Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

I married when i woz 25 nw its 6yrs i knw the challenges mtu anazotakiwa kuzikabili once anapoamua kuwa commited.

Challenges haziepukiki coz zipo....yupo mwanamke ambaye muoaji anaona anaweza kuwa mke.Yeye hajapewa hiyo thamani.....huyo binti ni bora aachane nae.
Hapana chezea moyo....anaweza akatokea binti amempenda hata miez sita mingi akatangaza ndoa.
Ila hongera kwa kuoa mapema rafiki
 
Ukioa mapema kuna raha yake.
 
So u will nvr stay wit a guy for 4yrs without a commitment?

Wakati mwingine hayo mambo yanaeda na bahati unapata mtu ambaye yupo ready bt for nw vijana wagumu kuoa anataka ale maisha kwanza

maisha yenyewe yako wapi Nokia83 sema channel bado chenga tu,watu wanahofia kelele ndani
 
Last edited by a moderator:
Yeah mkuu... Ila nami nimemsaidia kwa ushauri wakati flani...kuna kipindi alitaka ategeshe mimba, lakini nikamkataza make ndio angebug square, make jamaa inaonekana hakuwa na future naye kabisa. Ndio angekuwa single mother ama angeolewa jina tu!

Yaani hapo ndio huwa tunakosea wanawake....
Kwa nini umtegeshee mwanaume mimba ? Ni fikra mbaya sana na wanawake wengi hufanya hivyo...

Pls pls ladies abegiiooo tuwe tunasoma alama za nyakati ukiona mwanaume hana future na wewe jisepeshe taratibuuu
 
Pole yake ....kuna rafiki yangu alikuwa kwenye mahusiano boy wake kwa miaka 6 fikiria ....
Kibaya zaidi kila akipata mimba mwanaume anamwambia toa kuzaa mpk tukioana
Mwisho wa siku boy wake anamwambia sioi leo wala kesho mpka nijipange naomba nikuache huru upate mwanaume mwingine akuoe

Can u imagine? Miaka 4 bado umeganda kwa mtu ambaye hana malengo nawe?

Ifike wakati wadada tujitambue na tuwe na upeo wa kuchanganua mambo na kujua huyu nilienae ni colour gani red or white?
Kuliko kuwa na relationship ya kizombi

Ukiwa na mtu anakwambia utoe mimba tuu ujue hamna future hapo.
 
Yaani hapo ndio huwa tunakosea wanawake....
Kwa nini umtegeshee mwanaume mimba ? Ni fikra mbaya sana na wanawake wengi hufanya hivyo...

Pls pls ladies abegiiooo tuwe tunasoma alama za nyakati ukiona mwanaume hana future na wewe jisepeshe taratibuuu

Ajira ngumu....yaani binti akiona kijana mambo yamemnyookea kidogo anaona hapo ndo pakumnasa.
 
Yaani hapo ndio huwa tunakosea wanawake....
Kwa nini umtegeshee mwanaume mimba ? Ni fikra mbaya sana na wanawake wengi hufanya hivyo...

Pls pls ladies abegiiooo tuwe tunasoma alama za nyakati ukiona mwanaume hana future na wewe jisepeshe taratibuuu
Nimependa ujumbe wako..wasichana huwa wanaona dalili zote lkn wanakaa tu kwanini..!?
 
Hilo nalo litapita.....

Ndo risk za mapenzi hizo

Ajikung'ute vumbi aanze upya
 
Mpe pole rafikio

Alishindwa kusoma alama za nyakati..... alipoambiwa atoe mimba ya kwanza tu pale pale jibu alishapewa

Pole yake ....kuna rafiki yangu alikuwa kwenye mahusiano boy wake kwa miaka 6 fikiria ....
Kibaya zaidi kila akipata mimba mwanaume anamwambia toa kuzaa mpk tukioana
Mwisho wa siku boy wake anamwambia sioi leo wala kesho mpka nijipange naomba nikuache huru upate mwanaume mwingine akuoe

Can u imagine? Miaka 4 bado umeganda kwa mtu ambaye hana malengo nawe?

Ifike wakati wadada tujitambue na tuwe na upeo wa kuchanganua mambo na kujua huyu nilienae ni colour gani red or white?
Kuliko kuwa na relationship ya kizombi
 
Mpe pole rafikio

Alishindwa kusoma alama za nyakati..... alipoambiwa atoe mimba ya kwanza tu pale pale jibu alishapewa

Tatizo ukimwambia ukweli kuhusu boy wake "anajibu mwezenu nampenda we acha tu"
Alipokuja kutakiwa maneno hayo alilia kama amefiwa na kukumbuka ushauri aliokuwa anapewa na watu zake wa karibu
 
Ndio maana tunapaswa kujifunza kupitia wengine...
Ni kweli kabisa watu hujifunza kupitia matukio mbali mbali. Lbd niseme nanyi vijana usikubali mahusiano yasio na malengo, inawezekanaje ukae na mtu 4 yrs bila malengo eeeeeh mbona haiingii akilini afadhari ingekua kakaa uchumba 4 yrs then mwenzake kaamua kummwaga hilo linaeleweka lkn muda wote huo ni urafiki tuu mmmmh .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom