imekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SanArt

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 bila mke imekuwa kitu cha kawaida sana

    Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao. Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili. Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, pombe imekuwa silaha mpya ya kisiasa ya Ruto dhidi ya wakosoaji wake?

    Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo. “Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
  3. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

    Nimekuwa na changamoto ya kutumia mtandao wa X kwenye Laptop yangu Ninatumia mtandao wa X zamani tweet kwa miaka kadhaa.Lakini imekuwa changamoto sana kwenye Laptop yangu Tangu matumizi ya VPN yaanze kutumika. Naomba kujua namna notakavyo Counter hili tatizo. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom