Ulitaka asome siku 1?Uliyoyaeleza wenzako wa kudownload hela wanayaelezaga Mara nyingi
Mnajaza sever za jf
Miaka mitatu biashara unaisoma biashara ?
Ulitaka asome siku 1?Uliyoyaeleza wenzako wa kudownload hela wanayaelezaga Mara nyingi
Mnajaza sever za jf
Miaka mitatu biashara unaisoma biashara ?
Ww uza bamia tu ......the most biashara naiogopa ni hii,after drugs na siasa...
Na hii biashara ili uielewe lazima ikutie kidole tak.oniUliyoyaeleza wenzako wa kudownload hela wanayaelezaga Mara nyingi
Mnajaza sever za jf
Miaka mitatu biashara unaisoma biashara ?
Hujaona alama ya kuuliza au umekurupuka?Ulitaka asome siku 1?
Kulikuwa na haja gani ya kutukana?Na hii biashara ili uielewe lazima ikutie kidole tak.oni
HahahHaya Sasa Kumekucha!!! Amkeni
Atalia Mtu Sasa Hivi
We jamaa bana, kuna hii na ile kwenye kila listi ya matajiri Tanzania bila kumuweka Ontario hiyo listi ni batili.Ontario akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini tena katikat ya bahari
Sio 3000 tu, inaweza ikatumbukia yote 20000 na usipate hata pa kwenda kushitaki, utadata!Ukiwa na account ya usd 20000 unaweza ukatengeneza faida ya usd 3000 within a day depending a pair volatility and experience. Lakini pia unaweza kutengeneza loss ya usd 3000 hiyo hiyo. Hapo ndio fx utaiona mavi.
Uko sahihi 100%Kwa msingi huo, hivi kuna tofauti ya msingi kati ya Forex na Betting katika kuvuna na kuliwa pesa? Maana kote huko naona Odds, analysis, kuvuna na kuliwa.
Pamoja na ujanja wangu wote wa kimaisha, mpaka leo hii sijawahi kucheza bahati nasibu, Kamari, Kubet wala Forex. Hivyo vitu ninaviogopa kama ukoma. Yaani ni bora nikalime bangi (maana kwetu ni mboga ya asili) au mirungi, maana najua nitavuna tu!
Nimeongea kwa machungu sorry kama nitakuwa nimekuembaracy but sikumaanisha tusi wala kukutukana ww...Kulikuwa na haja gani ya kutukana?
Hiyo EURUSD ni pair kwenye Forex. Nimetolea kama mfano.Hizi ndo nyuzi sasa..
Mkuu ahsante sana ila jana ka EURUSD Kali chachamaa..😅
Nikawahi kukimbia ila walio buy walifaidika
Naona unajigamba kwa ukongwe wako wa miaka 13. Ila usitudharau na sisi juniors, kumbuka kwenye hii biashara 'numbers' ndo zina matter, utakuwa umenielewa.Hujui kitu ww bado mweupe sana....!!?
watu tupo kwenye fx mwaka wa 13
mm sio bingwa na wala sijui bado hiyo fx
but my strategy ni kufanya analysis na ku-control losses cheza na lot size.....
kwa mfano kama una account ya usd 5000
cheza na lot size ya 0.10,0.20, na 0.30 ukiona loss imeenda beyond 150usd close hiyo trade......
then angalia opportunity zingine.....
Sema ulichoona mkuu, hapa ni jukwaa huru kabisa.Nimeona hivyo pia!
Nani atapigwa mkuu? unadhani nimeleta huu uzi kuwatapeli watu?Haya Sasa Kumekucha!!! Amkeni
Atalia Mtu Sasa Hivi
Sielewi una maanisha nini mkuu, kama una hoja itoe hapa tujadili.Ontario akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini tena katikat ya bahari
Kwani JF walishalalamika kuhusu servers zao kujaa?Uliyoyaeleza wenzako wa kudownload hela wanayaelezaga Mara nyingi
Mnajaza sever za jf
Miaka mitatu biashara unaisoma biashara ?