Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mkuu yapo sana
Ni vile kila nyumba ina siri zake ila wanawake zetu wangeamua kufunguka wakasema kinachoendelea ndani ya nyumba zao mkuu tungeficha sura zetu
haya yanatokea sana miongoni mwetu sisi wanaume na tunayafanya mengi
Kama ni mpenzi wa mpira kuko tayari kukaa bar mpaka saa saba za usiku kisa kuna mechi ya Man U na Man City au mechi ya kirafiki kati ya Hispania na Uholanzi
Mkuu haya yanatokea sana
Wengine wamadiriki hata kuleta hawara yake nyumbani anakokaa na familia yake kisa amelewa huko hajui hata anafanya nini
Au amewekeza sana kwa hawara hata familia haikumbuki

Hapa Rocky angekuwepo mama Tuli angetusibitishia kama kweli wewe moja wapo huwa unalifanya kama la kuangalia mipira unang'atwa na mbu mwenzio umemwacha kitandani anagalagala peke yake, Kuleta hawala nyumbani nayo ni wanaume suruali hao kaishia hela ya guest kabakiwa na ya kuhonga ndo maana anaamua kupeleka hawara nyumbani.
 
Mi shabiki wa Yanga toka lini Yanga na Simba wakacheza usiku wa manane? Huko majuu mm sipo

I miss the following katika huu Uzi...

Darling Kaizer,
Darling Shem ODM,
In-law bro Finest
Shem zangu MTM, RR na Kimey,
kakangu Bigirita
na fellow members kama Teamo na Baba_Enock...

Siui hawajaona huu uzi..... lolz

Asante Fidel kwa kupita hapa.... ila nimeishiwa nguvu kukuta hapa unazungumzia mpira (au sababu sijasoma page za nyuma)
 
We koma mwanaume rijali hadeki bana, anakomaa mwenyewe.
Wanaume wabana pua ndo wanao deka
Kumbuka jogoo hafi kwa utitiri
Haaa haaaa,nimecheaje kwa laudi spika!
Hujaumwa vizuri my broda!
Yani kwa hili hata km ukibisha najua ukweli unao moyoni!
 
Hapa Rocky angekuwepo mama Tuli angetusibitishia kama kweli wewe moja wapo huwa unalifanya kama la kuangalia mipira unang'atwa na mbu mwenzio umemwacha kitandani anagalagala peke yake, Kuleta hawala nyumbani nayo ni wanaume suruali hao kaishia hela ya guest kabakiwa na ya kuhonga ndo maana anaamua kupeleka hawara nyumbani.

Mkuu kuna wanaume ambao akili zao sijui wanaziacha bar wakishakunywa
maana vituko wanavyofanya kwa wake zao havielezeki
Kuna familia baba akiingia nyumbani watoto na mke ni kimya hakuna kuangalia TV wala kuongea
Kuna nyingine hakuna kula mpaka baba arudi so hata kama atarudi usiku wa manane ni sawa tuu watoto wakae na njaa
Kuna wengine hakuna kula mpaka baba amalize kula na ndo watoto na mke wanaingia mezani
Kuna wengine ile shughuli ya mke na mume inafanywa kwa amri utafikiri ni askari yuko kwenye gwaride
Mkuu yako mengi sana
Tukubaliane na ukweli kuwa sisi wanaume kuna mapungufu yetu mengi
 
Hebu fikiria:
1.Uko ndani ya ndoa,mwaka wa kumi sasa na hamjapata mtoto,mkeo hospitali zote kamaliza na anaambiwa hana tatizo,kila akikwambia na wewe ukapimwe hutaki unajidai huna tatizo,ndo nini sasa hiyo? Kwa nini usipimwe mkajaribu IVF?
2.Ukienda Rose Garden we ndo Reginald Mengi kazi kuzungusha raundi huku ukijidai kusema...'uza nyumba utunze heshima bar'....asubuhi mwanao akikwambia 'baba shati la shule limechanika'..unakuwa mkaaaaaali,hovyooooo!
3.Umetoka zako kwenye mipombe,ni saa saba za usiku ,mama siku nzima mihangaiko kachoka we ukifika kitandani na ny....zako unamrukia tu bila hata maandalizi....ku ku...ku .....aaaaaaaagh....halafu huyo unakoroma,yaani mpaka mkeo anaona ka alikuwa anaota hivi,jamani hiyo sio baiskeli ya gym huyo ni binadamu ati.
4. Mnawaita beki tatu ma haus geli hao,juu ya nini unajipoza kwa mtumishi wa ndani? huoni unamdhalilisha mwenzio? Hivi ukibambwa utasema nini?
5.Ulipompenda ulimkuta ana kakazi kake,we na miwivu yako hutaki afanye kazi unamwachisha,hivi una uwezo wa kumpatia mahitaji yake yote yakiwemo matunzo ya wazazi na ndugu zake? Halafu kwa nini utake mwenzio kazi yake iwe kusafisha makochi na kuangalia plasma wakati wewe uko bize unachangamsha mwili na akili? Kufanya kazi au biashara is more than kuingiza kipato ,na ku interract na watu pia is healthy.
6.Mkeo akikusoea unaanza kumtangaza kwa watu...'mkeo wangu sijui yukoje....mara hivi mara vile.....huoni unajiaibisha mwenyewe?
7.Na hizo nyumba ndogo hizo,ukienda huko kazi kumsimanga mkeo,matokeo yake siku mkeo akigombana na hawara yako anashangaa matusi anayovurumishiwa...we nae mwanamke wewe...si kikojozi wewe....du toba yarabi!
8.Ukiumwa kidogo tu full madeko yaani unajitia hata kidole huwezi kukisogeza,mwenzio serious tumbo linamsumbua,hata kusema ngoja nikae ndani nimuuguze mwenzangu ndo kwaaaanza unawahi kaunta Jackies,sana sana unampigia simu dada yako akamwangalie wifi,inahuu kwani yeye ndo kamwoa,akilalamika mkeo unamsimanga eti anadeka.
9.Nje utembee sasa ndo hata kuzaa uzae kabisa huko? maduka zinakouzwa condoms huyajui? au utasingizia ilikupasukia,na wa pili nayo ilipasuka? acheni hizo!
10.Huko kwenye mabaa na huo upuuzi unaoongelewa huko ....eh chapati shurti ikaangwe pande zote...sijui nini sijui nini...unarudi nyumbani na mipombe yako unataka ujaribu upuuzi wako kwa mkeo,peleka huko ujinga wako.
11.Umelala nje asubuhi unajitia kurudi nyumbani umefungwa pingu ili mke aone ulilala kituoni,mambo ya 1947 hayo,kinamama hawadanyiki na hizo siku hizi!
12.Mpira ..mpira...mpira....hamchoki? wikiendi nzima uko bar unaangalia mpira ,jumamosi man siti vs man yu,jumapili aseno vs chelz, weekdays kazi,hivi lini unakaa na kukagua kazi za watoto za shule? lini unakaa na mke na wanao na ku chat nao? mpira ndo utakaokuzika?
13. Ubinafsi wako huo,ukikaa sebuleni remote control haiko mbali na wewe unabadilisha tu chanel,si umuulize mkeo au wanao kama nao kuna kitu wanataka kuangalia? kuna mtu aliwahi kusema eti wanaume huona remote control kama ni extension ya mb....zao.
14.Sijui ndo umepiga wapi kabomu kako cha kwanza unamnunulia hawara yako ka vitz wakati mkeo anapanda daladala,kha!
15.Mke akilalamika mitabia yako mibovu unaanza..'kwani unataka nini..gari nimekupa..zaabu nakununulia...frigi imejaa chakula...kelele za nini? kwani kwao hakuacha chakula? yeye alikufuata wewe ati na sio plasma yako.
.......itaendelea....leo wababa wa humu ndani nakula nao sahani moja!

neno baa limetawala sana.
behaviourists tumeshapata jibu.
 
Mi shabiki wa Yanga toka lini Yanga na Simba wakacheza usiku wa manane? Huko majuu mm sipo
hata yanga na simba, unaisha saa 12 + mifoleni(kama unaishi dar) halafu tena ukisema upitie sehemu kidogo kujipongeza au kuondoa stress kama umechezea kipigo.. unategemea hom utafika saa ngapi?
 
I miss the following katika huu Uzi...

Darling Kaizer,
Darling Shem ODM,
In-law bro Finest
Shem zangu MTM, RR na Kimey,
kakangu Bigirita
na fellow members kama Teamo na Baba_Enock...

Siui hawajaona huu uzi..... lolz

Asante Fidel kwa kupita hapa.... ila nimeishiwa nguvu kukuta hapa unazungumzia mpira (au sababu sijasoma page za nyuma)

AshaDii naona Fidel anapinga ila kuna ukweli unamuuma rohoni mwake wa kile anachokifanya
Afadhali Rejao kasema wazi karibu 10 yanamhusu
Na mimi sikatai yako mengi yananihusu hapo ila najaribu sana kuyakwepa na kuwa baba bora na mume bora kwa familia yangu
Kama nina mapungufu ni yale ya kawaida ambayo kibinadam hayawezi kuacha kuwepo
 
I miss the following katika huu Uzi...

