Miaka kumi tangu kuhitimu shahada ya kwanza

Pamoja kwamba Jf hatujuani Kwa Sura na Picha!; ILA KODOLE GUMBA PEKEE ni kielelezo kinachotutambulisha Sisi tukoje huku mtaani!!
HONGERA KWA MAFANIKIO
 
Sasa watu wanaosema show off hapa mnawaza nini? Mbona hamja-attack waliosema wana shida. Mtu unamwambia ana show off wakati hatujuani humu.

Kila mtu ana interests zake, wengine wanaenda kwenye uzi wa kimasihara kuonesha mafanikio yao. Yani watu wanaleta ujinga wa eti utarogwa ukisema mafanikio yako. Hivi waganga wana mechanism ya kumroga member wa JF? Basi niroge mimi kwa mbadala wake.
Yani JF ina watu wanataka waone shida, tanzia, madeni, magonjwa, breakup. Mtu akitaja mafanikio yake madogo wanasema show off.
 
Yes! Well said mkuu, hatuko na furaha tukiona post za mafanikio ya wengine. Ni lazima tuelewe, hatuwezi kupiga hatua kimafanikio kwa kuwachukia waliofanikiwa, kuwa na chuki haisaidii zaidi inatuongezea self conflicts na kujikuta tunakosa utulivu katika shughuli zetu za kutuingizia kipato. Hizi ni zama za globalization, watu wanashow their possession through these nowadays social platforms. Ukiwachukia utakufa kabla ya muda wako, kwani utajipa mzigo wa chuki ambao utauumiza moyo wako bure. If you can't win them join them!
 
Ni kawaida na pia hata kwa watumishi serikalini huwa wanapaswa kudeclare mali zao ingawaje hili huwa halifanyiki
Mkuu hivi declaration ni kwa watumishi wote wa serikali au? Ni baadhi ya taasisi za serikali tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom