko, unaweza kukaa miaka mitano ya mzee baba bila kuwa na chochote cha maana.
ha ha ha ha ni kweli
 
Unampaje mchepuko fedha? Mchepuko wakupe wewe fedha ,maana wewe unae mke ,ukitaka K unapata
 
Wanawake nao ni kerrrrrreeo tupu. Unapewa K as if kwamba umemlazimisha. Yaan bora mchepuko wanatoa mzigo mpaka unaridhika, ss ndani only one shot kwisha habari yake
Michepuko inasaidia sana,....ila ni garama kummiliki kwa muda mrefu hasa hawa wenye shepu matata.
 
Wanawake nao ni kerrrrrreeo tupu. Unapewa K as if kwamba umemlazimisha. Yaan bora mchepuko wanatoa mzigo mpaka unaridhika, ss ndani only one shot kwisha habari yake
Wao wanauza unataka akubanie wakati anataka pesa? Mtaka cha uvunguni habinui kitanda mkuu bali huinama
 
Ndiyo umelitambua leo, nyumbani ekfu5, mchepuko laki 2 tena zakutunzia mtoto asiye wako halafu mtu anajiita kidume,
mke michunusi mpaka mgongoni kisa pesa hakuna Mungu awaponye wanaume dizaini hii
Pole sana
 
Back
Top Bottom