Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

Hiyo ni njia nyingine ya kumuambia anaachana na yeye...maaskini...four years?
Hivi kwa nini kila mtu katika hii scenario anamuonea huruma mwanamke, Je kama mchizi amegundua mwanamke ana tabia fulani ambazo yeye anaona itakuwa vigumu sana kuishi naya katika ndoa, Mwanaume hapo na yeye hatakuwa amepotezewa muda, kuchezewa kimwili, fedha? n.k
 
Kupunguza stress ka hizi ndo mana mi nishapitisha azimio mbili MOJA:la NO FREE P(Cc lara 1 ) habari za kufunuana ovyo ovyo aisee si nzuri hata roboo..ROHO INAUMAJEEE ukiachwa,acha yani..kuna watu ntarevenge hakyanani,mistreatment was js too much i can hardly forget..
MBILI: CASUAL DATING as many guys as possible...ukizingua tu wala sikulilii sana i got options,tena uwahi uende usinipotezee waqt....mshindi ndo ntampa title in the end na nishaamua ntatulia siku navaa shela baaas...ni ujinga kumweka mtu priority in ur life wakt ye hana habari...
Mpe pole best ako mwaya ,inauma sana nahisi kupewa majibu ka hayo after 4 long years of hard screwing ukijua umepata kumbe umepatikana...
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwa nini kila mtu katika hii scenario anamuonea huruma mwanamke, Je kama mchizi amegundua mwanamke ana tabia fulani ambazo yeye anaona itakuwa vigumu sana kuishi naya katika ndoa, Mwanaume hapo na yeye hatakuwa amepotezewa muda, kuchezewa kimwili, fedha? n.k

mwanaume huwa anachezewa kimwili??hata kama ndio,mwanamke ni zaidi,kupoteza 4 yrs si mchezo ukizingatia ukifika 30 unaanza kuonekanaje sijui,hapo hadi aje amove on probably 2 more yrs,mwanaume ht by 40 anaoa vizuri tu,mwanamke una huo ubavu????....
 
Hivi kwa nini kila mtu katika hii scenario anamuonea huruma mwanamke, Je kama mchizi amegundua mwanamke ana tabia fulani ambazo yeye anaona itakuwa vigumu sana kuishi naya katika ndoa, Mwanaume hapo na yeye hatakuwa amepotezewa muda, kuchezewa kimwili, fedha? n.k

Miaka yote minne ndo kashtuka Leo? Hapo ana sehemu kawekeza moyo wake tu..baas
 
mwanaume huwa anachezewa kimwili??hata kama ndio,mwanamke ni zaidi,kupoteza 4 yrs si mchezo ukizingatia ukifika 30 unaanza kuonekanaje sijui,hapo hadi aje amove on probably 2 more yrs,mwanaume ht by 40 anaoa vizuri tu,mwanamke una huo ubavu????....

Si ndo hapo sasa? Eti anachezewa
 
Si ndo hapo sasa? Eti anachezewa

ukilega lega menopause hyo,mara fibroids sijui,ili mradi complications za uzee zinakuanza na mtu wa kueleweka huna...mwanaume hana hizo,hata by 70 anazalisha mwanamke vizuri tu..
 
mambo ya kupigwa FREE P hayo!(source lara 1) 4 years mtu anajigongea tuu kwa raha zake hahahahaha!
hope she also enjoyed the screwing!!
 
Last edited by a moderator:
Vijana wengi wanaogopa maisha hasa kipato kiishuka na ndani ya uhusiano wenu hamjafanikiwa kupata ka baby hiyo ni sababu tosha kwa wanafamilia kumshauri mmoja wetu kuachana na mahusiano..........fikiria miaka 4 hakuna kutema mate, kula udongo, Embe mbichi wala kuchagua vyakula.................Ila hayo ndiyo maisha yalivyo hujui mungu ana mpango gani nanyi..............Ana mashinikizo ya Nje huyo................. kaa nae tena muende sehemu Tulivu tofauti na sehemu mulizozizoea akueleze kulikoni hata kama jambo hilo anahisi litakuumiza roho, mushauriane nini kifanyike...........nionavyo mimi hata yeye anaumia kuachana nawe utafanya kosa kumuacha mwenzi wako akiumia kwa mashinikizo ya nje..............
Ndoa ni ya watu wawili tu bana......................
 
4yrs!kisha umbwage?wengine hawaachiki,vyombo vya udongo vyote umevunja kwa kumbirua birua umebakiza vya bati2 amshushe kishipa tu ajiunge na taifa stars.
 
Huyo dada alishindwa kumsoma mwenzake. Kuna wanaume ni waoga kuambiwa kitu au kuonesha kutaka sana commitment, inamshtua kijana wa namna hiyo. Mi nakwambia ukweli km wangeendelea kuishi km walivyokuwa wakiishi wangefika alipopata mwanamke ila mipango ya mwanamke haikupangika vizuri.
Mwanamke akipangilia vzr kuhusu mahusiano atafika mbali. Jaribu kuwa wapole na msifosi kihivyo,wanaume wengi wanaogopa ukianza tabia ya lini unanioa,lini harusi,harusi yetu itafanyikia Serena hotel au diamond jubilee n.k. utapewa jibu la "bado nina mambo mengi"
 
Inauma ujue, yani mtu akupotezee 4 good years uwii. But kama ulivyosema, ngoja tujipe tu moyo kuwa hajui Mungu anamuepusha na nini. Hamna haja ya kujutia hao wanaume aliowakatalia before, kama washaoa basi ajue hakupangiwa aolewe nao, Mungu atampa wa kwake kwa wakati wake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

lakn wakat mwingne hata bahat tunapishana nazo kwa njia kama hizo.
Naye alikorea vip? Miaka 4 bila kuhoji chochote! Wakat wenzake wiki tu washajua kila kitu
 
Ila wasichana karibia 99% huwa wanaona hivi viashiria lkn huvipuuza

huwa ni wepesi wa kusahau.
Lakn yawezekana ndivyo walivyoumbwa na Mungu.
Mbona hata wakat wa kuzaa kuna baadhi wanasema hawata zaa tena. Lakn baada ya siku tu kasahau uchungu wote
 
Wanatokea ambao moyo wangu haujawaridhia.....lakin na amini Mungu atanipa wa kufanana nami

kuchagua huko mwisho wa siku utakuja shtuka una miaka 35 lakn bado hajatokea unayemkubali hapo ndio taa nyekundu znaanza kumulika
 
lakn wakat mwingne hata bahat tunapishana nazo kwa njia kama hizo.
Naye alikorea vip? Miaka 4 bila kuhoji chochote! Wakat wenzake wiki tu washajua kila kitu

Tusimlaumu sana mdada, ukute yeye alishaona kuna mwelekeo hapo, coz inaonesha walikuwa ok kabisa ila hatujui kilichomkuta bwana hadi akasema its over.

Ujue girls tunajidanganyaga sometimes, ukute hapo mjamaa alimtambulisha kwa some of his friends na ndugu wawili watatu wakawa wanamuita wifi/shemu basi akajua ndoa nishapata kumbe mweeee.
Kuwa commited nako kuna risks zake, ndo kama hivi umemganda mtu mmoja miaka 4, ukawakataa wengine afu leo unabwagwa tu easyyy jamani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
shit happens....mi nilikaa miaka 5 yote chuoni nikiwa na mpenzi mmoja na nilijua ndo ntakayemuoa but siku naanza UE ndo akaniambia amepata bwana mwingine na ndio atakayemuoa,was so heart broken but maisha yanaendelea.juzi kanipigia simu jamaa kamtema kaoa nwengine,nikamwambia nina mtu na a beautiful bby girl.life goes on
 
Muda unakuja ambapo hata hao unaohisi moyo wako 'haujawaridhia' utawatafuta kwa tochi. Tunasubiri thread yako Love Connect :') #GodForbid

ndivyo inavyokuwa mbaya zaidi itafika baadae anaweza kumpata anayemuona anafaa halafu kumbe yeye hatana mda naye yatakuwa ya mwenzake hapa.
Hapo ndio inakuja ningejua.
 
well said. Wanawake wanamachaguzi sana, yaani wanapenda mtelezo kama kakanyaga ganda la ndizi.... Wanakuja wanaume kibao wenye nia ya dhati nao, lakini wanaconcentrate na mabishoo wa mjini. huko hamko pekee yenu, mpo wengi mnaotafuta afadhali ktk maisha. Mtaishia kulaumu na as your age goes high, chances za kuolewa zinashuka, mtaishia kuwa viburudisho. Mwache asubiri her own creation huyo.....

naona umpe fact iliyo bora. Wataishia kutuondolea stress tu
 
mmmmh... acha marketing kijana, mpaka sasa kama huna basi ww muhuni tuu kama mimi. acha kuwazuga na story za kuwaoa

Marketing kitu gani??

Hivi kwa akili yako humu kuna wanawake wa kuoa??

Kama ukiamua kupata wa kupiga wengi tu, tena nje ya JF mkuu.

JF is never the ultimate source of girls.

Welcome to the world
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom