Mie namtafuta mmoja ambaye hana kati ya hayo yalioorodheshwa................tunaruhusiwa kuongeza mengine.
hahahahahaaaaa haya bana,ningesema kitu lakini ngoja niache........
Mkuu sikilizia malalamiko ya kina mama walio wengi wenye ndoa zao,malalamiko yao ni haya haya pamoja na mengi ambayo sijayataja. Hapa nazungumzia uhalisia wa maisha yetu ya kila siku na kile kinachozungumziwa na kina mama wengi.Sasa wewe umejuisha wanaume wote, ilihali wa kawako tu ndio anakufanyia hayo. Umesahua kuwa binadamu wanatofautiana kutoka mmoja kwenda mwingine. Wengine akili ya kuambiawa anachanganya na yake kuacha ushauri mbaya pale pale. Sio mianaume yote, mingine ina malezi mazuri, inajali.
Hili lisredi limetuzalilisha sana sisi vichwa vya familia.
Kulaaleki huyu aliye hack password ya bishanga............nikimkamaaata!
Ngoja niwahi kuangalia mpira.
We acha tu.....babu leo mmeshikwa pabaya...kulalaleki
Bishanga banaa......ila hiyo namba tatu (3) naona inakuhusu sana
Hili lisredi limetuzalilisha sana sisi vichwa vya familia.
Kulaaleki huyu aliye hack password ya bishanga............nikimkamaaata!
Ngoja niwahi kuangalia mpira.