Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

Yani umeona hao ulowataja ndio watatunza siri kuliko JF?

Mara elfu ameandika JF kuliko kutangazia ndugu jamaa na marafiki...
Kwani humu tunajuana????



Mambo Haya kuyaleta Jf mbona kama mnapenda sana kujidharirisha hivi,kwani wazazi hawapo,washenga nao? wasimamizi was ndoa? ujue unapoexpose mambo yako humu tuna na watoto was fomu 4 hupenda kuonekana wanajua kutoa ushauri kwasababu tu wanajua Ku argue wakati hats ndoa haeajuhi inaanzwaje,kwahiyo huwe tayari na ushauri wa kitoto pia
 
Aisee pole. Huyo ndio kushney! Cha kufanya tafuta mchepuko wa fasta, ukipata ngoma urudi pia kutuambia...
 
DADA POLE SANA,

ILA NIKUULIZE SWALI MUMEO ANAFANYA KAZI NGUMU? NAMAANISHA SHUGHULI ANAZOFANYA? Huenda anachoka sana mchana na mihangaiko kazini ,na mifoleni yetu hii ndo kabisa anafika nyumban saa 3 usiku fikiria na kazin kachoshwa anafika home mwili wote umecoka je hilo kwa upande wako limekaaje?

Na nisikufiche mm nakwambia ukweli yes mwanzon tendo la ndoa mtafanya sana tu na hta huwezi hesabu kwa wiki,lkn sio kweli kwamba ukiwa ktk ndoa lazima mfanye hapana mwaweza kaa kwa wiki mkafanya mara 3 au hata 2, lakini kama kazini anachoshwa waweza pata kiu yako wikend anakupa kitu roho inapenda,lkn ukiona mumeo kazini anachoshwa na kazi akirusi muandalie chakula muogeshe,muache alale usingizi tena usimsumbue lkn asubuhi peanaeni kamoja tu theni nenden kazin ,lkn narudia tena ndoa sio lazima kila siku dozi,ila kwa miezi 6 hapo pana katatizo.

Ila dada yangu na ww ndo umeniacha hoi hebu kuwa na manjonjo na sio manjonjo tu mwenzio nikijisikia hamu tu nmemis chakula changu namwambia tangia yupo kazin namchombeza, hata kivyo nikilala tu kitandani mto wangu ni kifuan kwa mume wangu, huku mkono wangu napapasa muhogo yy mwenyewe tu atakwambia ushanichokoza mtulize angalau kamoja nilale tu,hebu jaribu kuwa mtundu ndoa ni raha sana.

Narudia tena msaidie yamkini ana tatizo na ikiwezekana jishughulishe mwenyewe,
 
Mara tatu kwa mwezi ni utoto kwa wiki sawa tena yenyewe ndogo pia.Kutiana muda wowote hiyo ndoa ni batili.niibox nikamate fursa hiyo ntakuwa msiri tu.
 
Me nakushauri tafuta tu mwanaume wa kukusaidia mumeo nae anamchepuko wake huko nje..
 
Pole sana dada! Badilisheni staili ya maisha,isiwe tu kutoka kazini nyumbani.

Mhimize na ikiwezekana nyote muanza kufanya mazoezi ya aerobics/viungo na michezo mingine kama kuogelea n.k.

Msisitize kuwa maisha bila ya mazoezi na watoto ni sawa na kazi bure.

Kamwe usiwaite wazee au watumishi wa Mungu kushuruhisha.

Kama yeye atakataa kufanya mazoezi anze wewe kufanya kwani hii inaweza kukufanya wewe kuwa zaidi ya yeye anavyofanya.

Lakini pia ukumbuke kuwa kwa mchapakazi yeyote mambo ya unyumba ni adhabu na ili kubadilisha hali hiyo waweza kumshauri kuomba rikizo fupi ili kumuondolea stress na ikiwezekana tengeni bajeti mkajivinjari kunako mbuga za wanyama.
 
Kabla hamjaenda popote kaa na Mume wako, Muulize, Wewe unachoogopa nini? Kuuliza unaogopa, wanaume huwa ni wazito sana kusema, Wewe kama unampenda kweli Mume wako, Muulize kama kuna tatizo la Hospital Mwende, Kama ni la Kiroho mwende kwa mchungaji hiyo hali siyo ya kawaida Mama.

Wewe umeliona hilo tatizo muda mrefu kwanini umekaa kimya? Hujui hatakama lilikuwa ni tatizo dogo, linazidi kuwa kubwa?????? Utamuogopaje Mume wako kama una mpenda, Mimi Mume wangu siwezi kumuogopa hivyo.

MWITE MUME WAKO MZUNGUMZE, KWA UPOLE, ATAKWAMBIA TATIZO NINI??
 
Mimi na mume wangu atujawahi kuwa mbali kikazi. Maisha yote hadi leo tuko Dar es salaam pamoja. Tulipofunga ndoa miaka ya mwanzoni tulikua tunaweza kukutana kimwili hata mara tatu kwa mwezi, miaka ilivyokua inazidi kwenda ikawa kukutana kimwili inakua mara moja kila baada ya miezi miwili na tukikutana ni bao moja tu.

Du kwa mwezi mara 3, chache ivo? Nafikiri tatizo lake limezidi kuwa kubwa!
 
mmmh hapo kuna tatizo kubwa tangu tu siku ya ndoa coz huo muda wa mara tatu kwa mwezi wakati watu wanakutana mara zaidi ya tatu kwa wiki sasa imeenda miezi sita na umri unaonda hivyo mtoto anahitajika.
zungumza na mumeo mambo yafuatayo
  1. akueleze ni wapi wewe umekosea na sio yeye
  2. kwamba haitaji mtoto mwingine
 
Pole Dadaa, Najua Inaumiza Sana Nainahitaji Uvumilivu, Kwakawaida Ndoa Ikiwa Changa Tendo Huwa Mara Nyingi Zaidi, Mf. Saa 3, 8, Na Alfajiri Japo Wengine Hufanya Hata Mara 4 Kwausku Mmoja, Tendo Landoa Halina Ulokole Ikiwa Muna Ndoa, Alaf Huenda Shem Anachoka Nakazi Ndo Maana Hatilii Maanani, Pia Jitahidi Umwonyeshe Ashiki Mumeo, Mvalie Kanga Moja Nachupi Tu Mkiwa Pamoja Nyumbani, Pamba Nyumba Ipendeze Puliza Utuli, Pangilia Chumba Kivutie, Jitahid Oga Nae Bafuni, Mpikie Vizuri Mwenyewe Sidada Wakazi, Fua, Pasi, mwandalie Nguo Mwenyewe, Mwandalie Chai Mwenyewe Nakunywa Nae, Unapolala Paka Mafuta Mazuri Na Usilale Nanguo, Hata Nguo Yandani Usilale Nayo, Jipambe, Suka, Vaa Kidada Umuvutie, Pia Mkiwa Kwenye Tendo Jitahid Usikaze Kiuno Jiachie Kwamumeo, Ikibidi Muulize Anasikia Raha, Badili Mkao Jitahid Kumsifia Kwajins Anavyokukuna, Mwisho Usimwonee Aibu Mumeo Jitahidi Umuzoee Uwe Waz Kumwomba Unyumba Hata Kumwandaa Mapema Akiwa Kazini Mtext Aje Anajua Unataka Mfanye Usiogope, Epuka Kuzima Taa Mnapofanya Mapenz
 
Pole sana
Inaonesha hakuna mazungumzo ndani ya mahusiano yenu
Kaeni chini muongee mjue tatizo lipo wapi na mlitatue, hiyo si hali ya kawaida
Ndoa inatakiwa iwe na afya siku zote ukizingatia mmekutana wote ni wamoja. ( bikra)

Tena mlitakiwa muwe na moto wa ajabu, khah hii ni tofauti... Mara chache ivo ndani ya mwezi!!! :A S embarassed:
 
Mumeo kabila na anafanya kazi gani?

Ana imani haba za kishirikina?

Ana waganga?
 
Haya ndio madhara ya kuoana mkiwa bikra.

Kuna umhimu wa pekee kuonjana kwanza kabla hamjaingia kwny ndoa, ww ungejua performance yake kama ni poor ungefanya uamuzi mapema.

Yy pia huenda gegedo lako ni bovu na ndio maana hatamani hata kulila. Angejua mapema asingekuoa.

Kuna wanawake papuchi zao ni kama bwawa au ni full kunuka hata atumie dawa gani haziponi???
 
Embu anza manjonjo toa dic yake nyonyaaa weee isiposimama ujue bwabwa...tatizo la nyie mnaojiita wacha Mungu mnajisahau sana mtaka formality ... Embu kuwa malaya kwa mumeo haraka sana acha kukaa kama upo bikra bado imeshatoka sawa mama ...ikishindikana mbake kabisa

Ha ha ha ha yaan kama nakuona unavyoongea
 
mlikose mwanzoni 3 Kwa mwezi mko wageni hali ilizidi kubadilika Kwa kukuzoea pili wote mkakutana mnaiga hayo mambo miaka Tisa.yeye kazoe miezi sita hamjagusana itafika mwak.jitahidi kumbadilisha we we Kwa kubadilika,km mlizoea style moja badilisha hata sita atarudi km mwanzo
 
Back
Top Bottom