MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,279
- 3,026
- Thread starter
- #61
kiwanja nilinunua m16, nyumba mpaka ujenzi unakamilika iligharimu kama m55 hapo na fensi. ni ya kawaida tu vyumba vinne na vyenye space ya kutosha. Ujenzi kwa DAR kuna kupigwa pia ila kiukweli ina kila kitu cha muhimu ndani, Hizo nne na gharama nyinginezo ilinichukua miaka 3 kuikamilisha.Tuone ata kapicha kahiyo nyumba, maana desturi ya mswahili hasemi nyumba huwa tunasema kibanda sasa ww una nyumba inamaana ni kubwa zaidi ya Simba wa Madale
Kiwanja nilinunua mwaka 2015, nikajipanga kwa miaka 2 nikapata kama m14 hivi nikapandisha mpaka linter, nikatulia tena kama miaka mwaka hivi nikapata m12, nikapiga bati na nondo madirishani na milangoni, nikatulia mpk 2019 nikapata kama m 10 nikapiga plasta, gypsum na skimm, mwaka huu nikaona isiwe tabu nikazama benki nikabeba mpunga 25 m, nikapiga rangi, madirisha ya vioo, milango, marumaru, pavement, uzio, underground water tank, nikakamilisha. NI msoto inaitaji tu determination