Ndiyo mpwa, komaa nao, nakuaminia jibaba, utatuwakilisha vizuri kwenye huu uzi.
mimi nasepa
Ndiyo mpwa, komaa nao, nakuaminia jibaba, utatuwakilisha vizuri kwenye huu uzi.
mimi nasepa
Duuuh.....I wish aingie apa leo
Haaaa haaa broda,unamjua DA?
Kasema uzi mzima unakuhusu km unabisha atamwaga mambo hadharani lol!
Hapo napo vp mkuu?
Mi siwezi kukubali huo uzi haunihusu kamwe kwa nini haunihusu mm mwanaume rijali na ninamwamini Mungu
Khaaaaa swty!!!!Ndiyo mpwa, komaa nao, nakuaminia jibaba, utatuwakilisha vizuri kwenye huu uzi.
mimi nasepa
Huyu anataka promo tu D.A hamna kitu kama hicho, niamini na nielewe mwanaume makini kama mm hawezi fanya upupu huo hapo juu sawa sawa?
urijali unahusiana nini na kuhodhi remote control sebuleni au kushinda vijiweni unaangalia ManU?
Bashaija hapo sitii neno hii kweli,wanaume sisi wakati mwingine hovyoooooo!!
msaidie nduguyo Fidel,nikiongea mimi ananiambia mpumbavu.Mkuu yapo sana
Ni vile kila nyumba ina siri zake ila wanawake zetu wangeamua kufunguka wakasema kinachoendelea ndani ya nyumba zao mkuu tungeficha sura zetu
haya yanatokea sana miongoni mwetu sisi wanaume na tunayafanya mengi
Kama ni mpenzi wa mpira kuko tayari kukaa bar mpaka saa saba za usiku kisa kuna mechi ya Man U na Man City au mechi ya kirafiki kati ya Hispania na Uholanzi
Mkuu haya yanatokea sana
Wengine wamadiriki hata kuleta hawara yake nyumbani anakokaa na familia yake kisa amelewa huko hajui hata anafanya nini
Au amewekeza sana kwa hawara hata familia haikumbuki
Hata wewe umekimbia siamini macho yangu kha??
Mada ipo Juu ya umri wangu.
Mwanaume rijali ndo yupi?? Wewe halafu umesemaje hapo kwenye red hebu rudia???
nshaanza kuona kuna watu wanataka kuchapana makonde humu .............Bishanga wapi utulize pepo mchafu😛hoto:
Naona kabadili stail yuko kimungu sasa lol!Anaawaambia nyie msomjua vizuri
We mwache alete ubishi wake nitamwaga
Mchele kwenye kuku wengi asomeke vizuri