Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Sitishiki sitikisiki na mm nina chama changu nacho kitetea sipo chama cha kina Bishanga na wengine walio kubali
Chama cha bishanga kina wanachama hai ndio maana wako activu,
Wanatetea chama chao live bila woga,
Chama chako hakina wafuasi au?
Mbona uko peke yako?
Au ndio unataka kuanzisha hicho chama?
 
Umeanza kuchakachua sredi sasa
Nishafika Tip Top nipo na wifi yako uje umuulize kama hayo aliyo andika Bishanga nayafanya.

Sasa uko na wifi yangu yupi???? Nitajie wote namba za simu zao ninazo
 
Kweli leo ni kiboko,
Sijui watajificha wapi hao wanaume walio na mikosa kibaooo,
Wataisoma namba.
 
Washaisoma vizuri leo wamewezwa na mwanaume mwenzao
maana ingekuwa ni mwanamke tungeshushuliwa na kuambiwa tunajipendelea
 
Chama cha bishanga kina wanachama hai ndio maana wako activu,
Wanatetea chama chao live bila woga,
Chama chako hakina wafuasi au?
Mbona uko peke yako?
Au ndio unataka kuanzisha hicho chama?

Chama changu kina wafuasi sasa hivi wamewahi majumbani kupikia watoto wao pindi wake zao watakapo fika wakute kila kitu safi, umeona chama chetu kilivyo kizuri tunajari sana wapenzi wetu na kuwathamini.
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.
 
Kweli leo ni kiboko,
Sijui watajificha wapi hao wanaume walio na mikosa kibaooo,
Wataisoma namba.

Mimi hapa natafuta mbinu ya kumfikishia mhusika huu ujumbe leoleo
Hata kama hajapita hapa lazma aupate! Hata tu usiku niingie jf kwenye hii topic afu nimtegeshee hadi asome

Thanx Bro Bishanga
 
Amekataa anang'ang'ania msimamo wake
hataki kukubali ukweli wake kuwa ana mapungufu
yeye anaona yuko right kwa kila akifanyacho
kuna siku atafunuliwa ukweli wa mapungufu yake ,itamsaidia ajirekebishe.
 
Chama changu kina wafuasi sasa hivi wamewahi majumbani kupikia watoto wao pindi wake zao watakapo fika wakute kila kitu safi, umeona chama chetu kilivyo kizuri tunajari sana wapenzi wetu na kuwathamini.
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.

Usilitaje bure jina la Mungu wako
 
Mimi hapa natafuta mbinu ya kumfikishia mhusika huu ujumbe leoleo
Hata kama hajapita hapa lazma aupate! Hata tu usiku niingie jf kwenye hii topic afu nimtegeshee hadi asome

Thanx Bro Bishanga

Angalia usije ukaachike ujumbe ukakuponza bure
 
Chama changu kina wafuasi sasa hivi wamewahi majumbani kupikia watoto wao pindi wake zao watakapo fika wakute kila kitu safi, umeona chama chetu kilivyo kizuri tunajari sana wapenzi wetu na kuwathamini.
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.
Shallom broda,
Inakuwaje wasitie neno humu wakati uzi upo tangu asubuhi?
Mbona utetezi wako unanipa mashaka mch.mtarajiwa?
 
Mimi hapa natafuta mbinu ya kumfikishia mhusika huu ujumbe leoleo
Hata kama hajapita hapa lazma aupate! Hata tu usiku niingie jf kwenye hii topic afu nimtegeshee hadi asome

Thanx Bro Bishanga

Mwenzio nimecopy na kupaste nikamtumia kwa email
Nyumbani anaweza kujifanya hajaona na karatasi ina mwanga sana
 
Shallom broda,
Inakuwaje wasitie neno humu wakati uzi upo tangu asubuhi?
Mbona utetezi wako unanipa mashaka mch.mtarajiwa?

Angekuwepo hapa Mchungaji Masanilo angeelewesha vizuri hili somo la leo na akina mama wote mnao frahi kwa hili somo fraha ingeingia shubiri ngoja nimtafute aje asaidie kuwaelewesha wenye mioyo migumu kama wazee wenu walipo kuwa kule Masa jangwani
 
Back
Top Bottom