We utakuwa polisi ama mwalimu 😀Mke ninaye, naishi kota
Nikiwa na miaka 23 na harrier new model na si mwajiriwa wa serikali, usitengemee tu mshahara utakufa maskini
Drug Dealer...
Niko na 30+ na ramani haisomi mpk leo!kuna watu wana 40 yrs na hawana hata uwezo wa kulipa kodi![]()
Kweli aiseWatu tunatiana moyo oooh usitazame wengine. Binadamu yeyote mwenye akili timamu lazima uwe na karoho cha wivu. Huwezi kuwa ww unashindia tembele uridhike eti kisa kuna walalao njaa. Oooo kwa 25 - 30 muda bado, hakuna cha muda bado wakati haurudi nyuma.
Pigana mkuu, tazama waliokudhidi kama chachu ya kuendelea kupambana.