Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

Sasa wewe ni mke gan ambaye unashindwa kumwambia mumeo kama kuna kitu kinaenda wrong kumbuka huyo ni mume sio hawala mwambie unavyo jisikia
 
Embu anza manjonjo toa dic yake nyonyaaa weee isiposimama ujue bwabwa...tatizo la nyie mnaojiita wacha Mungu mnajisahau sana mtaka formality ... Embu kuwa malaya kwa mumeo haraka sana acha kukaa kama upo bikra bado imeshatoka sawa mama ...ikishindikana mbake kabisa

Ri-gwaride la malaya ktk 6X6 si mchezo. Kama man haupo fit lazima utaomba poo tu..
 
da mtoto miaka 7 bado wa pili?.Bt hayo ni mambo ya kuzungmza mwambie wazi naye akupe sababu why? supu ya pweza muhmu hap
 
Njoo PM nikupe ushauri wa ki professional
 
Ooh my God, moja tu analala, na sasa miezi sita bilabila!!

Fanya uchunguzi kuna jambo kwa mumeo, sidhani kama ni shida ya mchepuko, maana hata kama ni mchepuko angezima nuksi kwa wife. Inawezekana mumeo ni mtumiaji ile kitu "piga bomba". Ameathirika ndiyo maana alianza kupiga kimoja na kulala; kuna uwezekano nae roho inamuuma kutoshindwa kukupa "dose" anaishia kugeukia ukutani. Kaa chini muongee, umueleze unavyojisikia na kutaka. Asipoelewa somo fanya kazi ya kumchunguza, ukibaini jambo umsaidie, kukimbiana si suluhu (ndoa zina mambo makubwa zaidi ya haya yako)
 
Unaanzaje kumuonea aibu mtu anaemjua in and out?Vunja ukimya zungumza nae si ajabu ana tatizo na unavyokaa kimya si ajabu anahisi humpendi maana lazima udai haki yako ya ndoa atiiiii!!!
 
Jaribu kumfanyia u utafiti; Chukua wembe kata vizuri kucha za kidole chako cha kati, kisha paka pilipili kwa mbaali! Akilala muingizie taratiiibu dole lenye pilipili mkun.Duni mwake! Ukiona anakifuata kidole ujue ndoa yenu inahitaji mtu wa tatu (dume la mbegu)!

Hii sayansi mpya kabisa
 
Jifunze kumuandaa mumeo, jiachie, jisasambue muwapo kitandani.

Pia ujue watu tuko tofauti sana, wengine bila kuwashitua hawashituki. Hata hivyo umenishangaza sana, ndoa yako mwenyewe unasubiri mpaka mumeo alianzishe! Kuanzia leo unaposoma hii post, hakikisha hapati usingizi hadi tendo lifanyike, lisipofanyika usiku mbane asubuhi na mapema, hakuna kwenda job kama hajakubali kutimiza wajibu wa kukupa haki yako.

Zaidi ya yote jifunze kufanya booking, siku unayodhani mtoto anaweza kupatikana, ufanye booking mapema asubuhi kuwa unataka sana kitu, mkitoka tu job jioni, mnafikia "mazoezini".
 
jinsi unavyomsubiri akuanze, ndivyo nae anakusubiri umuanze. Hebu jaribu one day kuchezeya mdushe wake uone kama atakugombeza.
 
Natabiri tu,hizo mara tatu kwa mwezi ambazo mmewahi kufanya
lazima alikuwa anakuanza wewe,sasa amechoka kuona kwamba labda yeye ndo muhitaji
wa mambo hayo,wewe huna mpango nayo.
Ameamua kukutega aone mwisho wake,
Ushauri: Leo,leo mkiingia kitandani mwanzishie mchezo uone moto
wake,utagundua alikua na kiu na njaa ya ajabu siku zote hizo.
Umesema ninyi ni wacha Mungu,si ajabu alidhani kila siku kukuanza
yeye ataonekana mzinzi,anasubiri siku moja na wewe umuanzishie,anajikuta hola.
Anaendelea kusubiri,sasa wewe vunja ukimya.

mmhh ki ukweli hata kama tatizo ni kuanzwa kweli ndo ifike 6month mtu anapiga deshi tuu????mi bado hainiingii akilini.
 
Embu anza manjonjo toa dic yake nyonyaaa weee isiposimama ujue bwabwa...tatizo la nyie mnaojiita wacha Mungu mnajisahau sana mtaka formality ... Embu kuwa malaya kwa mumeo haraka sana acha kukaa kama upo bikra bado imeshatoka sawa mama ...ikishindikana mbake kabisa

Ebu mfundishe zile zako za kujichukulia sio kusubili mpaka kupewa
 
Hiyo mara kwa 3 kwa mwenzi tu hapo mwanzoni nimeacha kinywa wazi sikwambii miezi 6....

Pole sana dada ongea nae umuulize nini tatizo alafu kweli umeshindwa kumtega?
 
Ila kwa hali ilipofikia naona bora nitengane nae niishi maisha yangu maana bila unyumba amna maana ya ndoa na nataka sana mtoto. Wadau naomba ushauri je hii ni kawaida? Nifanyeje
Unataka ushauri gani zaidi wakati ushafanya maamuzi hapo kwa red??

Swali dogo: Ulijuaje mume wako alikuwa bikira kabla hajakuoa?? HApa unazungumzia bikira ipi?
 
Muandalie chakula anachopenda. Ongea nae mambo mazuri. Ukiwa kitandani mkumbatie na anza kumguaa sensutive parts. Wakati wa zoezi toa ushirikiano wa kutosha. Wengine huwa mnaaribu wenyewe kwa kumkwaza kisaikolojia. Muda wa shughuli unaanza maneno off point.
 
Back
Top Bottom