Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

Ila hapo inabidi muangaliane inawezekana tatizo ni la kiafya, je mashine yake inasimama kila asubuhi?
 
Kuna tatizo mahali. Ilitakiwa mara tatu kwa siku. Baada ya hapo ndio graph inaanza kushuka taratibu hadi kufikia mara kwa siku. Kuwa proactive - si lazima alianzishe yeye. Wanaume nasi tunapenda bibie alianzishe wakati mwingine na tuna respond accordingly!
 
mie wakati ndi nimefunga ndoa bao 5- 6 kwa kila siku! sasa tuna miaka 24 na kwa week mara kama nne hivi weeee!!
 
Kama mumeo tu humuelewi na wala hujaongea naye, je sisi tusio wa kwako hata chembe ya damu utawezaje kutuelewa kwa haya tutayokushauri?

Pia kwa rate hiyo ya kula tunda mwanzoni mwa ndoa uwezekano mkubwa uliolewa na mwanaume ambaye kingono tayari alikuwa na kasoro...
 
Kaeni muongee ili ujue tatizo huo ndiyo ushauri Wangu mpendwa..pili hongera sana kwa kujitunza mwili wako hadi ulipoolewa!!
 
Mumeo wa ndoa ni sho.ga,fanya uchunguzi.

Kuna jamaa tulisoma nae ni shoga, watu waliosoma nae wote wanajua ni shoga...
Ila pressure za kifamilia nadhani zilimfanya aoe...na nasikia mkewe ni kifaa haswa...
Na sijui kama atakuwa anajua tabia ya mumewe...

isije kuwa ndio hao wanaleta matatizo kwa wake zao...

Mume bikra wa kazi gani...uliingia choo cha kiume...
 
Embu anza manjonjo toa dic yake nyonyaaa weee isiposimama ujue bwabwa...tatizo la nyie mnaojiita wacha Mungu mnajisahau sana mtaka formality ... Embu kuwa malaya kwa mumeo haraka sana acha kukaa kama upo bikra bado imeshatoka sawa mama ...ikishindikana mbake kabisa


Akishindwa hapo chepuka tu sasa maana huakuna namna nyingine...

Usimwache jamaa...
 
Mambo Haya kuyaleta mitandaoni mbona kama mnapenda sana kujidharirisha hivi, kwani wazazi hawapo, washenga nao? Wasimamizi was ndoa?

Ujue unapoexpose mambo yako humu tuna na watoto was fomu 4 hupenda kuonekana wanajua kutoa ushauri kwasababu tu wanajua Ku argue wakati hats ndoa haeajuhi inaanzwaje, kwahiyo uwe tayari na ushauri wowote
 
Dada changamka weka ulokole pembeni ukiwa 6*6,lasivo wote mna matatizo.
 
hilo tatizo mara 3 kwa mwez?wakati hapo ni kwa saa mota na nusu tu,af nawe lazima umfanye mwenzio ataman jaman pia matatizo yako unataka mpaka mwenzio akuanze wew kumwambia unataka dudu hutaki ila mpaka yeye akwambie?
 
Miezi sita! Hongereni, mmeprove kuwa NDOA bila kujamiiana inawezekana.
 
heh makubwa mnato.MBA.na Mara tatu kwa mwezi wanandoa wapya....heh!

Nakwambia sijawahi kuona wala kusikia kitu kama hichi! Trip hizo tunazifanya sisi ambao umri unaelekea miaka 55 and over!
 
Embu anza manjonjo toa dic yake nyonyaaa weee isiposimama ujue bwabwa...tatizo la nyie mnaojiita wacha Mungu mnajisahau sana mtaka formality ... Embu kuwa malaya kwa mumeo haraka sana acha kukaa kama upo bikra bado imeshatoka sawa mama ...ikishindikana mbake kabisa

Bhaeleze, bhaeleze mamiiii!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom