Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
Tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo nilizaliwa na kuongeza idadi ya watu hapo Duniani. Si haba, namshukuru muumba kwa kunifikisha hapa nilipo. Pia nawashukuru wazazi wangu, mke wangu mpendwa mama Ngina, na Wanangu Ngina, Ngano na Ngadu, bila kuwasahau wana JF, mahali ambapo pananisaidia kupunguza stress zangu za maisha
..LOL
Tupo pamoja .
Tupo pamoja .