Kama mnavyoteseka hapa jukwaani na huko ndoani mtateseka hivyo hivyo 😁Aisee! 😂
Yamekuwa hayo tena
Je unajua madhara ya kuto kuwa na ndoa(familia)sio 30 tuu hali inaendelea na miaka inafika.
itafika wakati 40+ kawaida
50+ kawaida
na itafika wakati kuoa itakuwa jambo la kushangaza?????????????
huko ndio enlightment na kukua kiakili.
vijana wengi sasa wamesoma na wamefundishwa kuishi kwa maswali na kujibu kama elimu zetu.
vijana wameona ni maramia wazalishe na kuwa na watoto ila ndoa Harusi na MIkataba ya wawili Mwiko.
zamani dalali alikuwa sawa kabisa na tapeli,..lakini kwasasa madalali wana ofisi na kutambuliwa kabisa na serikali,.... kikubwa kijana usitake vya bure, usivunje sheria, acha tamaa, uvivu pia punguza anasa,...Sawa sawa kiongozi, ikiwezekana kuwa. Winga kabisa sio
Ni kweli, wanasema kuwa mjanja mjinizamani dalali alikuwa sawa kabisa na tapeli,..lakini kwasasa madalali wana ofisi na kutambuliwa kabisa na serikali,.... kikubwa kijana usitake vya bure, usivunje sheria, acha tamaa, uvivu pia punguza anasa,...
Uliza Watawa mapadre masista ma monk na kamuulize general flani wa marekaniJe unajua madhara ya kuto kuwa na ndoa(familia)
Hao hawazaiUliza Watawa mapadre masista ma monk na kamuulize general flani wa marekani
We mbunye hauna?Kila nikikumbuka kwamba hizi hela zangu nimkabidhi tu mtu azile buree kisa tu ana mbunye naishiwa pawa.
Ninayo tena nzuri tuWe mbunye hauna?
Hakika vijana wengi wanashindwa maisha mjini lakini wanataka kuendelea kukomaa tuNimerudi zangu kijijini maisha yanaenda angalau. Nilianza na kuku Sasa nina mbuzi 16. Mwakani nataka nivute ng'ombe wa maziwa. Malengo yangu kufika 2030 ni kumiliki biashara ya mgahawa, pub na mashamba ya matunda.
Endeleeni kubanana mjini mkishindana kununua Samsung na Iphone pamoja na smart tv kubwa
Au sio.....Hapana si wanasema wanawake wa jf ni choka mbaya? Wa mtaani hawana drama bwana
Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao.
Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili.
Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana sana na kutufanya iwe ngumu sana kwa kijana mwenye umri huo, ambaye kwa miaka 20 nyuma tayari angelikuwa na mianya yake mingi ya hela. Nakumbuka kabla hata mzee wangu hajaoa in his mid 20s tayari alikuwa anamiliki Suzuki.
Tayari alikuwa na mshamba, alikuwa na uwezo wa ulisha familia na ndugu pande zote. Yaani najiuliza, why bado tunaishi na mentality za kudhani kuwa ajira inaleta stability wakati hata wages unayo lipwa haiwezi kukufanya uwe stable.
Ndoa hazidumu pia kwasababu hiyo hiyo, ni stress juu ya stress tu. Yaani mtu unalipwa 2m ila bado Ukisema ujenge financial stability inakuwa ngumu maana running cost nazo zinakuitaji, ukinunua kiwanja kuja ukajenge nako mtihani, ukipanga unaishia kuendelea kupanga tu na wazo la kujenga hata haliji maana kila Mshahara unakuta umekaa kila angle.
Sasa hata mkianza kuwa laumu vijana kushindwa kujitegemea mnakuwa mnakosea Hakika maana zama nazo zimebadilika.