Darling Kaizer,
Darling Shem ODM,
In-law bro Finest
Shem zangu MTM, RR na Kimey,
kakangu Bigirita
na fellow members kama Teamo na Baba_Enock...

Siui hawajaona huu uzi..... lolz

Asante Fidel kwa kupita hapa.... ila nimeishiwa nguvu kukuta hapa unazungumzia mpira (au sababu sijasoma page za nyuma)

Kwa kifupi sister mimi nimekataa yote hayo juu na siwezi yafanya kwa mpenzi wangu.
Wakati sikuwa online mwenzangu aliniomba niende kumsaidia kusafisha geto ndo kazi kubwa niliyo kuwa naifanya huku kwa Mtogole mvua ikinyesha tu maji yanajaa ndani so nilikuwa namsaidia mwenzangu kuweka sawa pa kulala.
 
hata yanga na simba, unaisha saa 12 + mifoleni(kama unaishi dar) halafu tena ukisema upitie sehemu kidogo kujipongeza au kuondoa stress kama umechezea kipigo.. unategemea hom utafika saa ngapi?

Kwa kawaida mimi natumia usafiri wa tuktuk kwa hiyo toka Temeke mpaka maskani ni dk.30 napo nimechelewa uzuri ni kwamba siku za mechi hiyo shemeji yako yeye ni Simba na huwa tunaenda pamoja na tunakaa pamoja ishu mmoja akifungwa dahhh gemu ya juzi nilinyimwa unyumba hivi hivi kisa Mwape kapiga gori moja alilia sana anasema bora angepiga gori mbili au tatu moja linauma sana.
 
Mkuu kuna wanaume ambao akili zao sijui wanaziacha bar wakishakunywa
maana vituko wanavyofanya kwa wake zao havielezeki
Kuna familia baba akiingia nyumbani watoto na mke ni kimya hakuna kuangalia TV wala kuongea
Kuna nyingine hakuna kula mpaka baba arudi so hata kama atarudi usiku wa manane ni sawa tuu watoto wakae na njaa
Kuna wengine hakuna kula mpaka baba amalize kula na ndo watoto na mke wanaingia mezani
Kuna wengine ile shughuli ya mke na mume inafanywa kwa amri utafikiri ni askari yuko kwenye gwaride
Mkuu yako mengi sana
Tukubaliane na ukweli kuwa sisi wanaume kuna mapungufu yetu mengi

Mi nakataa haya mapungufu mengi yapo kwako, mimi na mapungufu yangu lakini hayapo hapo juu aliyo orodhesha Bishanga
 
Haaa haaaa,nimecheaje kwa laudi spika!
Hujaumwa vizuri my broda!
Yani kwa hili hata km ukibisha najua ukweli unao moyoni!

Sasa wewe unakataa??? mimi hata niumwaje nakufa kijerumani na tai shingoni ni deke wifi yako aanze kunihisi vibaya na sasa anaelewa Cameroon anacho kitaka kwa wanaume aaaah hapana najikongoja mwenyewe bila msaada wowote.
 
He he he he he he watu pipoooooooooooooooooo

Bishanga nimekupa Reputation kwa huu uzi.

Wanaume leo naniliu hazisimamia kabisa ha ha ha ha

Nimechekaje mie??!! Mweeeehhhh

Hata sijui nilikuwa wapi mpaka nikachelewa thread
imefika mbali hivi dah..............

Leo umewashika nanihino zao ha ha ha ha hakuna
kubisha

Asante sana Like ingeruhusiwa zaidi ya mara moja naona
ningekugongea 100000
 
Mi nakataa haya mapungufu mengi yapo kwako, mimi na mapungufu yangu lakini hayapo hapo juu aliyo orodhesha Bishanga

haya mkuu siwezi kupingana na ukweli wako unaousimamia
na kama huna mapungufu hayo ubarikiwe sana mkuu na naamini ndoa yako itakuwa mojawapo ya ndoa bora
 
nimeshamshtukia Fidel80...sijui anania gani na wewe!! anataka umuone mwemaaa!!
Haaa haaa haaaa!
Wapi fidel broda!
Si unajua tena ukweli unauma!
Yaliyoko kwenye huu uzi machungu kumeza!
 
haya mkuu siwezi kupingana na ukweli wako unaousimamia
na kama huna mapungufu hayo ubarikiwe sana mkuu na naamini ndoa yako itakuwa mojawapo ya ndoa bora

Ili upigane na hayo yote mwamini Yesu au mwamini Mungu au mwamini Allah utaweza na utayashinda majaribu.
Mi nimejiweka sana kwa Mungu ndo maana nimekuwa rijali na ananiepushia kash kash hizo kwa mwenzangu
 
Back
Top Bottom