Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Ulikuwa hujui kuwa mm mlokole? Huyo DA anatafuta umaarufu kama mbunge wa CCM
My broda bwana yesu asifiwe!
Leo ndio leo bishanga kagusa kunako broda!
Sina uhakika hata kwa stail hii ya ulokole wa gafla km utatoka!
Kubali uzaliwe upya!
 
He he he he he he watu pipoooooooooooooooooo

Bishanga nimekupa Reputation kwa huu uzi.

Wanaume leo naniliu hazisimamia kabisa ha ha ha ha

Nimechekaje mie??!! Mweeeehhhh

Hata sijui nilikuwa wapi mpaka nikachelewa thread
imefika mbali hivi dah..............

Leo umewashika nanihino zao ha ha ha ha hakuna
kubisha

Asante sana Like ingeruhusiwa zaidi ya mara moja naona
ningekugongea 100000
ahsante li shem langu la ukweli,actually i am trying to help my brothers,wanakasirika bure tu.
 
My broda bwana yesu asifiwe!
Leo ndio leo bishanga kagusa kunako broda!
Sina uhakika hata kwa stail hii ya ulokole wa gafla km utatoka!
Kubali uzaliwe upya!

Amen, ubarikiwe sana, Bishanga kagusa upande wake anavyo fanya
Ubarikiwe sana
 
Aliyeanzisha hii thread leo namkubali mana hata wanaume hampingi, mana wangeshachachamaa sana humu ndani
kuna aliyepinga na kudai mi mpumbavu,poa lakini,penye ukweli uongo hujitenga.
 
Kwa jina la Yesu na sikimbii nipo sana hapa, mi nimekataa hayo mambo mimi sifanyi labda umuulize Bujibuji


Acha kuchezea hiyo kabisa wewe saa hizi uko counter ya juu na unataja yesu wapi na wapi??
 
Halleluya broda!
Leo unalo,
Raha moja DA anasubiri ruhusa yako atumwagie mambo yako!

Sitishiki sitikisiki na mm nina chama changu nacho kitetea sipo chama cha kina Bishanga na wengine walio kubali
 
Amen, ubarikiwe sana, Bishanga kagusa upande wake anavyo fanya
Ubarikiwe sana
Amina broda,
Hiii stail ungeanza kuitumia siku nyingi na kuyaishi mafundisho yake,
Wala huu uzi usingekugusa kwa kiasi hiki,
Ubarikiwe sana broda,
Ila ongea na DA vizuri anaweza haribu hali ya hewa na upako ukatoweka!
 
Dena bana,siamini kama unafikiri maji na mafuta ya taa ni kitu kimoja kisa yanafafana rangi,umeingia choo cha kiume!
 
Acha kuchezea hiyo kabisa wewe saa hizi uko counter ya juu na unataja yesu wapi na wapi??

Umeanza kuchakachua sredi sasa
Nishafika Tip Top nipo na wifi yako uje umuulize kama hayo aliyo andika Bishanga nayafanya.
 
Ndiyo mpwa, komaa nao, nakuaminia jibaba, utatuwakilisha vizuri kwenye huu uzi.
mimi nasepa

unasepa sio? Kloro kweli unampenda Fidel?kwa nini unamwacha peke yake kwenye tanuru?
 
Back
Top Bottom