Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

Wanatokea ambao moyo wangu haujawaridhia.....lakin na amini Mungu atanipa wa kufanana nami

Mkuu hivi unaposema wanatokea ila moyo wako haujawaridhia, unataka kufikisha ujumbe gani hapa,, hivi binadamu huwa anaridhika? Au moyo wa binadamu huwa unaridhika? Na je unatambua kuwa hakunaga alie mkamilifu ambae moyo wako utaridhia 100%,, yupo?
 
Miaka yote minne ndo kashtuka Leo? Hapo ana sehemu kawekeza moyo wake tu..baas
Wote tunajua it takes two to tango, It takes two to make a relationship work , kwa nini relationship isipoworkout mara nyingi wanawake wanataka kuwa victims na kuseek sympathy huku wakisahau kwamba na wao walikuwa na responsibility to make the relationship work. We ukiambiwa bye tu na we unasepa, hapo kweli utasema ulichukua reasonable measures to make the relationship work.
 
Ni kweli mamie... Ndani ya hiyo 4yrs kawakatalia wanaume kadhaa tena waliodeserve kumuoa pasi na shaka, lakini aliwakatalia kwa ajili yake.

Anatamani siku zirudi nyuma awakubalie, lakini holla! Anatamani awatafute ili ajue kama wameshaoa lakini ni kitu ambacho hakiwezekani.

Mie nimemshauri "Kila jambo lina kusudi lake" hawezi jua ni nini kaepushiwa kwa huyo mwanaume.

Pole yake huyo bidada maskini.
Iwe funzo kwa wengine kuhoji direction na hatma ya mahusiano mapemaa yanapoanza ili ujue mnaelekea kwenye ndoa kama mambo yakienda sawa au mnakuzana tu kila mtu aendelee ku search for mume/mke.
Pengine miaka yote hiyo bidada anawaza ndoa huyo mwanaume hajawahi hata kufikiria kuwa huyo atakuja kuwa mkewe,tena bint akilaumu anamshangaa like mbona sijawahi kukuahidi ndoa mamy?
Laiti vifua vyetu vingekuwa transparent yaliyomo yakaonekana dhahiri na watutazamao!!!
 
Unaongopea Uma ndugu, Mfano mtoto kakidhi vigezo vyote, unahamu ya Papuchi, then anakuuliza una malengo gani nae, utamwambia u r only there for Sex?
Experience zinatofautiana sana bro, nilikuwa advocate mkubwa sana wa open relationships na ilo nililiweka wazi toka mwanzoni na cha ajabu sijawahi kukimbiwa au kukataliwa kwa kuwa muwazi. Keep in mind sio kila mwanamke anataka ndoa kwako.
 
Kupunguza stress ka hizi ndo mana mi nishapitisha azimio mbili MOJA:la NO FREE P(Cc lara 1 ) habari za kufunuana ovyo ovyo aisee si nzuri hata roboo..ROHO INAUMAJEEE ukiachwa,acha yani..kuna watu ntarevenge hakyanani,mistreatment was js too much i can hardly forget..
MBILI: CASUAL DATING as many guys as possible...ukizingua tu wala sikulilii sana i got options,tena uwahi uende usinipotezee waqt....mshindi ndo ntampa title in the end na nishaamua ntatulia siku navaa shela baaas...ni ujinga kumweka mtu priority in ur life wakt ye hana habari...
Mpe pole best ako mwaya ,inauma sana nahisi kupewa majibu ka hayo after 4 long years of hard screwing ukijua umepata kumbe umepatikana...

Ur rules apply in U.S nt AFRICA...
 
Last edited by a moderator:
Ni kwa nini mwanaume unampotezea bintu wa watu miaka minne halafu unaona tu kirahisi bora aende zake?? Ndiyo maana ndoa nyingi hazidumu maana laana mnazoachiwa na x wenu mliowaacha bila sababu ya msingi zinawatafuna, hapa ni kwa pande zote mbili. Kuna dada rafiki wa dada yangu alikuwa na mchumba wake na huyo mwanaume alimpenda sana. Huyo dada was a very descent girl ever seen ofcorse after my wife. Yule dada alishindwa kuwa na msimamo wa jambo fulani hivi. Basi siku yule dada anamweleza kijana kuwa haitawezekana kuendelea kijana moyo ulimuuma hadi machozi na alimwambia "fulani unaniacha umeshindwa kutetea mahusiano yetu ya muda mrefu ila utanikumbuka". Yule dada aliolewa ndoa hardly illidunu mwaka. She remained fully single parent maana jamaa despite being a Bank of Tanzania senior has abondoned the kids completely mmoja akiwa mlemavu. Huwa nikimwangalia huyu dada moyo unauma sana. They are stilk friends with my sister and she always regrets for the mistake she did. Wazazi msihusike kuatamia watoto wenu katika mamuzi ya maisha hasa ndoa. Wanagharimika baadaye.

Mkuu nimeguswa mno na mchango wako hasa kwenye eneo la uhusika wa wazazi na ndugu kwa ujumla.

Hivi kumbe ukimuacha mtu kwa sababu zisizo za msingi chances ni kwamba ww ulieacha unabeba laana sio?

Ubarikiwe sana Mkuu.
 
Hujui twapalilia ndoa......
Unafua,
Unapika,
Unapiga pasi,
Unadeki,

Hadi site unaenda kumwagilia tofali.....
Hapo ukiwajua wazaa chema hukauki kwenda kuwafanyia kazi

Pumbavu...kumbe kagugeuza msaidizi wake

Ujinga huo sikufanyaga aisee....nikija weekend nafata dudu tu.....kazi ajiri kijana wakati wangu bado

Duh mpk saiti unaenda kumwagilia tofali hhaahahaha hii kali kuliko?????
 
asikubali aende zake.... apigane kuwa nae..... may be anahitaji kudeka... amsikie anavyo mlilia...
 
Mkuu si unajua tena mahaba niue yanavyokuwa, in short hawana ugonvi labda uwe wa chini chini. Ila mpaka jana naachana nao walikuwa fresh utadhani ndio wanatongozana. Usiku wa manane napata call ya shost ananambia wamebreak up... Hata mie sikuamini aisee ila ndio hivyo jamaa kaamua kuonesha rangi yake!
Kuna Tatizo ambalo rafikiyo hataki kukwambia huyu jamaa si chizi kufanya vitu bila sababu.

Halaf rafikiyo Mbona kache lewa sana kuuliza hatma yake?
 
Mkuu hivi unaposema wanatokea ila moyo wako haujawaridhia, unataka kufikisha ujumbe gani hapa,, hivi binadamu huwa anaridhika? Au moyo wa binadamu huwa unaridhika? Na je unatambua kuwa hakunaga alie mkamilifu ambae moyo wako utaridhia 100%,, yupo?

Kuridhika kupo ukiona mtu haridhiki ujue ana pepo.Hapa mada sio ukamilifu coz kisichokamilika kwako kimekamilika kwa mwengine.
Mungu alipo ahidi kukupa wakufanana nae hakuwa mjinga.Pamoja na mapungufu ya mwenza wako basi yupo ambae atayavumilia mpaka mwisho.
 
...

"Gladdy najua unanipenda and of course na mimi nakupenda pia sana tu kama nitakosea naomba unisamehe... you are the woman na zaidi ya hayo una malengo yako hata kama nitakukosa haina shida kama utakuwa ktk mikono salama. mi nina mambo mengi nashindwa kutoa msimamo kwa sasa"

...

Tumfariji na kujifunza pia kupitia relationship hii...

Ana umri gani?
Naungana na wote wanaosapoti habari ya mtu kujua tangu mwanzo mwenzio ana msimamo gani. Na lazma mtu uone alama za nyakati mapemaaaa... Ukitoa mimba tu, hakuna future hapo. Mdada uskae usahau hilo!

Kuhusu huyo Gladi, inawezekana pia jamaa alishamwambia kitambo kuwa hakuna future ila akaamua kukomaa expecting atabadili mawazo. Wengine wana mioyo ya chuma. Hata uonyeshe huruma vipi, msimamo haubadiliki.

Besti yangu alimwambia mdada tangu mapema sana kwamba its just casual, binti kamwona mshkaji potential kaamua kukomaa nae. Kajiachia mara mimba tingas. Wakatoa 2 za kwanza. Binti bado yupo tu. Sasa ana mtoto na huyohuyo jamaa. Mchizi hajaoa na hana mpango na huyu ila mtoto analea mpaka amepitiliza! Na P anapewa bado. Mi hata sielewagi wadada wanavyowazaga...
 
Mimi hua nawashangaa sana tena hasa kinadada,unakuta mnaanza mahusiano na mwanamme kiholela halafu baadaye unaanza kutaka kuolewa kwani wakati mnaanza mahusiano mlipatana kuwa mtaoana mnafikili kila mtu utakaye kuwa naye kimapenzi basi atakuoa:

Mkuu naomba nikusahihishe kidogo... Kwa mawazo yangu nafikiri NDOA huanza na urafiki, hapa kila mmoja huanza kumfahamu mwenzie kisha wakaanza MAHUSIANO hapo ndipo utakapoamua ama kuona kama huyu Mwanaume / Mwanamke ananifaa. Kisha UCHUMBA na NDOA humalizikia.

Sidhani kama kuna NDOA ilianza from nowhere, unakutaka na mwanamke unamwambia nataka nikuoe bila hata kufahamiana au kumchunguza???

Hebu wenye NDOA mnisahihishe kama nakosea, et siku ya kwanza ulipomuona mkeo je ndio siku ulimtamkia ninataka kukuoa?????
 
Mkuu naomba nikusahihishe kidogo... Kwa mawazo yangu nafikiri NDOA huanza na urafiki, hapa kila mmoja huanza kumfahamu mwenzie kisha wakaanza MAHUSIANO hapo ndipo utakapoamua ama kuona kama huyu Mwanaume / Mwanamke ananifaa. Kisha UCHUMBA na NDOA humalizikia.

Sidhani kama kuna NDOA ilianza from nowhere, unakutaka na mwanamke unamwambia nataka nikuoe bila hata kufahamiana au kumchunguza???

Hebu wenye NDOA mnisahihishe kama nakosea, et siku ya kwanza ulipomuona mkeo je ndio siku ulimtamkia ninataka kukuoa?????

Yaani majanga......siku za mwanzoni huwez kuuliza hivyo ingawa sina ndoa.Unaweza ukaigiziwa mpaka ukome.Na wanaume pia hawezi kukwambia mapema unaweza ukajifanya wife material....kumbe wewe ni wife raw material
 
Wadau... Ni kweli kwamba Gladdy kila alipokuwa akiuliza hatma ya mahusiano alipigwa kalenda. Kila mwaka kuna sababu.

Mara sijajipanga kimaisha, mwaka wa kwanza na wa pili sababu ilikuwa hakuwa na kazi make jamaa alisota 2yrs bila kupata kazi. Hapo Gladdy anakomaa tu na hata pesa alikuwa akimpatia thou si nyingi kiviile... 3rd year ndipo akapata kazi, akamwambia ndio nimepata kazi subiri nijipange kwanza... 4th year ndio kaambulia kibuti aiseee...

Wakati hana kazi mkaka alikata tamaa kabisa, mpaka kufikia hatua ya kutaka kurudi "Ushagoo" kulima lakini Gladdy alimtia moyo sana, kamshauri sana hata afanye nini ili afanikiwe katika kupata kazi. Hatimaye akapata kazi...

Ni mengi sana Gladdy kamfanyia yule kaka, ndio maana anaumia jamani. Ana haki ya kuumia.... kama mjuavyo Mahaba nipotezee nilishindwa kumshauri kipindi anahangaika naye wakati hana kazi. Nisije kuambiwa namuonea wivu! Sasa limemkuta la kumkuta...

Wadada tusijitoe sana kwenye haya mahusiano make tukiachwa ndio kama hivi....
 
Wadau... Ni kweli kwamba Gladdy kila alipokuwa akiuliza hatma ya mahusiano alipigwa kalenda. Kila mwaka kuna sababu.

...

Wadada tusijitoe sana kwenye haya mahusiano make tukiachwa ndio kama hivi....

Charmy, ukiona hamna mwelekeo sepa tu, ikibidi usiage. Mara nyingi, kama si zote, hatima yako ipo mikononi mwako. Kuna kitu kinaitwa ku-overstay. Gladdy alifanya hicho.

Hii habari ya kusema kumsaidia mwanaume wakati wa shida haina maana! Wewe sio NGO.
Ndo maana sijawahi ruhusu msichana anisaidie kwa lolote. Labda zawadi za kawaida. Sitaki 'laana' zisizoeleweka.
 
Yaani majanga......siku za mwanzoni huwez kuuliza hivyo ingawa sina ndoa.Unaweza ukaigiziwa mpaka ukome.Na wanaume pia hawezi kukwambia mapema unaweza ukajifanya wife material....kumbe wewe ni wife raw material

Japo hauulizi siku ya kwanza, inabidi upende kumsoma mara kwa mara between the lines kujua kama ni wa ukweli ama la. Besides, uzoefu unaonyesha wa ukweli mara nyingi huwa hawana haraka ya P. Ila wadada na siku hizi ukisema unataka mfahamiane kwanza for smetime anahisi mwanaume siye coz hajaomba mchezo. Then baadae majutoooo...
 
Sio kila relationship lazima iishie kwenye ndoa. Sometimes unakua na mtu kwa ajili ya kupeana kampani tuu huku ukiangalia upepo unaendaje. ukimuona yupo poa hapo ndio unamchumbia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom