Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
We we una mke??
Umeoa lini na yupi kati ya wale naowafahamu???
Acha kujitoa show hapa tena yooote hapo yanakuhusu sana.
Nitamwaga radhi saa hii ohooo t
ena hiyo 2,3...........zinakuhusu sana mwone vile
Asante kwa kuliona hili my sisy,
Yani anabisha mwanzo mwisho,amesahu unajua ishu zake,
Mwambie akubaliane na bishanga tu,kabla hujamwanga mambo hadharani lol!
Wapi my broda fidel!haaa haa!