Miaka mitatu ya jasho kwenye Forex na ukweli mchungu niliojifunza, still 'GAME ON'!

Niseme tu ukweli, upepo wa Forex ulivoingia Tanzania na mimi sikuwa nyuma. Nilijitoa na mimi kimasomaso kuisaka fursa.
Ni ukweli ambao uko wazi siku nyingi, labda ulikuwa hujaujua tu. Ni hivi: forex ni kama kamari nyingine zote eg bahati nasibu, betting nk. Kuna wanaopata, japo wachache, na wengi ndiyo wanaopoteza. Maelezo yooote uliyotoa ni mambo ambayo mcheza kamari yeyote anatakiwa kuzingatia.
 
Kwa msingi huo, hivi kuna tofauti ya msingi kati ya Forex na Betting katika kuvuna na kuliwa pesa? Maana kote huko naona Odds, analysis, kuvuna na kuliwa.

Pamoja na ujanja wangu wote wa kimaisha, mpaka leo hii sijawahi kucheza bahati nasibu, Kamari, Kubet wala Forex. Hivyo vitu ninaviogopa kama ukoma. Yaani ni bora nikalime bangi (maana kwetu ni mboga ya asili) au mirungi, maana najua nitavuna tu!
Mkuu hivi bangi na mirungi mvua isiponyesha vinastawi?

Kwa mfano ukilima halafu watu wakakuchoma, polisi wakaja wakafyeka shamba lote na wewe kutiwa ndani, hiyo katika biashara inaitwaje?

Tuseme umefanikiwa kuvuna, halafu katika harakati za kutafuta soko ukakamatwa, ukapigwa na faini juu , hii kwenye biashara tunaiitaje?
 
Kwa msingi huo, hivi kuna tofauti ya msingi kati ya Forex na Betting katika kuvuna na kuliwa pesa? Maana kote huko naona Odds, analysis, kuvuna na kuliwa.

Pamoja na ujanja wangu wote wa kimaisha, mpaka leo hii sijawahi kucheza bahati nasibu, Kamari, Kubet wala Forex. Hivyo vitu ninaviogopa kama ukoma. Yaani ni bora nikalime bangi (maana kwetu ni mboga ya asili) au mirungi, maana najua nitavuna tu!
Jambo usilolijua...........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani atapigwa mkuu? unadhani nimeleta huu uzi kuwatapeli watu?

Just refer point namba tatu na namba mbili 'Self learning is the key'

Tujaribu wakati mwingine kuwa positive kidogo. Kama upo hapa JF na negative mind utakuwa discouraged sana maana utapinga kila kitu, vitu vingine ambavyo hata havikuhitaji kupinga.

Great thinkers huwa hatupingi, bali tunatoa mawazo mbadala. Au kama unapinga, pinga kwa kuleta hoja.
Boss next time hii gemu usililete tena hapa JF

Jamaa hawawezi kujielewa hata chembe unajisumbua tu

Hii kitu fanya huko underground huku lugha unayotumia Ni ngumu kueleweka

Ila Mimi nimekuelewa

Nimehamia kwenye synthetic indices na stock indexes Kama Dow Jones,S&P 500 ,Nikkei,Dax na Nasdaq ziko very volatility

Tiishie hapa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ontario akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini tena katikat ya bahari
Hahahaha yupo anahangaika na YouTube chanel uko now mara kuna tittle anasema Sijui Jinsi alivyopata Million 100 akiwa na miaka 22, Jamaa alikusanya kijiji humu at some point alifungua watu ila pia smart mana mtu anaekupanga ukajaa jua kakuzidi ata uwezo wa kufikiri
 
Ni kweli kabisa huyu chalii alikusanya kijiji wakiwemo wazee Babu, Bibi, Baba na Mama zetu ambao hawana A wala Ba kwenye mambo ya online financial market na hakuthubutu kuwaita angalau chemba awafafanulie vizuri wajipime kama wanaweza au hawawezi na mwisho wa siku wakapoteza hela zao walizopigania miaka mingi

Angalau vijana wakipoteza hata kutapeliwa inakuwa sehemu ya somo, ila pension ya mzee, hii ni dhambi kubwa

Pamoja na yote haya, jamaa namkubali kwa kitu kimoja tu ambacho ni kikubwa, UJASIRI WA KUTHUBUTU!

Chalii yule ana uthubutu ambao vijana wengi hatuna na bila uthubutu mafanikio ni ndoto.

Fikiria kajamaa kalikodisha wasaouth, kakakodisha Jangid Plaza ghorofani, kakaanza kuzunguka na mikoni, mkoa wa kwanza, wa pili, watatu halafu kakaandaa batch ya kwanza, ya pili, ya tatu nk....

Akaenda FNB akawapiga kiswahili wakaingia king! Watu baada ya training wakamiminika kwenda kufungua account, waka deposit $100 nakuendelea huku bank wanatazama tu ongezeko la ghafla la wateja waliopelekwa na Ontario

Watu baada ya $mia mia zao kutozaa matunda wakatelekeza account zao za FNB, baada ya mwaka zikawa domant! Mara ghafla account zilizofunguliwa ghafla zikawa domant ghafla!

Huyu jamaa namkubali hapo tu kwenye ujasiri

Hata kina Moo sio kwamba katika biashara zao hamna mahali walifanya dhuluma, hii michezo ipo.

Kajamaa kalijikusanyia mamilioni kibwelele kabisa halafu wakacheza igizo na washikaji zake wasaouth tukajua story itaishia pale. Cha ajabu, hadi leo bado ana kijiji huko instagram na amekihamishia Youtube
 
Ndio mana nimemuita Jamaa ni Smart na exposure aliyonayo ni Kubwa.
 
Back
Top Bottom