Una maana pale tu ambapo effect yake/zake haziingilii maisha/matakwa ya wengine.., kumbuka hapa naongelea nadharia na sio issue at hand, mfano kama wosia unasema watoto wasitafute ndugu zake au baba/mama kuwaambia watoto wasitafute ndugu zao au baba/mama yao, hapo atakuwa ameingilia haki za hao watoto..., Pia hata mtu akiacha Wosia huwa wanaangalia alikuwa kwenye (what frame of mind) kama alikuwa na akili zake timamu.., na kama alichokuachia ukifanye na wewe mtu wake wa karibu ukiona hakiendani na hali ya kawaida basi unaweza usikifate..Wewe nawe umedandia gari kwa mbele. Unataka kutudanganya kuwa KAMA mtu akiacha wosia basi akifariki hauna maana!
Aluuuuu!!!Nitatoaje taarifa wakati sijui kama marehemu alitaka ndugu washirikishwe baada ya yeye kufariki?
Mimi sipo katika ku assume tu kwamba kila mtu ana values kama zangu, au zako.
Especially kama mtu mwenyewe kashajionesha wazi kwamba ni outlier tangu alivyoishi.
mkuu unaishi adelaide?
All in All hatujui...,
mimi naweza kusema sisi hapa kumjadili marehemu kafanya au hakufanya nini tunatenda makosa zaidi.
Anyway hapa kuna haki za wengi, mke pia anayo haki na watoto pia wanayo haki,
na kwa vile marehemu ametangulia tunaweza tukasema mwenye maamuzi makubwa kwa sasa ni mke wake,
na kama mke wake kaamua ndugu watafutwe who are we to say otherwise ?
Hata kama marehemu hakutaka ndugu zake watafutwe, Je mwanamke hana haki ya kuwatafuta wakwe zake ?
Privacy na rights za individual they are only valid in my opinion if they dont affect anyone else (emotional or otherwise), unless uniambie kwamba the significant other hana say kwenye maisha / maamuzi ya muhusika.
Pia jamii ya watu aliokuwa anaishi nao huku, kama hakuwaachia maamuzi ya kufanya iwapo atatangulia mbele ya Haki basi automatically wao ndio watajua cha kufanya, sababu ni wao ndio watahusika kuandaa mazishi yake as well as kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa (unless kama aliacha fungu la pesa na maelekezo ya kufanya siku akiondoka)
By the way hapa ninatoa mifano tu kama hiki au kile kikitokea au mtu yoyote akikumbwa na issue kama hii simuongelei marehemu sababu sijui facts zozote
mkuu hadi leo hii unaamini imani za kurogana ama uchawi? Sidhani kama huo uzushi wa kuogopa kujenga kwenu upo eti sababu waogopa kurogwa. Urogwe na nani?
Hakuna kitu kama hicho. Kama unajenga wewe jenga ila usitafute visingizio vya kuacha kujenga
snowhite njoo kwanza hapa! Yaani hii hadithi naifuatilia meanwhile nasubiria yamtokee mtu wangu wa karibu. Nilijua tuuuuuu JESUS CHRIST anahusika somewhere! Aiseee!
ngoja nipite nikiugulia maumivu. Ila huyu angekuwa binamu yangu, for whatever reason, wala nisingetaka kuhusika na msiba. Ila Sikonge ameeleza vizuri, pengine sasa mama na watoto wanataka closure na kuwajua ndugu zao.
All in All hatujui..., mimi naweza kusema sisi hapa kumjadili marehemu kafanya au hakufanya nini tunatenda makosa zaidi.
Anyway hapa kuna haki za wengi, mke pia anayo haki na watoto pia wanayo haki, na kwa vile marehemu ametangulia tunaweza tukasema mwenye maamuzi makubwa kwa sasa ni mke wake, na kama mke wake kaamua ndugu watafutwe who are we to say otherwise ? Hata kama marehemu hakutaka ndugu zake watafutwe, Je mwanamke hana haki ya kuwatafuta wakwe zake ?, Privacy na rights za individual they are only valid in my opinion if they dont affect anyone else (emotional or otherwise), unless uniambie kwamba the significant other hana say kwenye maisha / maamuzi ya muhusika.
Pia jamii ya watu aliokuwa anaishi nao huku, kama hakuwaachia maamuzi ya kufanya iwapo atatangulia mbele ya Haki basi automatically wao ndio watajua cha kufanya, sababu ni wao ndio watahusika kuandaa mazishi yake as well as kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa (unless kama aliacha fungu la pesa na maelekezo ya kufanya siku akiondoka)
By the way hapa ninatoa mifano tu kama hiki au kile kikitokea au mtu yoyote akikumbwa na issue kama hii simuongelei marehemu sababu sijui facts zozote
Mkuu, huu ndiyo ukweli kabisa katika hili. Maamuzi ya nini kifanyike sasa, yako chini ya Mikono ya Mke wa Marehemu na Watoto. Sisi kuanza kujadili hapa ni kuingilia haki na maamuzi yao.
Aluuuuu!!!
Wee jamaa kichwa chako inabidi kichunguzwe, nimesoma posts zako kwenye hili suala, I see ni hatari, not only rational but also very logical.
Nimegonga Likes hadi nimechoka.
Mkuu kwenye maisha ya kila siku ni watu wangapi wanaacha wosia, alafu hata kama mtu alikuwa anasema mimi nikifa nitataka nizikwe sehemu fulani na hiki au kile kitendeke kama hakuacha fungu la hicho au kile kutendekea basi yasipofanyika yale aliyoyataka hakuna wa kulaumu. Ndio maana hapa kwa sasa Mke kama msimamizi mkubwa wa familia aliyebaki chochote atakachokifanya sasa kwa manufaa ya familia yake ni sawa.Tunachojadili hapa ni zaidi ya incident.
Tunajadili hata principle ili kusudi kesho keshokutwa, tupishiwe mbali, lakini, yayumkinika kabisa laweza kutokea tena kama hili, tusiwe hatujalijadili kwa kina.
Ukissma maamuzi nini kifanyike sasa yako kwa mke, unaondoa uwezekano na umuhimu kwamba marehemu kaacha maagizo ya nini kifanyike kwenye wosia wake.
Ndiyo maana mimi naulizia wosia.
Juhudi za ndugu zake kujitokeza zimegonga mwambaNdugu zake wa Tanzania wameshapata taarifa. Marehemu asili yake ni Muheza Tanga. Asanteni kwa kuweka taarifa hii mtandaoni.
Huyo mkewe kama angekuwa mwenye nia ya kuwajua wakwe zake - kwanini asiwatafute ndugu wa mumewe/wakwe wakati yuko hai?All in All hatujui..., mimi naweza kusema sisi hapa kumjadili marehemu kafanya au hakufanya nini tunatenda makosa zaidi.
Anyway hapa kuna haki za wengi, mke pia anayo haki na watoto pia wanayo haki, na kwa vile marehemu ametangulia tunaweza tukasema mwenye maamuzi makubwa kwa sasa ni mke wake, na kama mke wake kaamua ndugu watafutwe who are we to say otherwise ? Hata kama marehemu hakutaka ndugu zake watafutwe, Je mwanamke hana haki ya kuwatafuta wakwe zake ?, Privacy na rights za individual they are only valid in my opinion if they dont affect anyone else (emotional or otherwise), unless uniambie kwamba the significant other hana say kwenye maisha / maamuzi ya muhusika.
Pia jamii ya watu aliokuwa anaishi nao huku, kama hakuwaachia maamuzi ya kufanya iwapo atatangulia mbele ya Haki basi automatically wao ndio watajua cha kufanya, sababu ni wao ndio watahusika kuandaa mazishi yake as well as kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa (unless kama aliacha fungu la pesa na maelekezo ya kufanya siku akiondoka)
By the way hapa ninatoa mifano tu kama hiki au kile kikitokea au mtu yoyote akikumbwa na issue kama hii simuongelei marehemu sababu sijui facts zozote
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Kumbe ndo mana nawewe una akili chafu...
Mkuu kwenye maisha ya kila siku ni watu wangapi wanaacha wosia,
alafu hata kama mtu alikuwa anasema mimi nikifa nitataka nizikwe sehemu fulani na hiki au kile kitendeke kama hakuacha fungu la hicho au kile kutendekea basi yasipofanyika yale aliyoyataka hakuna wa kulaumu.
Ndio maana hapa kwa sasa Mke kama msimamizi mkubwa wa familia aliyebaki chochote atakachokifanya sasa kwa manufaa ya familia yake ni sawa.
Hata kama mtu aliacha funeral arrangements to the dot..., na akawaambia ndugu zake wasiwaambie Africa kwamba nimekufa, (ingawa hata hapo mke au watoto wanaweza wakasema pia sababu hili suala linawa-affect na wenyewe) Sasa maadamu huyo mtu hakutoa tangazo kwenye TV au kwa kila anyemjua asiseme, mtu baki ambaye hakujua hii statement na anamjua huyu ni Mtanzania mwenzake atakuwa hakufanya kosa kutoa habari..., sababu its normal kwa mtu akifa watu kutoa taarifa ya kifo.
Hivi wewe umeshaishi na watu, kuna watu wana sound za kutosha, na kila siku huwezi kujua labda huyu mama alikuwa ananganganiza ndugu watafutwe bwana anagoma au anazungusha..., alafu pia huenda na yeye hakuona umuhimu wa kujua hao watu ila watoto ndio wamekuja kushinikiza.., all in all kuna variables nyingi zinazoweza kutokea kwahio sentensi moja au mbili haziwezi kuelezea motive au kwanini nini hakikufanyika au kimefanyika. Au anaogopa kesho au keshokutwa kwanini watu wasije juu na kuanza kulaumu kwanini hatukutafutwa / kuambiwa ndugu yetu alipofariki.Huyo mkewe kama angekuwa mwenye nia - kwanini asiwatafute ndugu wa mumewe wakati yuko hai?
Iweje sasa ameshafariki ndiyo aone umuhimu wa ndugu wa marehemu?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Fuatilia posts za jamaa, full brains and logic, yaani mkuu lusungo umepwaya mno kwenye majibizano yako na jamaa, ever heard of someone Christopher Hitchkens?, This guy is said to be a JF Hitchkens!!
Nafahamu hilo kuna watu wana kipaji cha uongo/usanii lakini kwa wenzetu tamaduni zao hata iweje mkewe angemsumbua sana marehemu kutaka kujua wakwe zakeHivi wewe umeshaishi na watu, kuna watu wana sound za kutosha, na kila siku huwezi kujua labda huyu mama alikuwa ananganganiza ndugu watafutwe bwana anagoma au anazungusha..., alafu pia huenda na yeye hakuona umuhimu wa kujua hao watu ila watoto ndio wamekuja kushinikiza.., all in all kuna variables nyingi zinazoweza kutokea kwahio sentensi moja au mbili haziwezi kuelezea motive au kwanini nini hakikufanyika au kimefanyika. Au anaogopa kesho au keshokutwa kwanini watu wasije juu na kuanza kulaumu kwanini hatukutafutwa / kuambiwa ndugu yetu alipofariki.
May all beings attain enlightenment.
Mnajua kama alitaka ndugu zake wajulishwe au mna assume assume tu kibongobongo?
Mtu kakaa kiwanja mvua thelathini, pengine alichotaka ni ndugu zake wasijulishwe.
May all beings attain enlightenment.
Sasa mkuu Lukindo ameshatutoka - mke wa marehemu ameona mambo yamemuelemea au hakutegemea kama kifo kingemchukua mkuu Lukindo mapema hivi, ndio maana ameamua kutafuta wakwe zake sasa(kipindi hiki cha msiba) baada ya maji kumtokea puani