Huu ndo msimamo ulio bora kwanini upotezewe hata mwaka 1 kumbuka muda ni mali upoteapo hakuna namna ya kuurudisha. Kila kitu ufanyapo yapasa kuwa na malengo hata kusoma ni lazima uwe na malengo kuwa je baada ya kumalizaa what next. Mungu ni mwema atampa kwa wakati na asijilaumu kwa kuachwa bali aangalie signal alizoignore wakati wa relationship yao kwani hilo ni muhimu ili asije akarudia makosa.Ndio maana sitaki vijana wanaotaka kula ujana, nataka waliokwisha maliza kula ujana!! 4 good years aisee hapana....
Ndivyo ilivyo mkuu binadamu tumetofautiana mno. Mwingine anatafuta mtu mpole na mstaarabu huku mwingine mtu wa dizaini hiyo anamuona mshamba.Binadamu sometimes sijui tupoje, kuna wengine tunatafuta stable relationships tuoe, wengine wanacheza kamari chooni. Dahhhh
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
Wanatokea ambao moyo wangu haujawaridhia.....lakin na amini Mungu atanipa wa kufanana nami
Binadamu sometimes sijui tupoje, kuna wengine tunatafuta stable relationships tuoe, wengine wanacheza kamari chooni. Dahhhh
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
Muda unakuja ambapo hata hao unaohisi moyo wako 'haujawaridhia' utawatafuta kwa tochi. Tunasubiri thread yako Love Connect :') #GodForbid
Habari zenyu bana....
"Gladdy najua unanipenda and of course na mimi nakupenda pia sana tu kama nitakosea naomba unisamehe... you are the woman na zaidi ya hayo una malengo yako hata kama nitakukosa haina shida kama utakuwa ktk mikono salama. mi nina mambo mengi nashindwa kutoa msimamo kwa sasa"
Ni maneno aliyoambiwa rafiki yangu usiku wa kuamkia leo. Anasema alihisi dunia imegeuka Up-side down. Moyo ulisimama kwa ghafla make hakuamini alichoambia na mwanaume ambaye amedumu naye miaka 4 akiamni ndiye mume wake mtarajiwa.
Aisee inauma sana..
anadai hakuna mkwaruzano wala ugomvi. Bali aluitaka tu kujua mwanaume ana msimamo gani make walikuwa wanakwenda tu bila kujua hatma ya mahusiano yao.
Tumfariji na kujifunza pia kupitia relationship hii...
Habari zenyu bana....
"Gladdy najua unanipenda and of course na mimi nakupenda pia sana tu kama nitakosea naomba unisamehe... you are the woman na zaidi ya hayo una malengo yako hata kama nitakukosa haina shida kama utakuwa ktk mikono salama. mi nina mambo mengi nashindwa kutoa msimamo kwa sasa"
Ni maneno aliyoambiwa rafiki yangu usiku wa kuamkia leo. Anasema alihisi dunia imegeuka Up-side down. Moyo ulisimama kwa ghafla make hakuamini alichoambia na mwanaume ambaye amedumu naye miaka 4 akiamni ndiye mume wake mtarajiwa.
Aisee inauma sana..
anadai hakuna mkwaruzano wala ugomvi. Bali alitaka tu kujua mwanaume ana msimamo gani make walikuwa wanakwenda tu bila kujua hatma ya mahusiano yao.
Tumfariji na kujifunza pia kupitia relationship hii...
well said. Wanawake wanamachaguzi sana, yaani wanapenda mtelezo kama kakanyaga ganda la ndizi.... Wanakuja wanaume kibao wenye nia ya dhati nao, lakini wanaconcentrate na mabishoo wa mjini. huko hamko pekee yenu, mpo wengi mnaotafuta afadhali ktk maisha. Mtaishia kulaumu na as your age goes high, chances za kuolewa zinashuka, mtaishia kuwa viburudisho. Mwache asubiri her own creation huyo.....
Asilimia kubwa ya masista duu kama hawa huwa wanaishia kuolewa na vijeba tu, hasa baada ya umri kuwatosa. Nina mifano kadhaa ya wamama waliokuwa na tabia ya kukataa wachumba wakati wa usichana wao wameolewa na watu wa kawaida sana, tena ndoa za kufosi kingi (kama style za akina VK).
Majanga! Yaani sasa hivi inatakiwa mtu akikutokea unamuuliza unataka nini? Mke, mshkaji ama casual relationship?
halafu na sie wanawake kujiachia sasa, wknd unaenda kufua na kuchubua kucha, kupika, sijui usafi hahaha. My bro alishawahi kudate mmachame mmoja akawa analalamika. Mdada akienda kwake, zaidi ya sex, tv na mitoko hakuna! Yule dada alikuwa ana akili sana manake nae sijui aliishia wapi japo walidate kama miaka 7 nnayoijua.

Inashangaza sana wanawake hawa hawa kabla ya kupanda dala dala, au kusafiri lazima wajue na watauliza hilo gari linaenda wapi,sasa mbona wanapoanza mahusiano wanashindwa kumuuliza mwenzake hiyo relationship mwisho wake wapi. Ukiona mchizi anakidhi vigezo vyako hutaki hata kuongelea destination yenu, fasta unavua chupi mwenyewe baadae unakuja kulalamika playing the blame game na kujifanya we ndio victim, You are responsible for your own actions, stop being a cry baby and grow up.