Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,506
Tupo Hapa,tunakula mayi...Nimetoka hapo silk muda siyo mrefu[emoji4][emoji4],kwema mkuu??
Tupo Hapa,tunakula mayi...Nimetoka hapo silk muda siyo mrefu[emoji4][emoji4],kwema mkuu??
....🙏🙏🙏....Never lose hope you never know what tomorrow may bring.... nilipokua na miaka 26 baada ya kumaliza chuo kikuu nilikua sina chochote zaidi ya begi langu la nguo. Two years later nikiwa na miaka 28 nilipata dili moja matata sana kazini nikapata kila kitu nilichokihitaji kuanzia nyumba ya maana sana, gari na mke na mtoto juu. Hii ina maana kwamba huwezi kujua kesho yako so kukata tamaa ni dhambi kubwa sana .
Kaka angu mkubwa amepata kazi yake ya kwanza akiwa na miaka 35 baada ya kusota karibu miaka 10 bila kazi. Kazi yenyewe ya mshahara wa laki 4 as gross ila hakukata taa, amekuja kushika pesa za ajabu akiwa na miaka karibu 45. Kwa sasa ni tajiri mkubwa sana kutoa misaa ya million 5 hadi 10 kwenye familia sio kitu cha ajabu kwakwe.
So please never lose hope, you never know what tomorrow may bring.
By the way, in order to be the best you need to survive the worst.
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ushauri kuntu kabisa huu ShadeeyaPole. Yakupasa uelewe kwamba hata vidole huwa havilingani.
Hivyo Jikune sehemu mkono wako unafika mana ukiendelea kuumiza kichwa mwishowe utajikuta unafanya kazi za haramu ilimradi nawe uwe na majumba.
Ila miaka 28 bado sana sana, don't be too hard on yourself, wewe jipange tu, na pia, ukarimu wako kwa ndugu uendelee, utakayo yatakuja tu baba, hayana haraka kama udhaniavyo, piga kazi, fanya savings, jipange, utapata tu, tena kihalali, achana na "peer pressure" waweza kuwa mwizi...Husika na kichwa cha habari tajwa.
Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 28 , roho inaniuma kuona similiki nyumba wala gari, kila nikiingia JF nahuzunika kuona majamaa yalivotusua in life.
Mara nina nyumba 3, huyu 5, mara nina gari 4, huku mimi nikijiona mnyonge kweli kweli.
Nimwajiriwa wa serikali, kilichonigharimu nimewahi kupokea ndugu sana kabla sijajipanga vizuri. Kila nilkijiitahidi kumeki lakini wapi.
Nipeni maujanja ili nami nitusue kimaisha. Mamake wenzangu tuloanza nao katika ukuaji ama kuajiriwa, wako mbali mno kimaisha.
Kusema ukweli utanaduni wa ndugu kumtegemea ndugu yao ni shida. Sijui suluhisho lake ni nini. Ndugu wanatuvuna sana kana vile walipanda mbegu kwente hustling zetu.Unajua hatua za kuanza kuwa na nyumba? Tafuta kiwanja, mdogo mdogo anza kujenga. Acha kulalama bila sababu ya msingi. Kusaidia ndugu kunapita, na saidia kwa kadiri ya uwezo wako sio kumsaidia mpaka unakosa kujiwekea akiba na uwekezaji.
Mshukuru Mungu mpk hpo ulipo hebu fikira wagonjw waliona umri km wako na wapo kitandan kwa miaka 10Husika na kichwa cha habari tajwa.
Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 28 , roho inaniuma kuona similiki nyumba wala gari, kila nikiingia JF nahuzunika kuona majamaa yalivotusua in life.
Mara nina nyumba 3, huyu 5, mara nina gari 4, huku mimi nikijiona mnyonge kweli kweli.
Nimwajiriwa wa serikali, kilichonigharimu nimewahi kupokea ndugu sana kabla sijajipanga vizuri. Kila nilkijiitahidi kumeki lakini wapi.
Nipeni maujanja ili nami nitusue kimaisha. Mamake wenzangu tuloanza nao katika ukuaji ama kuajiriwa, wako mbali mno kimaisha.
Mkuu. Mi nagonga 70 Julai na sina kitu wewe 28 ndiyo unapaniki. Tulia maisha ndo yanaanza !!!
Pia epuka sana dhambi ya kujilinganisha na wengine kwa sababu hata ufanyeje kuna watu ambao watakuzidi tu. Keep your pace, muombe Mungu na makinikia sana malengo yako uliyojiwekea huku ukirekebisha mapato na matumizi yako na kuchakarika huku na huko.
Na pia kumbuka kwamba kati ya wenzio hao unaowarejelea naamini kuna wengine tayari wameshatangulia mbele ya haki. Ile kuwa hai bado ni mibaraka tosha
Mungu awe, ushauri mzuriIla miaka 28 bado sana sana, don't be too hard on yourself, wewe jipange tu, na pia, ukarimu wako kwa ndugu uendelee, utakayo yatakuja tu baba, hayana haraka kama udhaniavyo, piga kazi, fanya savings, jipange, utapata tu, tena kihalali, achana na "peer pressure" waweza kuwa mwizi...
SijakufuruMshukuru Mungu mpk hpo ulipo hebu fikira wagonjw waliona umri km wako na wapo kitandan kwa miaka 10
Hio ulionayo ww ni neema unatakiwa ushukuru na sio ukufuru. Muombe Allah na tia jitihada sana ktk malengo yako In shaa Allah utafanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Focus on what you have.
Uhai, afya njema...family, friends.
Hata ukidinda fresh ni Jambo la kushukuru pia.
Mengine tia bidii, focus on your realistic goals Mungu atayaleta tu.
Realkulitambua tatizo ni nusu ya suluhisho la tatizo