Hakuna sababu inayo mfanya mwanaume asimfanye mkewe kama sio mgonjwa.kwanza wewe unashida inaonekana huyo sio mumewako kama umewezakukaa uchi mbele yake unashndwa nini kuuliza?kunakitukikubwa kama uchi?
Nakujibu mimi muamini kama wewe naumri kama wako naninandoa takatifu na mtoto wamiaka nane.nasababu ya kukwambia hivyo inawezekana mumeo mgonjwa,au anachepuka,hiyo trend ya kufanya sio ya kawaida kwa umri wetu unasikia hamu sana pia mzee nae anaskia hamu, kusema asikuguse? Sio rahisi la mwisho muombee na uachekumuogopa uyo ni kifurushi chako cha moyo.
Pungua uzito na hicho kitambi,acha kugeuza kitanda mahakama,mlishe vizuri vitu vya protin,acha maigizo na kutegemea vitu ambavyo havipo, fanya kazi nyumbani, pika, hudumia watoto kwa ujumla show impact yako nyumban.