Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,429
Heeeee
Kwa mwezi mara 3??????
Mna tatizo kubwa nyie
Kaeni chini mzungumze
mkuu ww unapigwa mara ngapi
Heeeee
Kwa mwezi mara 3??????
Mna tatizo kubwa nyie
Kaeni chini mzungumze
Kyela nyumbani kweli???
Hapa kuna mengi yamejificha Mtu akiamuammhh ki ukweli hata kama tatizo ni kuanzwa kweli ndo ifike 6month mtu anapiga deshi tuu????mi bado hainiingii akilini.
Khe khe kheeeeeeeeeeee Umalaya ndani ya ndoa RUKHSAAAAAA
Mara tatu kwa wiki ni uvivu???...aaaahh huo sasa ni usugu.
"shake well before use" huu msemo una maana ohooo haya...nisijeonekana nachochea uzinzi
Kuna mwanamke tulikua tunaenda mara 3 kwa week akasema mie napenda sana mambo mambo..nikamwambia atafte mlokole mwezie...
mara tatu??? hzo nyingine wamuachia nani??lol inatakiwa ratiba iwe tight yani ka mechi za UEFA bandika bandua