Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,115
- 2,849
Yaan huyo Jamaa akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini Tena katikat ya bahari..Sielewi una maanisha nini mkuu, kama una hoja itoe hapa tujadili.
Great thinkers hatuongei kwa mafumbo. Toa hoja yako, tuione tuijadili.