Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

Japo hauulizi siku ya kwanza, inabidi upende kumsoma mara kwa mara between the lines kujua kama ni wa ukweli ama la. Besides, uzoefu unaonyesha wa ukweli mara nyingi huwa hawana haraka ya P. Ila wadada na siku hizi ukisema unataka mfahamiane kwanza for smetime anahisi mwanaume siye coz hajaomba mchezo. Then baadae majutoooo...

Mahusiano ni zaidi ya tuyafikiriavyo kwa urahisi.....huyu binti kuna vitu alivipuuzia hapo awali.
 
Huwezi jua huyo aliyeachwa huenda alikuwa anampiga sana mizinga jamaa so solution ndo hiyo even though jamaa alivumilia for 4 years.
 
Moyo ulisimama kwa ghafla make hakuamini alichoambia na mwanaume ambaye amedumu naye miaka 4 akiamni ndiye mume wake mtarajiwa.

How come aliamini kuwa ni mume wake mtarajiwa? Kwani alikuwa amemchumbia? Alikuwa amem-promise kuwa atamwoa?

Yaani umekaa na mwanaume miaka minne hajatoa signs zozote za kutaka kukuoa halafu unaamini kuwa ni mume wako mtarajiwa? Tena in this very competitive world?

Hivi siku hizi kuwa girlfriend wa mtu ndiyo guarantee ya kuolewa nae? A girlfriend is simply a girlfriend. Kuwa girlfriend haina maana kuwa lazima utakuja kuolewa na huyo boyfriend.

You girls need to understand this. Wengine tukiamuangalia msichana kwa mara ya kwanza tuu tunajua wazi kama ni "girlfriend material" or "wife material". So, the fact that wewe ni girlfriend material does not necessarily mean that you are wife material.

Laiti angemwambia kuwa nivumilie mpaka hapo baadae nitakapokuwa nimejipanga hapo sawa. Lakini kuambiwa kuwa "Saivi nina mambo mengi nashindwa kuamua" ina maana hata hayumo kwenye plan zake...

Yaani wewe ulitaka amdanganye? Kwa nini mnapenda sana kudanganywa?

Ni kweli mamie... Ndani ya hiyo 4yrs kawakatalia wanaume kadhaa tena waliodeserve kumuoa pasi na shaka, lakini aliwakatalia kwa ajili yake.

Hii hata uniuzie kwa bei gani sinunui. Kama nia yake ilikuwa ni kutaka kuolewa si angewakubalia hao aliowakatalia?

Tena unadai they "deserved" to marry her. How come aliwatosa the "deserved" akaamini kuwa ataolewa na "undeserved"? Anawakataa waliomwona ni wife material na kujikita na aliyemwoma ni girlfriend material. Halafu hapo hapo unataka kumlaumu mwanaume kwa kumwambia ukweli badala ya kumdanganya.

Kama mwanaume wa ukweli amekupenda kweli na anataka kukuoa kikweli, then he won't date you for four years. What for? Hapa sizungumzii "boys" bali "men". You can date with boys as long as you want, lakini hawatakuoa.
 
Habari zenyu bana....

"Gladdy najua unanipenda and of course na mimi nakupenda pia sana tu kama nitakosea naomba unisamehe... you are the woman na zaidi ya hayo una malengo yako hata kama nitakukosa haina shida kama utakuwa ktk mikono salama. mi nina mambo mengi nashindwa kutoa msimamo kwa sasa"

Ni maneno aliyoambiwa rafiki yangu usiku wa kuamkia leo. Anasema alihisi dunia imegeuka Up-side down. Moyo ulisimama kwa ghafla make hakuamini alichoambia na mwanaume ambaye amedumu naye miaka 4 akiamni ndiye mume wake mtarajiwa.

Aisee inauma sana..
anadai hakuna mkwaruzano wala ugomvi. Bali alitaka tu kujua mwanaume ana msimamo gani make walikuwa wanakwenda tu bila kujua hatma ya mahusiano yao.

Tumfariji na kujifunza pia kupitia relationship hii...

Honestly tunachofanya saa nyingine sisi baadhi ya w/ume sio fair kabisa kama Binti wa watu huna nia nae ni kumuambia tu ukweli kuliko kumpotezea muda, just imagine 4 years aisee ni Uchumba Sugu hadi apate tena mwingine ni muda unaenda wakati kwetu sie ni any time ukitaka kuoa unaoa sasa huyo Binti hadi ije proposal aisee.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Charmy, ukiona hamna mwelekeo sepa tu, ikibidi usiage. Mara nyingi, kama si zote, hatima yako ipo mikononi mwako. Kuna kitu kinaitwa ku-overstay. Gladdy alifanya hicho.

Hii habari ya kusema kumsaidia mwanaume wakati wa shida haina maana! Wewe sio NGO.
Ndo maana sijawahi ruhusu msichana anisaidie kwa lolote. Labda zawadi za kawaida. Sitaki 'laana' zisizoeleweka.

Yeah.. Ni kweli alijisahau. Na mara nyingi wadada tunawasaidia wanaume tukidhani ule msaada ndio utamfanya aone tunafaa kitu ambacho sio hata kidogo...
 
Marketing kitu gani??

Hivi kwa akili yako humu kuna wanawake wa kuoa??

Kama ukiamua kupata wa kupiga wengi tu, tena nje ya JF mkuu.

JF is never the ultimate source of girls.

Welcome to the world

Mkuu sio wote kuna wapo ambao wameshaolewa na wana ndoa zao humu au wengine tayari wachumba wa watu wanasubiri ndoa! Vile vile wapo vicheche

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
shit happens....mi nilikaa miaka 5 yote chuoni nikiwa na mpenzi mmoja na nilijua ndo ntakayemuoa but siku naanza UE ndo akaniambia amepata bwana mwingine na ndio atakayemuoa,was so heart broken but maisha yanaendelea.juzi kanipigia simu jamaa kamtema kaoa nwengine,nikamwambia nina mtu na a beautiful bby girl.life goes on
kibuti ulipigiwa Kagera au Pangani mkuu? Halafu huyo mwanamke si angekuacha umalize UE ndio akupige cha mbavu
 
Duh maskini gladi wa watu mpe pole sana .unajua alikosea sana kukaa na mtu for 4yrs bila kujua msimamo wake manake angeliuliza hili ndani ya 6 months lingekua na maana zaidi. Sasa yeye kaona mwaka wa kwanza umepita kakauka tu , wa pili nao kanyamaza haulizi hadi huu wa 4 ndo anauliza , aisee mmmmhh hilo ni bonge la mistake

angeweza kuuliza na akadanganywa vile vile. mie nimempenda huyo kaka kamwambia ukweli. angeweza mpotezea miaka mingne zaidi. halafu mwanaume kama ana malengo na ww sio mpaka umuulize, wenyewe huwa wanajisesemesha semesha huku matendo yao yakishabihiana na wanachosema.
 
Kweli rafiki lkn hebu nisaidie hivi waweza anza safari na mtu bila kujua mnaelekea wapi, nakubali kwa siku za mwanzo kama 3 months hivi je baada ya hapo mnakua mnaenda tuuuu bila kujua mwelekeo. Hata hivyo huenda mimi nakosea manake ingekua mtoto wa form one hapo sawa lkn mtu mzima. unaanza uhusian na mtu kweli bila kujua mwelekeo for 4 good yrs. Aisee bora udanganywe lkn si kwenda kichwa kichwa . Je ktk kipindi hiki chote mnatambulishanaje.
 
Sio kila relationship lazima iishie kwenye ndoa. Sometimes unakua na mtu kwa ajili ya kupeana kampani tuu huku ukiangalia upepo unaendaje. ukimuona yupo poa hapo ndio unamchumbia..

hili ni la ukweli pia sio kila mahusiano yanaishia kwenye ndoa
 
How come aliamini kuwa ni mume wake mtarajiwa? Kwani alikuwa amemchumbia? Alikuwa amem-promise kuwa atamwoa?

Kama mwanaume wa ukweli amekupenda kweli na anataka kukuoa kikweli, then he won't date you for four years. What for? Hapa sizungumzii "boys" bali "men". You can date with boys as long as you want, lakini hawatakuoa.
Uko sahihi mkuu hapa ni vema tukaangalia kosa la huyu dada iweje udate na mtu 4 yrs bila kujua mwelekeo wenu manake toka mnaanza mahusiano kila mmoja anaonyesha nia yake ili kama zinamatch then mnaendelea na mahusiano huku mkiyaangalia malengo yenu. Hapa inabidi wadada wabadilike wajue kuwa hakunaga muda wa kupoteza yafaa ufanye maamuzi mapena kama utaishi single au unataka kuwa married otherwise utadate na mtu bila kujua hatma yake.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hili ni la ukweli pia sio kila mahusiano yanaishia kwenye ndoa
Asante rafiki umenisaidia kuelewa unajua nilikua napata shida kuelewa hili kumbe kuna watu wanakua kwenye relationship kwa sababu ya company tu according to @ mafinyofinyo. Lkn hebu tujiulize unampaje mtu company for 4 yrs hapa mdada kuna mahala alikosea nafikiri.
 
Nlishakataaga kuamini mtu...kumbe nlikua sawa..kusema kwel tujifunze kupokea lolote kutoka kwa watu tunaowapenda..ingekuwa mie ni rafki ako ningemjibu huyo mwanaume jibu ambalo lingemfanya dushe lake li stack mwenzi mzima!!! Polee yake mapenz ndivo yalivyo
 
Kweli rafiki lkn hebu nisaidie hivi waweza anza safari na mtu bila kujua mnaelekea wapi, nakubali kwa siku za mwanzo kama 3 months hivi je baada ya hapo mnakua mnaenda tuuuu bila kujua mwelekeo. Hata hivyo huenda mimi nakosea manake ingekua mtoto wa form one hapo sawa lkn mtu mzima. unaanza uhusian na mtu kweli bila kujua mwelekeo for 4 good yrs. Aisee bora udanganywe lkn si kwenda kichwa kichwa . Je ktk kipindi hiki chote mnatambulishanaje.

bora udanganyweee!!!??? mkidanganywa mnakuja kulalamika mmepotezewa muda.
shosti kadanganywa kwa love na cares for 4 years sahv unamuonea huruma na bado unaakubali kuwa kudanganywa ni bora zaidi. waliosema mwalimu wetu kipofu kweli hajakosea.
 
Kudanganywa si sawa lkn ukilinganisha na kukaa kibubububu kwa miaka 4 naona heri hata ungedanganywa. Narudia tena kudanywa si vema na kibinadamu haikubaliki kwanini uanze mahusiano na mtu huku ukijua huna future nae.
 
i see!!! kwangu mim kudangaywa ni mbaya sana. bora twende hiyo kibubu bubu nikiona hailipi nafanya maamuzi magumu.
watu wanadanganywa wanajiachia na matokeo yake ndo hayo. kumbe ndo maana wanaume hawaachi kudanganya.
 
Uko sahihi kwani kila binadamu yupo sahihi ktk mtazamo wake lkn naamini huwezi kaa miaka 4 kibubu bubu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom