Miaka kumi tangu kuhitimu shahada ya kwanza

Tangu kuhitimu degree ya kwanza huu ni mwaka wa kumi sasa na haya ndiyo nimeyafanikisha mpaka Leo hii.

Nimepata mke na watoto wawili

Nimeongeza elimu

Nimejenga jijini DSM nyumba ya familia iliyogharimu m75, kiwanja na ujenzi.

Nina kiwanja kimoja sqm 1250, kiligharimu m15

Nina usafiri kurahisisha mizunguko/uligharimu m13.

Nimeajiriwa serikalini

Nina kibanda cha mobile money kinaniiingizia kilo6 hivi.

Nina mikopo benki

Matamanio yangu zaidi
Kuwa na biashara zangu binafsi/kujiajiri/kuajiri ndani ya miaka 5

Kuongeza nyumba 2-3 ndani ya miaka 10.

Kumfungulia mzee wangu biashara ya kumuingizia kipato cha kila siku. Ndani ya miaka 2.

Mungu anipe uhai kutimiza haya yote.

Maisha ni matamanio, mipango, utafutaji na utekelezaji.

Hongera sana mkuu.Mungu akufanikishie ndoto zako mkuu.Akuepushe na majanga yote ya kukurudisha nyuma na kukukwamisha.
 
Tunashukuru kwa ushuhuda huo..hongera sana..ila ndugu yetu hebu dadavua walau kidogo namna ulivopita hats ukafika hapo ili kusudi hata wengine waliopo kwenye ajira wanawaza kuwa inspired
 
Mkuu, hayo ni mafanikio yako peke ako au umepiga mande na mke wako.. If so, mafanikio yako as an individual, ni nusu ya hayo.
We jamaa mtata sana. Kweli kuna probability kuwa no mafanikio ya familia na siyo yake as individual.
 
Tangu kuhitimu degree ya kwanza huu ni mwaka wa kumi sasa na haya ndiyo nimeyafanikisha mpaka Leo hii.

Nimepata mke na watoto wawili

Nimeongeza elimu

Nimejenga jijini DSM nyumba ya familia iliyogharimu m75, kiwanja na ujenzi.

Nina kiwanja kimoja sqm 1250, kiligharimu m15

Nina usafiri kurahisisha mizunguko/uligharimu m13.

Nimeajiriwa serikalini

Nina kibanda cha mobile money kinaniiingizia kilo6 hivi.

Nina mikopo benki

Matamanio yangu zaidi
Kuwa na biashara zangu binafsi/kujiajiri/kuajiri ndani ya miaka 5

Kuongeza nyumba 2-3 ndani ya miaka 10.

Kumfungulia mzee wangu biashara ya kumuingizia kipato cha kila siku. Ndani ya miaka 2.

Mungu anipe uhai kutimiza haya yote.

Maisha ni matamanio, mipango, utafutaji na utekelezaji.
Usisahau kujenga kule kwenu MAGO sio mnaacha magofuu tu na vizee hata chai haviijui
 
Sema umetutambia sana mzee, upo kama mshakaji wangu mmoja yupo wizara ya afya siku tunaonana nae akawa anaongelea mafanikio aliyopata tu, me hapo nna buku ya boda tu.
Dah!.. haya maisha haya...Mungu atusaidie sana.
 
Na wenzako waliomaliza degree zao 2015 mpk sasa wana miaka 5 mtaani na serikali sikivu ya JPM haina mpango nao wowote zaidi ya kujenga miradi tu.

So kwa sasa wana 5 years of experience ya kukaa kitaa na ku-bet ma bus yatakayowahi kufika stand.
Kwaio ukimaliza chuo unatakiwa uajiriwe na serikali?
 
Tangu kuhitimu degree ya kwanza huu ni mwaka wa kumi sasa na haya ndiyo nimeyafanikisha mpaka Leo hii.

Nimepata mke na watoto wawili

Nimeongeza elimu

Nimejenga jijini DSM nyumba ya familia iliyogharimu m75, kiwanja na ujenzi.

Nina kiwanja kimoja sqm 1250, kiligharimu m15

Nina usafiri kurahisisha mizunguko/uligharimu m13.

Nimeajiriwa serikalini

Nina kibanda cha mobile money kinaniiingizia kilo6 hivi.

Nina mikopo benki

Matamanio yangu zaidi
Kuwa na biashara zangu binafsi/kujiajiri/kuajiri ndani ya miaka 5

Kuongeza nyumba 2-3 ndani ya miaka 10.

Kumfungulia mzee wangu biashara ya kumuingizia kipato cha kila siku. Ndani ya miaka 2.

Mungu anipe uhai kutimiza haya yote.

Maisha ni matamanio, mipango, utafutaji na utekelezaji.
hongera mkuu; wengine tulipata gari baada ya miaka 12 kumaliza degree ya kwanza. Mpaka leo tupo nyumba ya kupanga, Kiwanja cha kwanza nategemea kukipata miaka 5 ijayo. Sijaoa kwa vile ni Padre wa kilokole
 
Kitambo sana mzee, unamjua nini?
Kuna kitabu chake cha legal method kama sijakosea nilikinunuaga enzi hizo kwaio ulivyomtaja na ukasema MU nikaunganisha dots...kuna mwanangu mmoja nae alipiga huko MU alikua anaelezeaga uduanzi wake
 
Tangu kuhitimu degree ya kwanza huu ni mwaka wa kumi sasa na haya ndiyo nimeyafanikisha mpaka Leo hii.

Nimepata mke na watoto wawili

Nimeongeza elimu

Nimejenga jijini DSM nyumba ya familia iliyogharimu m75, kiwanja na ujenzi.

Nina kiwanja kimoja sqm 1250, kiligharimu m15

Nina usafiri kurahisisha mizunguko/uligharimu m13.

Nimeajiriwa serikalini

Nina kibanda cha mobile money kinaniiingizia kilo6 hivi.

Nina mikopo benki

Matamanio yangu zaidi
Kuwa na biashara zangu binafsi/kujiajiri/kuajiri ndani ya miaka 5

Kuongeza nyumba 2-3 ndani ya miaka 10.

Kumfungulia mzee wangu biashara ya kumuingizia kipato cha kila siku. Ndani ya miaka 2.

Mungu anipe uhai kutimiza haya yote.

Maisha ni matamanio, mipango, utafutaji na utekelezaji.
Tuone ata kapicha kahiyo nyumba, maana desturi ya mswahili hasemi nyumba huwa tunasema kibanda sasa ww una nyumba inamaana ni kubwa zaidi ya Simba wa Madale
 
Kuna kitabu chake cha legal method kama sijakosea nilikinunuaga enzi hizo kwaio ulivyomtaja na ukasema MU nikaunganisha dots...kuna mwanangu mmoja nae alipiga huko MU alikua anaelezeaga uduanzi wake
Yule ni kati ya maprofesa wakubwa wa sheria hapa Tz, sema ( with no prejudice) nadhani hawataki kuwepo na watu wenye uwezo wao, I mean they want to be dominant forever. Anyway Bina ni mwamba.
 
Forbes 2020 First Edition: MAGO net Worth is 120 Million Tzs.

He is venture in employment since graduated from university.

Let calucalate Timeline used to make that fortune.

120M/10 years = 1M each month/33000 Every day.

That guy used to make 33000 everday and 1M every month.

A calculation above is not real, we should put negative form (-) numbers because that guy got Huge debt from Bank.

If a guy have 120M networth let assume in minimum a bank debt is 30M, (120-30= 90M).

Close Calculation

His real estimated Networth 90M.

FORBES 2020 Final Edition : MAGO Networth 90M estimated.

He used their 10 years in life to make their 90 Million Networth.

MY TAKE
Only 2 years of real grinding in Agriculture croping & trading you will make that net worth too.
 
Tangu kuhitimu degree ya kwanza huu ni mwaka wa kumi sasa na haya ndiyo nimeyafanikisha mpaka Leo hii.

Nimepata mke na watoto wawili

Nimeongeza elimu

Nimejenga jijini DSM nyumba ya familia iliyogharimu m75, kiwanja na ujenzi.

Nina kiwanja kimoja sqm 1250, kiligharimu m15

Nina usafiri kurahisisha mizunguko/uligharimu m13.

Nimeajiriwa serikalini

Nina kibanda cha mobile money kinaniiingizia kilo6 hivi.

Nina mikopo benki

Matamanio yangu zaidi
Kuwa na biashara zangu binafsi/kujiajiri/kuajiri ndani ya miaka 5

Kuongeza nyumba 2-3 ndani ya miaka 10.

Kumfungulia mzee wangu biashara ya kumuingizia kipato cha kila siku. Ndani ya miaka 2.

Mungu anipe uhai kutimiza haya yote.

Maisha ni matamanio, mipango, utafutaji na utekelezaji.
Umefanya Mengi sana mazuri yakutamanisha macho! Ila umesahau kuwa Mungu ndiye kakupa hivyo vyote, hujafanya hata kimoja hapo cha Mungu! Kumbuka furaha ya kweli na Amani ya kweli ipo ndani ya Yesu! Ipo siku utakufa utaacha vyote ulivyosema hapo! Nilitegemea ungetaja na mafanikio pia ya Rohoni! Umejenga kanisa, umewaleta watu kadhaa kwa Yesu, umewasaidia yatima wangapi, nk ! Jitafakari upya!!!
 
Back
Top Bottom