Miaka kumi tangu kuhitimu shahada ya kwanza

Miaka kumi tangu kuhitimu shahada ya kwanza

Kibongo bongo umetusua but in reality umechelewa......!!?
miaka yote kumi umepata hivyo tu daah.....
what a westage of time.....
waungwana msinielewe vibaya ni mtazamo tu
Tegemea kupewa Vijembe mzee wangu mm sijaoa chakujifunza hapo naona mtu anajisifia mwanzo mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu kuhitimu degree ya kwanza huu ni mwaka wa kumi sasa na haya ndiyo nimeyafanikisha mpaka Leo hii.

Nimepata mke na watoto wawili

Nimeongeza elimu

Nimejenga jijini DSM nyumba ya familia iliyogharimu m75, kiwanja na ujenzi.

Nina kiwanja kimoja sqm 1250, kiligharimu m15

Nina usafiri kurahisisha mizunguko/uligharimu m13.

Nimeajiriwa serikalini

Nina kibanda cha mobile money kinaniiingizia kilo6 hivi.

Nina mikopo benki


Matamanio yangu zaidi
Kuwa na biashara zangu binafsi/kujiajiri/kuajiri ndani ya miaka 5

Kuongeza nyumba 2-3 ndani ya miaka 10.

Kumfungulia mzee wangu biashara ya kumuingizia kipato cha kila siku. Ndani ya miaka 2.

Mungu anipe uhai kutimiza haya yote.

Maisha ni matamanio, mipango, utafutaji na utekelezaji.
Hongera sana kamanda,Kwa mafanikio uliyofikia,Mungu akujalie kufikia ndoto zako.All the best.
 
Sema umetutambia sana mzee, upo kama mshakaji wangu mmoja yupo wizara ya afya siku tunaonana nae akawa anaongelea mafanikio aliyopata tu, me hapo nna buku ya boda tu.
Ulimuuliza au yeye alianza kukuambia mafanikio yake pasipo kumuuliza?
 
Back
Top Bottom