Watu wako na wivu tena wa kijinga! Kufanikiwa kwa mtu, wengine inawauma, kwa sababu maisha yamewapiga, they are not even happy to witness others success. Such people are jealous, stressed and desperate! Mtu ako anashare mafanikio yake, badala tumpongeze tunamzodoa ooh mara kaja kutulingishia, we black skins nani aliiba bongo zetu? Mleta maada anatoa hamasa kwa wengine kupambana na mwisho wa siku tuishi maisha bora ya ndoto zetu, lakini cha ajabu tunatumia nguvu kubwaa kuwavunja moyo waliofanikiwa bora nguvu hiyo tuitumie kufanya kazi kubadili maisha yetu, kwa mfano mtu akileta ushuhuda li v8 lake lilivyomtesa barabarani, watu watatoa negative comments adi mleta mada ataombe poo! Jamani ndugu zangu tuko na maisha magumu sawa, ila tusisahau kuwa wapo wenzetu hawagangi njaa na wao ni sehemu ya jamii yetu. We must appreciate and to be inspired with them, tuwafanye kuwa role model wetu and then life can be simple.