Miaka kumi tangu kuhitimu shahada ya kwanza

MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,256
2,975
Tangu kuhitimu degree ya kwanza huu ni mwaka wa kumi sasa na haya ndiyo nimeyafanikisha mpaka Leo hii.

Nimepata mke na watoto wawili

Nimeongeza elimu

Nimejenga jijini DSM nyumba ya familia iliyogharimu m75, kiwanja na ujenzi.

Nina kiwanja kimoja sqm 1250, kiligharimu m15

Nina usafiri kurahisisha mizunguko/uligharimu m13.

Nimeajiriwa serikalini

Nina kibanda cha mobile money kinaniiingizia kilo6 hivi.

Nina mikopo benki

Matamanio yangu zaidi
Kuwa na biashara zangu binafsi/kujiajiri/kuajiri ndani ya miaka 5

Kuongeza nyumba 2-3 ndani ya miaka 10.

Kumfungulia mzee wangu biashara ya kumuingizia kipato cha kila siku. Ndani ya miaka 2.

Mungu anipe uhai kutimiza haya yote.

Maisha ni matamanio, mipango, utafutaji na utekelezaji.
 
Hongera sana..

Japo naona sio sahihi kuonesha mafanikio yako wakati unajua hali tete kwa wenzako, wataona unawatambia.... usije ukalogwa maana wachawi wengi..
Ni kawaida na pia hata kwa watumishi serikalini huwa wanapaswa kudeclare mali zao ingawaje hili huwa halifanyiki
 
Tangu kuhitimu degree ya kwanza huu ni mwaka wa kumi sasa na haya ndiyo nimeyafanikisha mpaka Leo hii.

Nimepata mke na watoto wawili

Nimeongeza elimu

Nimejenga jijini DSM nyumba ya familia iliyogharimu m75, kiwanja na ujenzi.

Nina kiwanja kimoja sqm 1250, kiligharimu m15

Nina usafiri kurahisisha mizunguko/uligharimu m13.

Nimeajiriwa serikalini

Nina kibanda cha mobile money kinaniiingizia kilo6 hivi.

Nina mikopo benki

Matamanio yangu zaidi
Kuwa na biashara zangu binafsi/kujiajiri/kuajiri ndani ya miaka 5

Kuongeza nyumba 2-3 ndani ya miaka 10.

Kumfungulia mzee wangu biashara ya kumuingizia kipato cha kila siku. Ndani ya miaka 2.

Mungu anipe uhai kutimiza haya yote.

Maisha ni matamanio, mipango, utafutaji na utekelezaji.
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo hata kama ni kidogo au kikubwa. Hongera sana na daima uzidi kubarikiwa ili uweze kufikia mafanikio ya ndoto zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom