Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

Jaribu kumfanyia u utafiti; Chukua wembe kata vizuri kucha za kidole chako cha kati, kisha paka pilipili kwa mbaali! Akilala muingizie taratiiibu dole lenye pilipili mkun.Duni mwake! Ukiona anakifuata kidole ujue ndoa yenu inahitaji mtu wa tatu (dume la mbegu)!
[/
color] ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Mpeleke mumeo kwa daktari. Huenda kapata matatizo ya kisaikolojia ambayo yamemuondolea hamu ya vitu mbali mbali katika maisha yake including tendo la ndoa. Embu chunguza kama bado anapendelea hobby zake za dhamani... Most likely amepoteza mzuka na aspects mbali mbali za maisha. Utanipa feed back niku advice the way forward...
 
Dada unauwakika gani kuwa mumeo hana mtu au mchepuko?inaokoka roho mapenzi hayaokoki ham ya kufanya mapenzi iko pale pale
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33 mume wangu ana umri wa miaka 41. Sote ni wasomi na wafanyakazi. Tumefunga ndoa miaka tisa iliyopita tuna mtoto mmoja ana umri wa miaka 7.Wakati tunafunga ndoa wote tulikua mabikra. Mimi nilikua sijawahi kuwa na mpenzi na mume wangu akuwahi kua na mpenzi.

Tulianza kushiriki tendo la ndoa siku ile tulipofunga ndoa. Kwa kweli kwa ujumla maisha yetu ya ndoa ni ya furaha kwa mambo yote lakini sio ya kiunyumba.

Mimi na mume wangu atujawahi kuwa mbali kikazi. Maisha yote hadi leo tuko Dar es salaam pamoja. Tulipofunga ndoa miaka ya mwanzoni tulikua tunaweza kukutana kimwili hata mara tatu kwa mwezi, miaka ilivyokua inazidi kwenda ikawa kukutana kimwili inakua mara moja kila baada ya miezi miwili na tukikutana ni bao moja tu.

Sasa hali imezidi kua mbaya kwani sasa imepita miezi sita tunalala kitanda kimoja mume wangu ajanigusa, hali hii inanisononesha kwani natamani mtoto wa pili. Kwakweli atuna ugomvi wowote. Mimi na mume wangu wote ni wacha Mungu.

Mume wangu ni mchapakazi sana tukitoka kazini tuko wote na sio mtu anaependa kwenda kutembea bila familia. Jumamosi na Jumapili mara nyingi tunatoka out tukirudi home akuna kinachoendelea, anageuka ukutani analala kama mtoto hadi asubuhi, wala hata anigusi nikimsogelea hata ashtuki.

Na asubuhi tukiamka tunaenda ofisini na akifika ofisini lazima anitumie message, mke wangu nakupenda sana. Simuelewi na nashindwa kumuuliza maana mimi kama mwanamke naona aibu.

Kwakweli mawazo ya kutoka nje ayapo kabisa kichwani mwangu maana simjui mwanaume mwingine zaidi yake pia namuogopa Mungu siwezi kucheat.Ila kwa hali ilipofikia naona bora nitengane nae niishi maisha yangu maana bila unyumba amna maana ya ndoa na nataka sana mtoto.

Wadau naomba ushauri je hii ni kawaida, nifanyeje.

unasubiri akuanze sio? utasubiri sanaaaa! tatizo lenu mabinti ni kuwa hamko creative. Kuwa mbunifu tengeneza mazingira ya kuhamasisha, mtomasetomase, mnyonye nyonye, mpitishie ulimi masikioni na kadhalika uone matokeo yake. Acha uzembe, akijikausha mrukie kabisa mwambie akupe haki yako bana! aaagh
 
Embu anza manjonjo toa dic yake nyonyaaa weee isiposimama ujue bwabwa...tatizo la nyie mnaojiita wacha Mungu mnajisahau sana mtaka formality ... Embu kuwa malaya kwa mumeo haraka sana acha kukaa kama upo bikra bado imeshatoka sawa mama ...ikishindikana mbake kabisa
U made me horny just by reading that, and I am married..
Ulichogusia ni kweli kabisa inabidi awe malaya kwa mume wake, we need that! Hakuna masuala ya formalities kwenye kitanda ni kujaribu ku-explore everything. Kama kila siku style ni missionary tu hata mimi nitapoteza hamu aisee.
Tatizo watu wanachukulia wokovu wrongly na mara nyingi ndoa au familia za watu wanaoclaim kuwa wameokoka ndio zinakumbwa na matatizo kwa sababu ya kukosa ufahamu. Tafuta knowledge katika vitu vyote especially kwenye sex maana hapo ndio inaonekana kuna tatizo.
Osha vizuri uke, make sure hauna harufu harufu, usikae kae uchi mbele ya mumeo infact asizoee kukuona uchi maana inafika point huwa tunaona ni jambo la kawaida kufika point ya kutokua aroused when ur naked.
So anza operation ya kumbania kukuona uchi kwa wiki kadhaa wakati ukiwa unajinoa katika hii sekta, mpe lishe bora, learn some new styles, ukiona upo tayari wewe ndio umtoe out bila familia, tafuta panties za maana halafu mpe vitu vya uhakika ambavyo hakutegemea, you will notice some improvements kwenye sex life yenu.
 
Humu kuna mchele na chuya. Bi dada chambua kwa busara na hekima
 
shoga mara tatu kwa mwezi mumeo ni mgonjwa kitambooo au wewe ndio ulikua na tatizo sema alikupenda sana akaamua kukuoa hivyo hivyo bila kukuambia ila ndio akaamua kufanya mara chache hivyo mwanaume rijali hamalizi hata wiki lazima aombe mzigo shoga na nakuapia kama haumwi huyo mumeo basi jua ana tembea na mpendwa huko nje kapata wa kumfikisha mount meru na kumshusha tena mara tatu kwa siku ndio maana akirudi zinawaka moto sehemu zake hamu na wewe hana hebu piga goti muulize mungu wako ukiona kimya muweke kikao mumeo umuulize au fanya uchunguzi wa kina wewe mwenyewe majibu utayapata tuu kuuliza watu humu hutapata majibu maana ukimuacha huyo bila kujua sababu ya tatizo kama tatizo ni wewe huko uendako yatajirudia mama
 
Pole sana,mwombe Mungu yeye atakutegemeza,mwulize Mungu anataka kukufundisha nini kupitia huo uzoefu mbaya?
 
U made me horny just by reading that, and I am married..
Ulichogusia ni kweli kabisa inabidi awe malaya kwa mume wake, we need that! Hakuna masuala ya formalities kwenye kitanda ni kujaribu ku-explore everything. Kama kila siku style ni missionary tu hata mimi nitapoteza hamu aisee.
Tatizo watu wanachukulia wokovu wrongly na mara nyingi ndoa au familia za watu wanaoclaim kuwa wameokoka ndio zinakumbwa na matatizo kwa sababu ya kukosa ufahamu. Tafuta knowledge katika vitu vyote especially kwenye sex maana hapo ndio inaonekana kuna tatizo.
Osha vizuri uke, make sure hauna harufu harufu, usikae kae uchi mbele ya mumeo infact asizoee kukuona uchi maana inafika point huwa tunaona ni jambo la kawaida kufika point ya kutokua aroused when ur naked.
So anza operation ya kumbania kukuona uchi kwa wiki kadhaa wakati ukiwa unajinoa katika hii sekta, mpe lishe bora, learn some new styles, ukiona upo tayari wewe ndio umtoe out bila familia, tafuta panties za maana halafu mpe vitu vya uhakika ambavyo hakutegemea, you will notice some improvements kwenye sex life yenu.

Well said
 
You just turned me on.
 
Baada ya kuoana mlikuwa mnaweza kukutana kimwili mara tatu kwa mwezi mbona ndoa yenu ilianza na matatizo mapema namna hiyo? Baada ya ndoa hiyo mara tatu kwa uchache ni dozi ya siku moja tu na muda ukisogea imepungua kwa wiki mara tatu na kuendelea huwa kawaida sana. Ina maana hıyo mara tatu kwa mwezi ulikuwa unaridhika kabisa? pole
 
Hii ni DRAMA, haiwezekani hata kidogo miezi sita mnalala kitanda kimoja msifanye tendo la ndoa na hakuna wa kumuuliza mwenzie..!

Yani hata umeshindwa kumuuliza mumeo kwanza ukaanzia JF?

Watu wanakuja kuomba ushauri wa mambo hayo wakiwa wamesha jaribu kutafuta ufumbuzi wenyewe kwanza pale wanaposhindwa ndipo hutafuta ushauri wa ziada.

Ni udhaifu mkubwa sana mwanamke kufikiria kuishi maisha yako wakati muda wote hujawahi hata muuliza mumeo kunatatizo gani???

Jivunie kuwa suruhu ya matatizo ndani ya ndoa yako kabla ya kutoka kuomba ushauri. Mara unapokwama kabisa ndo uombe ushauri
 
Wacha mungu huwa hawaaniki mambo yao hadharan namna hii .ilaa poleee

.......mcha Mungu naye mbona binadamu, sasa kama ana shida apeleke wapi?

Hili jukwaa lipo kushauri watu wenye matatizo ya mahusiano.

Jina analotumia fake, hakuna amjuaye humu. Tena hapa anaweza kupata ushauri wa maana na kuchambua mwenyewe.

Kuna matatizo mnaweza kuwa nayo wanandoa hata kuongea mbele ya watu live ni nomaaaa!! Hata ningekuwa mimi tatizo kama hili siwezi ongea mbele ya vikao vya ushauri.
 
Khe khe kheeeeeeeeeeee Umalaya ndani ya ndoa RUKHSAAAAAA

Embu anza manjonjo toa dic yake nyonyaaa weee isiposimama ujue bwabwa...tatizo la nyie mnaojiita wacha Mungu mnajisahau sana mtaka formality ... Embu kuwa malaya kwa mumeo haraka sana acha kukaa kama upo bikra bado imeshatoka sawa mama ...ikishindikana mbake kabisa
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana ni uzi!
Inawezekana nyinyi!
Kuna mapungufu!
 
Back
Top Bottom