CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
- #21
Huyo shoga yako alikuwa wapi mda wote huo hakuwahi kuuliza kama mahusiano yao yalikuwa part time au la. Nahisi kamuvuruga mshikaji akaona ajiweke pembeni
Mkuu si unajua tena mahaba niue yanavyokuwa, in short hawana ugonvi labda uwe wa chini chini. Ila mpaka jana naachana nao walikuwa fresh utadhani ndio wanatongozana. Usiku wa manane napata call ya shost ananambia wamebreak up... Hata mie sikuamini aisee ila ndio hivyo jamaa kaamua kuonesha rangi yake!