hongera sana kwa kusherehekea siku ya kuzaliwa. kwa kuanzia, hebu muulize ngina atafanyeje, kama akipewa chance, kuadhimisha siku muhimu ya dadii kuzaliwa, uone atakavyokupa idea za ajabu. Mungu awajaalie maisha marefu yenye amani
Ebwanaeee hongera sana!!!!!Tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo nilizaliwa na kuongeza idadi ya watu hapo Duniani. Si haba, namshukuru muumba kwa kunifikisha hapa nilipo. Pia nawashukuru wazazi wangu, mke wangu mpendwa mama Ngina, na Wanangu Ngina, Ngano na Ngadu, bila kuwasahau wana JF, mahali ambapo pananisaidia kupunguza stress zangu za maisha…………..LOL
Tupo pamoja………………….
Ahsante King'asti. Huyo Ngina ndiye ananipa PRESHA, naogopa hata kumuuliza, maana anaweza kunigeuzia kibao kwa maswali mpaka nitakereka.............
Tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo nilizaliwa na kuongeza idadi ya watu hapo Duniani. Si haba, namshukuru muumba kwa kunifikisha hapa nilipo. Pia nawashukuru wazazi wangu, mke wangu mpendwa mama Ngina, na Wanangu Ngina, Ngano na Ngadu, bila kuwasahau wana JF, mahali ambapo pananisaidia kupunguza stress zangu za maisha ..LOL
Tupo pamoja .
hongera mkuu,nahisi umejitahidi ku-look after yourself
Yeah, nimeanza kusikia habari za Ukimwi tangu nikiwa Shule ya Msingi, na mpaka sasa zaidi ya miaka 30, tangu kuufahamu Ukimwi, bado nadunda tu........., nimejitahidi kwa kweli maana Balehe ikikujia vibaya unasahaulika mapema........................